Anthony Lusekelo: Haijawahi kutokea dunia kwa nchi kununua ndege nane kwa mpigo

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,975
2,000
Jana Jumamosi kwenye kituo cha runinga cha Star TV ulioneshwa mkutano wa waandishi wa habari na mzee wa upako, mkutano huo ulikita kwenye siasa na kujitambulisha rasmi kuwa yeye ni kada wa CCM toka utotoni!

Lusekelo aliongea mambo mengi kuhusu awamu hii ya Magufuli yaliyokuwa na lengo la kumtonya amkumbuke na yeye huko aliko, hali si nzuri kwake. Mzee wa upako alielezea alivyo kuwa akiimba msitari wa mbele kwenye mikutano ya CCM ambampo kuthibitisha hill alitoa kibwagizo cha wimbo wa CCM.

Inaonesha wazi kuwa mambo hayaendi sawa kiasi cha muonekano wake kuwa si ule tuliouzoea kumuona, ucheshi haupo tena.
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
20,105
2,000
Wee umekariri vibaya ni kuwa alikuwa anamfagilia magufuli na kusema kuwa haijawahi tokea nchi yoyote dunia kwa kununua ndege hizo 8 kwa pamoja akasema ni tanzania pekee imeweza hivyo mh rais anatakiwa kupongezwa kwa hilo.na unavyosema hayupo sawa sio kweli maana hakuna swali hata moja aliulizwa na akashindwa kujibu.
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
29,339
2,000
Na wewe una kubaliana na lusekelo kuwa hakuna nchi yoyote duniani iliyonunua ndege nane kwa pamoja?

Kibumbula

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
3,593

Atakuwa hayuko sawa huyo hakika.Maradhi yashaanza kumtafuna.Ndege nane,wakati kuna nchi zinaagiza ndege zaidi ya mia moja kwa mpigo!!.Nchi kama Iran iliagiza ndege mia moja kutoka Airbus,achilia mbali kutoka Boeing.China wameagiza ndege karibia 60 kutoka Airbus, achilia mbali kutoka Boeing.Halafu anakuja mnywa konyagi mmoja na kutapika uharo.Mungu mnusuru mja wako Lusekelo
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
20,105
2,000
Kuhusu kukubaliana nae au kutokubaliana nae hilo ni suala la mtu binafsi maana yeye alikitoa kama mshangao wake kwa nchi kama tanzania kufanya hivyo,na kwa hapa tz tukilizunvumzia hili tangu huko tuliko toka hata mimi lazma niungane nae.

Hivi wewe unavyomuona Lusekelo kuna usawa wowote wa kiakili tena pale?. Angalia afya yake halafu toa tathmini.
 
Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,976
2,000
Kuhusu kukubaliana nae au kutokubaliana nae hilo ni suala la mtu binafsi maana yeye alikitoa kama mshangao wake kwa nchi kama tanzania kufanya hivyo,na kwa hapa tz tukilizunvumzia hili tangu huko tuliko toka hata mimi lazma niungane nae.
Kama unaungana naye basi unaungana naye kwenye ujinga na automatic nawe unakuwa mjinga kama yeye
 
huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
1,511
2,000
Atakuwa hayuko sawa huyo hakika.Maradhi yashaanza kumtafuna.Ndege nane,wakati kuna nchi zinaagiza ndege zaidi ya mia moja kwa mpigo!!.Nchi kama Iran iliagiza ndege mia moja kutoka Airbus,achilia mbali kutoka Boeing.China wameagiza ndege karibia 60 kutoka Airbus, achilia mbali kutoka Boeing.Halafu anakuja mnywa konyagi mmoja na kutapika uharo.Mungu mnusuru mja wako Lusekelo

Watu wengine bhana kama ana stress zake ndo aje atoe uharo kwenye TV kwamba hakuna Nchi yoyote duniani iliyoagiza ndege nane kwa mpigo?

Huyu atakuwa na matatizo siyo

Kwanza sisi hizo nane tunalipa kidogo kidogo wenzetu full cash mijitu mingine bhana
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,934

je walilipa kama wananua mkate au
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
14,605
2,000
Kuhusu kukubaliana nae au kutokubaliana nae hilo ni suala la mtu binafsi maana yeye alikitoa kama mshangao wake kwa nchi kama tanzania kufanya hivyo,na kwa hapa tz tukilizunvumzia hili tangu huko tuliko toka hata mimi lazma niungane nae.
Sasa ndo umeandika nini!!
Umeulizwa duniani hakuna nchi imewahi kununua ndege nane kwa mpigo?acha kukimbia swali
 
Kibumbula

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
3,593
2,000
Watu wengine bhana kama ana stress zake ndo aje atoe uharo kwenye TV kwamba hakuna Nchi yoyote duniani iliyoagiza ndege nane kwa mpigo?

Huyu atakuwa na matatizo siyo

Kwanza sisi hizo nane tunalipa kidogo kidogo wenzetu full cash mijitu mingine bhana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,813
2,000
Nafikiri lengo kubwa la press conference lilikuwa kuwaonyesha kuwa yeye yupo na ni mzima wa afya sababu kuna wazushi walizusha kafa wengine wakasema hatavuka mwezi wa tano.Hayo mengine aliyoongea ni mazungumzo baada ya habari
 
Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,867
2,000
Atakuwa hayuko sawa huyo hakika.Maradhi yashaanza kumtafuna.Ndege nane,wakati kuna nchi zinaagiza ndege zaidi ya mia moja kwa mpigo!!.Nchi kama Iran iliagiza ndege mia moja kutoka Airbus,achilia mbali kutoka Boeing.China wameagiza ndege karibia 60 kutoka Airbus, achilia mbali kutoka Boeing.Halafu anakuja mnywa konyagi mmoja na kutapika uharo.Mungu mnusuru mja wako Lusekelo
Tatizo la huyu Mzee, ni hajawahi kutembea, na Elimu yake ni ya Darasa la Saba. Kuna mambo mengi sana ya duniani hayajui
 
huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
1,511
2,000
Nafikiri lengo kubwa la press conference lilikuwa kuwaonyesha kuwa yeye yupo na ni mzima wa afya sababu kuna wazushi walizusha kafa wengine wakasema hatavuka mwezi wa tano.Hayo mengine aliyoongea ni mazungumzo baada ya habari

Vitu vya kuzungumza ni vingi na ni vizuri Siku zote ukazungumza zenye uhakika na ukweli mfano unaweza kuzungumza Nchi yetu ilipata Uhuru 1961,Muuungano wetu na Zanzibar ulikuwa 1964,unaweza kuzungumza pia Rais wa kwanza wa Tanzania alikuwa Nyerere waandishi wa habari nao pia watukutu wangeuliza maswali kama haya kujua akili yake kama iko sawa wala asingetokea mtu yeyote wa kumpinga lusekelo lakin kwa haya aliyozungumza lazima tumpinge
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom