Antarctica bara lenye wanadamu wenye maarifa zaidi yetu

Antarctica bara lenye wanadamu wenye maarifa zaidi yetu

Unachanganya Antarctica na Atlantis..
Ndilo tatizo la kukurupuka hata hukufika mwisho mbona nimeongelea kila kitu na mwisho nikaongelea kuwa dhoruba lililofanya Atlantis kuzama chini ya bahari ndilo lilifanya polar shift na kulifanya bara la Antarctica kugeuka bara lililofunikwa na barafu.
and poor you kwa kukurupuka maana Atlantis ilizama kwenye maji wakati Antarctica halijazama kwenye maji
 
Yes mwanzo ilihisiwa kwamba watawala walikuwa na visigo vya namna hiyo kwakuwa walikuwa wakioana dada na kaka kwahiyo wakapata tatizo la kigenetics lakini wajuzi wa mambo wanasema hao watawala walikuwa wana chimbuko la viumbe hao wa Antarctica
Sidhani kama kuna ukweli mkuu bila real evidence, hizo ni mythology
 
Yes mwanzo ilihisiwa kwamba watawala walikuwa na visigo vya namna hiyo kwakuwa walikuwa wakioana dada na kaka kwahiyo wakapata tatizo la kigenetics lakini wajuzi wa mambo wanasema hao watawala walikuwa wana chimbuko la viumbe hao wa Antarctica
Ni kweli kuna vyanzo vinaeleza kuwa jamaa walikuwa ni hybrid ya Gods and humanoid

Ndipo ikatokea hii race ya mademigods kwa sehemu kubwa
 
Sidhani kama kuna ukweli mkuu bila real evidence, hizo ni mythology
Evidence ni mabaki ya watu yanayokutwa mbona hiyo siyo siri sehemu nyingi duniani yamekutwa mabaki ya ma giants ambapo binadamu mrefu kabisa hayafikii hata kiunoni, China miaka mitatu umegunduliwa mji chini ya bahari ambapo kuna jengo lina nganzi kila ngazi urefu wake unazidi kimo cha binadamu wa kawaida sasa ni nani alikuwa akipanda ngazi hizo?
 
You can do your own research kwakuwa nilichoandika hapa siyo sheria wala msahafu unaweza chagua kuamini kama ni fiction unaweza pia chagua kuamini kwamba ni non-fiction.
Mi pia napenda kufuatilia mambo, ila sijajua wewe umepataje kujua hizo mambo nami nianzie hapo
 
Antarctica ni bara
Atlantis ndio walkua wakazi wa eneo ilo
No pia Atlantis ilikuwa ni sehemu mojawapo duniani ambapo inadaiwa walikuwa wameendelea sana, lakini hakuna ramani yoyote inayoonyesha ilikuwa sehemu gani. Inasemekana ilizama chini ya bahari na ukubwa wake unakadiriwa ilikuwa ni ukubwa wa North Africa ukijumlisha na India Sub-continent
 
Ndilo tatizo la kukurupuka hata hukufika mwisho mbona nimeongelea kila kitu na mwisho nikaongelea kuwa dhoruba lililofanya Atlantis kuzama chini ya bahari ndilo lilifanya polar shift na kulifanya bara la Antarctica kugeuka bara lililofunikwa na barafu.
and poor you kwa kukurupuka maana Atlantis ilizama kwenye maji wakati Antarctica halijazama kwenye maji
Kakurupuka kweli [emoji3][emoji16][emoji16]

Tena source nilisoma mda ilizungumzia kuwa baada ya Atlantis kufall

Baadhi ya ma_ancestor ndio waliokuja kujenga upya mji wa mfano wa Atlantis pale Egypt wakiwemo makuhani wakubwa kama inmotep na wengineo
 
Kama unapenda kufuatilia mambo basi utakuwa wajua kuwa Google na Youtube ni sehemu mojawapo ya kuanzia
Mkuu kuwa makini sana u apokuwa unafuanya ufuatiliaji/research/kusoma.sio kila kinachoandikwa ni cha kweli,kwenye ilmu/historia kuna upotoshaji mkubwa na uchanganyaji wa facts na fiction.Hata kwenye maelezo yako kuna vitu umeandika ni known facts,kuna vyengine fiction,kuna speculations na vyengine mseto wa vyote.
 
Kakurupuka kweli [emoji3][emoji16][emoji16]

Tena source nilisoma mda ilizungumzia kuwa baada ya Atlantis kufall

Baadhi ya ma_ancestor ndio waliokuja kujenga upya mji wa mfano wa Atlantis pale Egypt wakiwemo makuhani wakubwa kama inmotep na wengineo
Yah mkuu inaelekea historia ya mwanadamu ni pana sana kuliko tunavyodhani.
Kuna mabaki ya vitu vya kale ya mchoro wa binadamu akiwa kapanda dinasaur jambo ambalo nalo linafanya watu wawaze huenda binadamu ameanza kuishi duniani zama za zamani kwei.
Kuna eneo liko Thailand kama sijakosea kuna alama za miguu ya dinasaur na mbele kuna alama za nyayo za binadamu ambaye ni giants zikiashiria alikuwa akikimbia inakadiriwa hizo alama zina umri wa mamilion ya miaka kwakuwa kwasasa hilo eneo limegeuka kuwa mwamba lakini hizo alama zinaonekana kwenye huo mwamba.
 
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu hili bara la antarctica kupitia vyanzo mbalimbali na nimekuwa nikistaajabu sana juu ya mambo ambayo yamejificha kwa miaka mingi na ambayo wanao yafahamu hawataki yafahamike sijui kwanini.
Lakini kila lililofichwa litafunuliwa na kuwa wazi kwakuwa sasa mambo yameanza kuwa hadharani baada ya saruji kuanza kuyeyuka katika bara hilo na mambo mengi kuanza kuwa wazi.
Kihistoria kwa muda mrefu binadamu hakuwa akijua kama kuna bara liitwalo Antarctica mpaka mwaka 1773 ambapo Nahodha ajulikanaye kama James Cook akiwa na wenzake ndipo alipoweza kugundua uwepo wa bara hilo. Lakini ajabu ni kwamba kuna ramani inayoonyesha Antarctica ambayo iligunduliwa huko Uturuki ambayo inadaiwa kwamba ilichorwa na kamanda kikosi cha maji cha jeshi la Uturuki mwaka 1513 aliyejulikana kwa jina la Haji Ahmed Muhiddin Piri , na ramani hiyo inaonyesha kuwa bara la Antarctica halikuwa na barafu.
Ina aminika kwamba Waturuki hawakuwahi kuvuka Bahari ya Midditeranean sasa waliwezaje kuchora ramani hiyo? Na wataalamu walivyoifanyia vipimo waligundua ilikuwa ina vipimo sawa kuliko hata ramani za kisasa. Katika ramani hiyo inaonyesha baadhi ya vitu ambavyo vilikuwa vikipatikana katika bara hilo jambo ambalo lilikuja kuwa kweli ambapo NASA ilitumia satelite inayoweza kuangazia eneo na kupredict kilichoko chini na walipoitumia kwenye bara la antarctica ilionyesha mambo mengi yaliyokuwa chini ya barafu kama uwepo wa milima, mabonde, miamba, mito iliyoganda na kadhalika.
View attachment 920837
Kwa muda mrefu kuna shughuli za kijeshi na kiunguzi zilikuwa zikiendela huko katika bara la Antarctica kwa siri sana, na aliyeanzisha alikuwa Hitler ambaye alikuwa akiamini sana katika mambo ya aliens na super being. Kati ya mambo mengi aliyofanya hitler ni kufanya tafiti za mambo haya. Hitler alifadhili shughuli za kiutafiti mpaka Mesopotania, Uturuki, Antarctica na kila mahali alipowahi kusikia kulikuwa na na ealry civilizaition.
Hitler alipeleka wanasayansi na jeshi kubwa kufanya tafiti huko Antarctica na inasemekana kwamba aliweza kukuta teknolojia ya jamii ya watu ambao walikuwa ni wakubwa zaidi yetu wengine wakiwa hata na futi 18 kwa urefu. Jamii hiyo ilikuwa imeendelea ikiwa inatumia usafiri wa saucers na hitler aliweza kufanya back engineering na kutengeneza flying saucers zake. Kama utakuwa umefuatilia matukio ya watu kudai wameona flying saucers hasa wanajeshi wa Marekani yametokea miaka hiyo na inadaiwa zilikuwa ni silaha za NAZI walizokuwa wametengeneza kutokana na ugunduzi wao huko Antarctica.
View attachment 920848
View attachment 920849
Kwa taarifa zilizpo ni kwamba moja ya sababu ya wale wajulikanao kama the Allies akiwemo U.S kuungana kumtwanga Hitler ilikuwa ni kumuwahi kwakuwa waligundua amegundua teknolojia ambayo wakimuacha akaweza kuitumia vilivyo basi hawatakuwa na uwezo wa kumzuia. Walianza kwa kufanya jaribio la kuvamia military base yake huko Antarctica ambapo flying saucer ya NAZI iliwatandika vibaya na kuzamisha meli zao na kusababisha vifo vya maelfu ya askari.
baada ya kumalizika kwa vita marekani alianzisha military base yake huko na kuanza kuchunguza mambo mengi ambayo yamebaki kuwa siri.
Lakini hivi karibuni barafu imeyayuka na ukitumia google earth utawaeza kuona pyramids kadhaa, majengo, masalia ya makazi, na kuna picha nyingi ambazo serikali ya marekani imeitaka Google iondoe kwenye ramani zake zinazohusu Antarctica.
Moja wapo ya picha za hivi karibuni ni hiii hapa ambayo ilikuwa inapatikana Google earth ikiwa na coordinates.
View attachment 920858
Hii picha Google imeiondoa na kuanza kudai kuwa ni fake lakini wajuzi wa mambo wanasema kuwa ni moja wapo kati ya vifaa vya jamii hiyo ya kale iliyoishi Antarctica.
Je nini kiliikumba hiyo jamii?
Wajuzi wa mambo wanadai ya kwamba ilitokea janga la kiasili ambalo ndilo lilisababisha hata kuzama kwa Atlantis na hilo janga ndilo lilisababisha kuhama kwa polars na kuwa zilipo leo. Hivyo Antarctica kabla ya hilo janga hakukuwa na barafu wala baridi kama ilivyo leo.
Kuna mengi ya kujadiri moja wapo ni kwamba kuna upenyo wa kuingia ndani ya dunia eneo hilo ambako kuna jamii nyingine inaishi huko.
Pia kuna miji mingi ya kale imegunduliwa chini ya bahari inayoashiria kuwa walioishi kwenye miji hiyo wlaikuwa wana kimo kikubwa zaidi yetu kutokana na ukubwa wa majengo pamoja na ngazi za kupandia ambazo unakuta ngazo moja ina urefu kuliko binadamu wa kawaida.
Mwisho namalizia kwa kuwakumbusha kuna tukio lilitokea mwaka huu kama siyo mwishoni mwa mwaka jana wakati makandarasi wakichimba chini ya Msikiti ma Mecca walikutana na box ambalo walipolishika lilitoa Gama rays ambazo ziliua mamia ya watu. Ni tukio lilitangazwa kama lilivyo ila baadae wakabadiri na kusema ni crane zilianguka zikagongana na kuua watu 107View attachment 920872
Inasemekana Warusi ndiyo walikuja kulitoa hilo Box na kulionekana msafara wa Manuari za kivita na nyambizi na wanajeshi 4500 wakilisindikiza kuelekea Antarctica, na kabla ya kufanya hivyo Papa na Kiongozi wa kanisa la Urusi la Orthodox walikutana Cuba kujadiri juu ya suala hilo.
Yapo mengi sana ila nimeandika kwa kifupi tu.
My God usikute hilo box la gama lays ndo sanduku la agano hilo
Aise ngoja nichimbe taarifa zaidi
 
My God usikute hilo box la gama lays ndo sanduku la agano hilo
Aise ngoja nichimbe taarifa zaidi
Ndivyo wajuzi wa mambo wanadai kuwa inahisiwa hivyo, inaweza kuwa kweli au siyo kila kitu kinawezekana
 
Kama unapenda kufuatilia mambo basi utakuwa wajua kuwa Google na Youtube ni sehemu mojawapo ya kuanzia
Navyojua mimi pia Antarctica ni eneo lote linalozunguka dunia (tofauti na watu wanavyoamini kuwa antactica ipo juu ya ramani ya canada na greenland) pia kuna ulinzi wa majeshi ya Marekani kwamba mtu yeyote haruhusiwi kufika kufanya utafiti. Na pia ndipo maeneo ambayo NASA hufanya tafiti zao na kutuletea picha za huko huku wakitudanganya ni Mars au mwezini nk.
Lakini pia navyoamini Antactica ni un explorable kutokana na ukubwa wake, hakuna binadamu anayeweza kutuletea taarifa zake hata kwa satelite kwa vile eneo lake ni kubwa mno.
 
Mkuu kuwa makini sana u apokuwa unafuanya ufuatiliaji/research/kusoma.sio kila kinachoandikwa ni cha kweli,kwenye ilmu/historia kuna upotoshaji mkubwa na uchanganyaji wa facts na fiction.Hata kwenye maelezo yako kuna vitu umeandika ni known facts,kuna vyengine fiction,kuna speculations na vyengine mseto wa vyote.
Hilo ninajua sana mkuu na kuna vitu kibao uwa navipuuzia, mfano kuna documentary nime idownload jana nimeitazama dakika 8 tu nikaona ya kipuuzi, mara nyingi napenda kutazama midaharo ya watu mbalimbali kuliko documentaries na information zinazopatikana huko nazitafuta tena kuona references. Everything is possible maana hata kwenye biblia unaambiwa Kane alienda mataifa ya mbali na kuoa ikiwa ina maana kulikuwa kuna kizazi kingine tofauti na cha Adam an Eve. Pia kitabu cha Enock kimeongelea mambo mengi ya malaika kufanya ngono na binadam na kuzaa ma giants.
 
Navyojua mimi pia Antarctica ni eneo lote linalozunguka dunia (tofauti na watu wanavyoamini kuwa antactica ipo juu ya ramani ya canada na greenland) pia kuna ulinzi wa majeshi ya Marekani kwamba mtu yeyote haruhusiwi kufika kufanya utafiti. Na pia ndipo maeneo ambayo NASA hufanya tafiti zao na kutuletea picha za huko huku wakitudanganya ni Mars au mwezini nk.
Lakini pia navyoamini Antactica ni un explorable kutokana na ukubwa wake, hakuna binadamu anayeweza kutuletea taarifa zake hata kwa satelite kwa vile eneo lake ni kubwa mno.
Siwezi kupingana nawe, Ila Antarcica ni bara kuhusu kuzia watu kwenda huko hasa wakaingia ndani kabisa yes mtu wa kawaida akifika huko haruhusiwi kwenda beyond. Kuhusu kutudanganya kuwa sijui ni mwezini na Mars I beg to differ, juzi juzi tu Bwana Elon Mask alirusha roketi yake watu Marekani waliishuhudia ikiondoka na watu mtandaoni na kwenye TV waliishuhudia ikipaa ikafika anga za juu akaachia gari lake lilikuwa lina mfano wa roboti umeshika usukani almaarufu kama Space man, then ikarudi na kutua ikiwa imesimama.
Haya yote yalifanyika hadharani kila aliyeweza akishuhudia na hilo gari lake linaelekea kwenye sayari ya Mars
 
Nilisha wahi soma habari za Atlantis watu walio wahi ishi kwenye hilo bara la atrantica habari zake hua kuzipata kwenyewe ni ishu sijui n kipi hua kina fichwa apa

Katka taarfa iyo
Ima semekana jamaa walkua n magiants
Ina semekana jamaa walkua wame piga maendeleo makubwa sana
Kiteknolojia walkua wame weza kupiga hatua kubwa pia
Ni kweli hebu fikiria watu waliamua kujenga mnara ili wamfuate Mungu alipo na Mungu alipoona hawa jamaa wanakaribia akafanya yake
Sipati picha tekenolojia iliyotumika kujenga huo mnara
Na je ulikuwa na urefu gani?
Sio vigorofa vyenu vya siku hizi ukifika flow ya 20 tu watu wanaanza kuguna ooh jengo refu sana
 
View attachment 920908
Hilo ni kati ya fuvu lilitokana na mabaki yao walikuwa na visogo vilivyo vutika nyuma kama mapharaoh miungu wa Egypt

Naweza kukubaliana na wewe maana wakati wa kipindi cha Gondwana sehemu ya kusini ya radhi ya dunia haikuwa na barafu ila ile ya kaskazini ilikuwa imefunikwa na barafu, Hivyo inawezekana Sehemu ya kusini viumbe vyenye akili kubwa viliishi kwakuwa hali ya hewa ili na mazingira yalisupport maisha.
 
Back
Top Bottom