Mkuu na wewe umeanza kumpinga mwenyekiti wa maisha Mbowe???!!!'It's possible for a smart or clever person to deceive, confuse or cheat people most of the time but not God even for once. We need to be careful because we shall meet with reality one day. Mh. Mbunge nakubaliana na wazo lake tusiwe wajinga kwenye nyakati za kutaka kunyamazishana.
Ni msaliti huyu Komu.Nasubili ufipa wenzie waje na ushahidi wa tuvideo twa kalamu kuwa komu kahongwa.
Kwani unapotaka kuhama chama ni lazima Azungumze na waandishi wa Habari Ndiyo Maana nasema hivi Vyama vianaendeshwa km (Pressure Groups not political parties) kila mtu ni msemaji wa chama n.kMbunge wa Moshi Vijijini (Chadema), Anthony Komu ametoa msimamo unaotofautiana na ule uliotolewa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuhusu ushiriki katika uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani.
Kauli ya UKAWA ipo hapa: UKAWA na CHAUMMA wasema hawatashiriki uchaguzi mdogo ujao hadi kasoro zilizojitokeza uchaguzi uliopita zitatuliwe
Komu akizungumza na mwandishi wetu kuhusu uamuzi huo wa Ukawa alisema uamuzi ni halali kwa kuwa umepitia vikao halali, lakini unaweza kujadiliwa.
“Usahihi ni kitu kingine. Hatuko sahihi kususia uchaguzi haya ni mapambano, kwenye vita unapopigana unaonyesha wapi unakosea na kujisahihisha,” alisema mkurugenzi huyo wa fedha wa zamani Chadema.
“Hata hizo kata 43 hatukuonewa kote ndiyo maana tulishinda kata moja tuliyojipanga vizuri, kikubwa tunapaswa kujenga uwezo wetu na kupambana… kama tutasusia je, tumejipangaje kuhakikisha hicho tunachokipigania tutakipata?” alihoji.
Mbunge huyo alisema uamuzi huo unazua maswali mengi kwani CCM itapita katika majimbo yote bila kupingwa... “Watapata jukwaa la kueleza mambo yao sisi hatutapata, lakini je, kama huu hatutashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa na ule wa mwaka 2020 tutashiriki au la, haya ndiyo maswali yanayohitaji majibu.”
Rejea Kauli ya NEC juu Uchaguzi huo; NEC: Chama cha Siasa kutangaza kugomea uchaguzi hakuwezi kuifanya Tume iuahirishe! Tume haiko kushawishi chama kushiriki
Chanzo; Mwananchi
Ili watanzania wasio na hatia wabaki salama bora CHADEMA wasishiriki chaguzi hizo uongozi na madaraka si kitu kuliko uhai wa mtu waachwe tu wajipishe na washinde ili roho za watu zisije walilia, kuna watanzania wamelemaa kwa ajili ya uchaguzi mdogo tu wa juzi na kuna wengine wamezikwa kisa uchaguzi wa madiwan yanini hayo yote?? Waachwe wawe huru ili roho za watanzania zenye mawazo tofauti na chama tawala zibaki salamaMbunge wa Moshi Vijijini (Chadema), Anthony Komu ametoa msimamo unaotofautiana na ule uliotolewa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuhusu ushiriki katika uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani.
Kauli ya UKAWA ipo hapa: UKAWA na CHAUMMA wasema hawatashiriki uchaguzi mdogo ujao hadi kasoro zilizojitokeza uchaguzi uliopita zitatuliwe
Komu akizungumza na mwandishi wetu kuhusu uamuzi huo wa Ukawa alisema uamuzi ni halali kwa kuwa umepitia vikao halali, lakini unaweza kujadiliwa.
“Usahihi ni kitu kingine. Hatuko sahihi kususia uchaguzi haya ni mapambano, kwenye vita unapopigana unaonyesha wapi unakosea na kujisahihisha,” alisema mkurugenzi huyo wa fedha wa zamani Chadema.
“Hata hizo kata 43 hatukuonewa kote ndiyo maana tulishinda kata moja tuliyojipanga vizuri, kikubwa tunapaswa kujenga uwezo wetu na kupambana… kama tutasusia je, tumejipangaje kuhakikisha hicho tunachokipigania tutakipata?” alihoji.
Mbunge huyo alisema uamuzi huo unazua maswali mengi kwani CCM itapita katika majimbo yote bila kupingwa... “Watapata jukwaa la kueleza mambo yao sisi hatutapata, lakini je, kama huu hatutashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa na ule wa mwaka 2020 tutashiriki au la, haya ndiyo maswali yanayohitaji majibu.”
Rejea Kauli ya NEC juu Uchaguzi huo; NEC: Chama cha Siasa kutangaza kugomea uchaguzi hakuwezi kuifanya Tume iuahirishe! Tume haiko kushawishi chama kushiriki
Chanzo; Mwananchi
Tatizo kushiriki kwao uchaguzi kutaleta maafa na majeraha maana hali ilikiwa yeye mtutu wa bunduki hutumika sasa salama ya watanzania wwnye msimamo tofauti na chama tawala iko wapi ? Inamaana bora kuendelea na uchaguzi ambao taswira inaonesha kabisa kuwa kuna kumwaga damu!? Hapana aisee ili watanzania wasidhurike bora ccm waachwe tu waendelee na uchaguzi huu wakati upinzani wakijipanga namna sahihi ya kuchukua hatua ingawa nao wamekuwa wazito kuchukua hatua kazi yao kulalama tu mitandaoniChadema wamesusia vitu vingi lakini hakuna hata kimoja kilichofanikiwa,kazi ya chama cha siasa ni kuleta Sera mbadala,sasa kama upinzani hamshiriki uchaguzi na kazi kubwa ya chama cha siasa ni kushika dola utashikaje dola bila kushiriki uchaguzi???? Zenji walisusia maccm yakapita kiulani
1. Mbowe.Ameongea jambo sahihi sana. Hiyo susasusa yao haitawaongezea chochote kile na watanzania ndiyo hawa kama wanavyojulikana, ni watu wa kupelekwa na upepo na matukio siyo watu wa misimamo.
Halafu wanaposusa next plan yao ni ipi? CJADEMA na UKAWA wamebugi vibaya sana. Sijui walijufungia kufanya nini kwenye hiyo kamati kuu.
Wenye influence na effects ndiyo huwa wanasusa tena dhidi ya upande unaojali, lakini si katika mazingira haya. Hii ni vita.
Kingine siioni siku hizi ile CHADEMA iliyokua ikitoa shutuma au malalamiko huku ikinukuu na kufanya marejeo kwenye vifungu vya Katiba. CHADEMA ya sasa si ya watu wa kusoma maandishi, CHADEMA ya sasa inakaa vikao ikilipana posho halafu inakuja na matamko ya hovyo yanayowapa mzigo walaji wa taarifa ili kuzitafutia maumbo mazuri ili yalete maana.
uko tayari kukaa mbele kabisa kupambaa na polisi?mimi pia napingana na chadema kususia chaguzi...
twende kwenye chaguzi kama wakileta fujo na sisi tuwape fujo... wakiona tunawaka hapo ndio watakubali tuongee na ha[po ndio tutawapa malalamiko yetu na wayatekeleze