Atclkwanza
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 823
- 998
Boeing au Airbus hawafanyi biashara ya kulease ndege mkuu ni wauzaji,ila kuna makampuni yananunua na kulease yapo,Indonesia, Malaysia,China,Iran,lyanair,Quantas wameoda ndege ngapi hapo ndo utajua Lusekelo alivyomjinga,anafikiri watanzania wote sawa na waumini anaowadanganya kanisani kwake.Naomba muamini kama haijawahi kutokea nami narudia haijawahi kutokea. Mashirika na Nchi zoote ukisikia wamenunua ndege huwa ni some kind of lease na si cash kama ilivyofanya serikali. Wametowa cash wakati kawaida huwa ni mkataba unalipa kidogo kidogo na riba ipo. Yuko sahihi labda kama hamtaki kumuelewa.