Anthony Lusekelo: Haijawahi kutokea dunia kwa nchi kununua ndege nane kwa mpigo

Jana Jumamosi kwenye kituo cha runinga cha Star TV ulioneshwa mkutano wa waandishi wa habari na mzee wa upako, mkutano huo ulikita kwenye siasa na kujitambulisha rasmi kuwa yeye ni kada wa CCM toka utotoni!

Lusekelo aliongea mambo mengi kuhusu awamu hii ya Magufuli yaliyokuwa na lengo la kumtonya amkumbuke na yeye huko aliko, hali si nzuri kwake. Mzee wa upako alielezea alivyo kuwa akiimba msitari wa mbele kwenye mikutano ya CCM ambampo kuthibitisha hill alitoa kibwagizo cha wimbo wa CCM.

Inaonesha wazi kuwa mambo hayaendi sawa kiasi cha muonekano wake kuwa si ule tuliouzoea kumuona, ucheshi haupo tena.
Kama Lusekelo ni kada WA CCM alienda kufanya nini kwenye hafla ya kuchangisha fedha za kampeni ya uchunguzi mkuu 2015 ulioandaliwa na CHADEMA pale Mlimani City ambapo alichangia TZS.1,000,000? Huyu Ni ndumila kuwili
 
Wee umekariri vibaya ni kuwa alikuwa anamfagilia magufuli na kusema kuwa haijawahi tokea nchi yoyote dunia kwa kununua ndege hizo 8 kwa pamoja akasema ni tanzania pekee imeweza hivyo mh rais anatakiwa kupongezwa kwa hilo.na unavyosema hayupo sawa sio kweli maana hakuna swali hata moja aliulizwa na akashindwa kujibu.
Ni ndege zip nane zilizonunuliwa awam hii mbona ccm ni wapumbavu kias hiki nionyeshen hizo ndege 8 zilizonunuliwa awam hii.
 
Jana Jumamosi kwenye kituo cha runinga cha Star TV ulioneshwa mkutano wa waandishi wa habari na mzee wa upako, mkutano huo ulikita kwenye siasa na kujitambulisha rasmi kuwa yeye ni kada wa CCM toka utotoni!

Lusekelo aliongea mambo mengi kuhusu awamu hii ya Magufuli yaliyokuwa na lengo la kumtonya amkumbuke na yeye huko aliko, hali si nzuri kwake. Mzee wa upako alielezea alivyo kuwa akiimba msitari wa mbele kwenye mikutano ya CCM ambampo kuthibitisha hill alitoa kibwagizo cha wimbo wa CCM.

Inaonesha wazi kuwa mambo hayaendi sawa kiasi cha muonekano wake kuwa si ule tuliouzoea kumuona, ucheshi haupo tena.
Lusekelo anaijua Dunia? au alimaanisha Dunia ya Mbeya?
Iran walinunua ndege 100 Kwa mpigo.
Nigeria walinunua ndege 30 Kwa mpigo.
Qatar walinunua ndege 170 Kwa mpigo na meli 21 za kijeshi.
 
Wee umekariri vibaya ni kuwa alikuwa anamfagilia magufuli na kusema kuwa haijawahi tokea nchi yoyote dunia kwa kununua ndege hizo 8 kwa pamoja akasema ni tanzania pekee imeweza hivyo mh rais anatakiwa kupongezwa kwa hilo.na unavyosema hayupo sawa sio kweli maana hakuna swali hata moja aliulizwa na akashindwa kujibu.
Mambumbumbu mko wengi mno Tanzania, I wish mngekufa wote maana mnatia kichefuchefu, hivi wewe na Lusekelo wako mnaijua Dunia kweli?
 
Mambumbumbu mko wengi mno Tanzania, I wish mngekufa wote maana mnatia kichefuchefu, hivi wewe na Lusekelo wako mnaijua Dunia kweli?
Wee una toa mbwa sana. Hapo nimemuelewesha huyo jamaa lusekelo alichomaanisha kwa upande wake ..
Hapo umbumbumbu wangu uko wapi wee mbito kweli yani..
 
Kama ndege ya ethiopia isingeanguka??
Screenshot_20190609-142907.jpeg
 
Watu wengine bhana kama ana stress zake ndo aje atoe uharo kwenye TV kwamba hakuna Nchi yoyote duniani iliyoagiza ndege nane kwa mpigo?

Huyu atakuwa na matatizo siyo

Kwanza sisi hizo nane tunalipa kidogo kidogo wenzetu full cash mijitu mingine bhana
Viet waliorder ndege 100 ila wakabatilisha.
Asitudanganye danganye ovyo
Screenshot_20190609-143141.jpeg
 
Iran aliagiza ndege 80 siyo mia, hata Uturuki kaagiza ndege 100 za kivita aina ya F35 kutoka Marekani japo wametofautiana na Marekan kuelekea kusitisha uuzwaji huo wa ndege hizo za hatari katika uwanja wa medani zenye teknolojia ya Stealth,baada ya Uturuki kutaka kuununua mtambo wa kujikinga na mashambulizi ya anga toka Urus aina ya S400.

Ila nilikuwa nakuunga mkono kuwa nchi nyingi zinanunua ndege nyingi tu kwa mpigo, sema Rais kajitaidi sana hata kuzinunua ndege hizo sita- nane,

Kazi ibaki kwa shirika kupambana kupata soko. Tulilia sana kuwa shirika limekufa,sasa Mh. Kalifufua Sema watendaji wa pale Shirikani akaze maana....
+Vietnam boeing 737 max jets 100 ila akaahirisha baada ya boeing kuwa na hitilafu mingi
 
Dubai, UAE, 14 February 2019 – Emirates airline today announced an order for 40 A330-900 aircraft, and 30 A350-900 aircraft, in a heads of agreement signed with Airbus. The deal is worth US$ 21.4 billion at list prices.

The latest generation Airbus A330neo and A350 aircraft, will be delivered to Emirates starting from 2021 and 2024 respectively.

In addition, Airbus and Emirates reached an agreement on outstanding A380 deliveries. The airline will receive 14 more A380s from 2019 until the end of 2021, taking its total A380 order book to 123 units.
Fantastic
 
Tusimpinge moja kwa moja. Inawezekana anasema kweli kwani kwenye nchi nyingine ni makampuni ya ndege ndiyo yanayonunua ndege na siyo serikali kuu za nchi husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom