punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 450
Kumbe Tanganyika bado tunaweza kupata waandishi wenye kuandika ukweli bila unafiki! Kwa hesabu yangu huyu ni wa pili, natamani nifikishe angalau kumi nitaridhika...
Tunaomba tuwe tayari kujitoa kwa hali na mali kama Ansbert Ngurumo akiguswa na hasa wanasheria wetu wa humu JF.ninavyojua lazima wamtishe na mikwara mingi.uzuri hii makala imezunguka mitandaoni kama njugu!Uswazi tunasema,
KAUAAA!!!!!!
au ukisikia MBUZI KALA MKEKA NDIO HII!
There are currently 263 users browsing this thread. (39 members and 254 guests)Tunaomba tuwe tayari kujitoa kwa hali na mali kama Ansbert Ngurumo akiguswa na hasa wanasheria wetu wa humu JF.ninavyojua lazima wamtishe na mikwara mingi.uzuri hii makala imezunguka mitandaoni kama njugu!
watoe kwa sababu gani? hayo ni mawazo ya mtu mmoja anaetafuta aitwe kupewa posho. Wala haisumbui kichwa hiyo .
Hapa kuchangia ishu, ngoja nipite tu
Kwani kazi ya usalama wa taifa ni nini, mimi nashauri wampangie miadi akutane na rais ili amshauri, sio siri kwamba utendaji wa mkuu hauridhishi, hajawahi kuwajibisha mtendaji wake yeyote pamoja na madudu yote yanayoendelea kutokea, ila kama alivyosema mwenyewe kwamba wasaisizi wa jk wameamua kumwambia anachopenda kusikia, sijui itakuwaje, tatizo ni kwamba taasisi zinazopaswa kutetea maslahi ya nchi sasa zinatetea maslahi ya wateule. Nampongeza ngurumo kwa uwazi na ujasiri wake, tunahitaji waandishi kama hawa ili kujikomboa.