Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,343
- 6,403
Halafu alivyo mpuuzi, eti Diallo alishindwa kuwalipa wafanyakazi mishahara! Sasa, hizo pesa angepata wapi wakati CCM wameshindwa kumlipa malipo yake?makala ndefu sana na ya kujipendekeza, acha watu watoe maoni yao.
Tumia muda wako mwingi kufanya kazi ili kujiingizia kipato halali badala ya kujipendekeza.
Na pia alisema uchaguzi ule, ulimuathiri sana kibiashara. Watu wengi wakawa hawataki kutangaza kwenye vyombo vyake, kwa sababu ni vyombo vya CCM. Kwa hiyo utaona CCM hiyo ilimuathiri sana kiuchumi.