magagagigikoko
Senior Member
- Nov 13, 2017
- 167
- 170
Wanachanganya mambo. Siyo saruji, ni thelujiSaruji inayeyuka?
Wanachanganya mambo. Siyo saruji, ni thelujiSaruji inayeyuka?
Ni kweli Mkuu hakuna kimachoshindikana.mi naamini vitu vya kustaajabisha zaidi ya hivyo ulivyovitaja hapo juu,uwezekano wa kuwapo ma giants upo mkubwa tu sababu hadi leo pia magiants wapo kama wapo akina hasheem thabit,andre the giant na shaa oneil kwanini kusiwe na uwezekano wa kuwepo binaadamu wa kubwa zaidi huko karne za nyuma.Kuwepo kwa viumbe wengine kutoka dunia nyengine(aliens) pia ni possible sababu hata hapa duniani bado kila kukicja kunagunduliwa viumbe wapya ambao hawakuwa wanajulikana mwanzo,kwa mtazamo wangu mimi majini ndio aliens wenyewe.Hilo ninajua sana mkuu na kuna vitu kibao uwa navipuuzia, mfano kuna documentary nime idownload jana nimeitazama dakika 8 tu nikaona ya kipuuzi, mara nyingi napenda kutazama midaharo ya watu mbalimbali kuliko documentaries na information zinazopatikana huko nazitafuta tena kuona references. Everything is possible maana hata kwenye biblia unaambiwa Kane alienda mataifa ya mbali na kuoa ikiwa ina maana kulikuwa kuna kizazi kingine tofauti na cha Adam an Eve. Pia kitabu cha Enock kimeongelea mambo mengi ya malaika kufanya ngono na binadam na kuzaa ma giants.
Habari nyingine za ma-archeologist sio za kweli, hawa wanajifanya wana evidence ili kuweza ku proove umri wa existence ya binadama kwa kutumia michoro au majengo, vitu vingine sio vya kweli, ni vya kutengeneza tu, inawezekanaje alama ya mguu wa mtu ikawa engraved kwenye mwamba wa jiwe au alama za mapangoni zinaweza kuwa pia printed kwenye mwamba ili kutengeneza future history kutoka kwa wajenzi wa falsafa za dunia.Yah mkuu inaelekea historia ya mwanadamu ni pana sana kuliko tunavyodhani.
Kuna mabaki ya vitu vya kale ya mchoro wa binadamu akiwa kapanda dinasaur jambo ambalo nalo linafanya watu wawaze huenda binadamu ameanza kuishi duniani zama za zamani kwei.
Kuna eneo liko Thailand kama sijakosea kuna alama za miguu ya dinasaur na mbele kuna alama za nyayo za binadamu ambaye ni giants zikiashiria alikuwa akikimbia inakadiriwa hizo alama zina umri wa mamilion ya miaka kwakuwa kwasasa hilo eneo limegeuka kuwa mwamba lakini hizo alama zinaonekana kwenye huo mwamba.
mkuu mkumbushe pia kua hizo anaziita formal source za habari wanaandika kile tu wanachotaka wenyewe sisi tujue. na asilimia kubwa ni matango pori, kama anataka ukweli aende nje ya hapo.You can do your own research kwakuwa nilichoandika hapa siyo sheria wala msahafu unaweza chagua kuamini kama ni fiction unaweza pia chagua kuamini kwamba ni non-fiction.
Lakini kuna mabaki ya vitu na ya viumbe pia unasema nini kuhusu hilo?Habari nyingine za ma-archeologist sio za kweli, hawa wanajifanya wana evidence ili kuweza ku proove umri wa existence ya binadama kwa kutumia michoro au majengo, vitu vingine sio vya kweli, ni vya kutengeneza tu, inawezekanaje alama ya mguu wa mtu ikawa engraved kwenye mwamba wa jiwe au alama za mapangoni zinaweza kuwa pia printed kwenye mwamba ili kutengeneza future history kutoka kwa wajenzi wa falsafa za dunia.
Mimi sina akili nahisi sababu sina kisogoNasikia watu wenye visogo virefu huwa na akili sana...
Sijasema kuwa ni formal source lakini unaweza anzia hapo then utatafuta many sources za kuprove unachosoma, na pia kwa muktadha huo hakuna formal source ya habari yoyote maana hata vitu unavyo viamini mfano serikali ya Marekani uwa ina tendency ya kudanganya umma kwa habari flani na kuja kukiri kuwa tukio lilikuwa hivi baada ya miaka mingi mfano mapinduzi ya Iran, kumweka dictator wa chile madarakani na mengine ambayo mwanzo ilikuwa ikiwaaamisha raia tofauti mpaka miaka ya karibuni ilipoamua kuacha document za ukweli wa mambo.m
mkuu mkumbushe pia kua hizo anaziita formal source za habari wanaandika kile tu wanachotaka wenyewe sisi tujue. na asilimia kubwa ni matango pori, kama anataka ukweli aende nje ya hapo.
Pamoja na kwenda kujenga miji mipya Amerika ya kusini ambapo curture zake zinaendana kabisa na Egypt kuanzia majengo, aina ya ujenzi, jinsi ya kuhifadhi maiti, pamoja na kukuta mafuvu ya vichwa virefu.Kakurupuka kweli [emoji3][emoji16][emoji16]
Tena source nilisoma mda ilizungumzia kuwa baada ya Atlantis kufall
Baadhi ya ma_ancestor ndio waliokuja kujenga upya mji wa mfano wa Atlantis pale Egypt wakiwemo makuhani wakubwa kama inmotep na wengineo
Lakini pia ukisoma kitabu cha Jasher (Yasheri ni kitabu cha kiada kilichoandikwa zamani sana, hata baadhi ya watakatifu wa biblia wametoa refference ya kumbukumbu, tazama kitabu cha Joshua japo sikumbuki fungu maana nipo mtaani) kinasema kuwa Adamu alizaa watoto watano wakiume watatu na wa kike wawili (yaani Abel, Cain, Set na dada zao wawili) hivyo Abel alivyouwawa Kaini aliwachukua dada zake wote wakawa wake zake, baadae baada ya miaka mingi akamzaa Seti ambaye pia uzao wake ulitokana na kuoa binti za Cain.Hilo ninajua sana mkuu na kuna vitu kibao uwa navipuuzia, mfano kuna documentary nime idownload jana nimeitazama dakika 8 tu nikaona ya kipuuzi, mara nyingi napenda kutazama midaharo ya watu mbalimbali kuliko documentaries na information zinazopatikana huko nazitafuta tena kuona references. Everything is possible maana hata kwenye biblia unaambiwa Kane alienda mataifa ya mbali na kuoa ikiwa ina maana kulikuwa kuna kizazi kingine tofauti na cha Adam an Eve. Pia kitabu cha Enock kimeongelea mambo mengi ya malaika kufanya ngono na binadam na kuzaa ma giants.
Yes Pyramids, mummies, culture na mengi yanafananaPamoja na kwenda kujenga miji mipya Amerika ya kusini ambapo curture zake zinaendana kabisa na Egypt kuanzia majengo, aina ya ujenzi, jinsi ya kuhifadhi maiti, pamoja na kukuta mafuvu ya vichwa virefu.
Sasa unataka kusema kuwa Kane alikuwa anaogopa kuwa atauawa na dada zake pale alipo muuliza Mungu kuwa anahofia watu watamuua Mungu akasema atamwekea alama usoni ili asije uawa na yoyte atakaye muua atalaaniwa.Lakini pia ukisoma kitabu cha Jasher (Yasheri ni kitabu cha kiada kilichoandikwa zamani sana, hata baadhi ya watakatifu wa biblia wametoa refference ya kumbukumbu, tazama kitabu cha Joshua japo sikumbuki fungu maana nipo mtaani) kinasema kuwa Adamu alizaa watoto watano wakiume watatu na wa kike wawili (yaani Abel, Cain, Set na dada zao wawili) hivyo Abel alivyouwawa Kaini aliwachukua dada zake wote wakawa wake zake, baadae baada ya miaka mingi akamzaa Seti ambaye pia uzao wake ulitokana na kuoa binti za Cain.
Mkuu ukisoma kitabu cha Jasher (unaweza kuki download freely) kinasema ukubwa wa mnara wa Babeli ni hivi.Ni kweli hebu fikiria watu waliamua kujenga mnara ili wamfuate Mungu alipo na Mungu alipoona hawa jamaa wanakaribia akafanya yake
Sipati picha tekenolojia iliyotumika kujenga huo mnara
Na je ulikuwa na urefu gani?
Sio vigorofa vyenu vya siku hizi ukifika flow ya 20 tu watu wanaanza kuguna ooh jengo refu sana
Kweli kabisa ushahidi unaopatikana sasa katika kipindi chetuYes Pyramids, mummies, culture na mengi yanafanana
Hapo sasa unanipa changamoto kubwa ya kutafakari upya hayo maandiko, kwa vile ni very contradiction. Sasa sijui source ipi itakuwa inaongea kweli maana hata mimi nalishwa tu maandiko mengi tunayosoma.Sasa unataka kusema kuwa Kane alikuwa anaogopa kuwa atauawa na dada zake pale alipo muuliza Mungu kuwa anahofia watu watamuua Mungu akasema atamwekea alama usoni ili asije uawa na yoyte atakaye muua atalaaniwa.
Sure mkuu kuna mengi ambayo hatuyajui kabisa.Kweli kabisa ushahidi unaopatikana sasa katika kipindi chetu
Unafanya tuangalie upya tena kwa usahihi Tariifa tulizonazo juu ya jamii za kale zilizotutangulia
Maana maswali ni mengi kuliko majibu
Mimi napenda sana kuunga Doti
Unajua huwa najiuliza sana kuhusiana na utamaduni wa kiyahudi ulivyoanza na ukichukulia historia yao ya wazee wao kuhama toka walipokuwepo na kuja karibu na misri
Nadhani kuna siri kubwa sana ikitegemea wayahudi wana nafasi kubwa kwenye kuchangia utamaduni wao kwenye dunia yetu
Jinsi unavyo chimba zaidi kujua ndivyo utajikuta hakuna unalolijua maana utaishia kuchanganyikiwa tu mambo yako complicatedHapo sasa unanipa changamoto kubwa ya kutafakari upya hayo maandiko, kwa vile ni very contradiction. Sasa sijui source ipi itakuwa inaongea kweli maana hata mimi nalishwa tu maandiko mengi tunayosoma.
Unajua kwanini nasema hivyoSure mkuu kuna mengi ambayo hatuyajui kabisa.