kwa hiyo atakuwa alikuwa anatania tu!! kama kawa!Childish!!!....Anyway, alikuwa anaongea na watoto, na hivyo labda ilikuwa ni ongea ya ki'dimbadimba zaidi, na ile michezo tulikuwa tukiita mdako au NAGE zamani!
Juzi JK alipokuwa anaongea na watoto wa shule mbalimbali nchini aliahidi kuwa akichaguliwa miaka 5 ijayo, atahakikisha wanafunzi wote watakuwa wanasoma kwa mtandao na kila mwalimu atakuwa anakuwa na laptop yake...mnauonaje huu mtaji?
Eti wanafunzi wa University nao wanaipigania ccm!...................nasikia hao watoto walikuwa wamevaa mashati ya kijani na kuimba "sema baba..usiogope semaaa"!!! kwa kuwa anajua tulivyomkinai, wasaidizi wake wanamuandalia mikutano atakayopigiwa makofi ili wajifariji!!!!! huyo ndio mkwere zaidi umjuavyo!!!!
Ni asilimia 13 tu ya watanzania wanapata umeme. Na ni asilimia 5 tu ya watanzania wote wanatumia computa. Na ni asilimia 8 tu ya watumia computer wote wana access ya internet Tanzania. Huko kusoma kwa mtandao anakokusema JK kutakujaje? Kwali hii ni ndoto, tena ya mchana.Juzi JK alipokuwa anaongea na watoto wa shule mbalimbali nchini aliahidi kuwa akichaguliwa miaka 5 ijayo, atahakikisha wanafunzi wote watakuwa wanasoma kwa mtandao na kila mwalimu atakuwa anakuwa na laptop yake...mnauonaje huu mtaji?
mmmh hapo mimi chichemi!!!Mwezi mchanga huo. Ukiona hivyo hivi karibuni ataanguka jukwaani.
Asabuhi ya leo nilikua nikisikiliza news toka Radio WAPO, mojawapo ya taarifa ni kwamba eti Kiranja mkuu kawaambia wachaga kuwa miaka mitano ijayo shule elfu tatu zitakuwa zinafundisha kwa kutumia Tele-conferencing system hivyo tatizo la uhaba wa Walimu litapungua...na blah blah nyingi. Swali langu la wasiwasi ni kwamba,
Hapa UDSM achilia mbali huko primary na secondary, wameshindwa kutumia system hizo, huko kwa walimu wa watu wasiojua lolote si ndio kuwadangaya kweli? UDSM zipo room ALT A & B na SA & SB vyenye hii mifumo ambayo wala haifanyi kazi wala haitumiki...jamani kweli walimu wetu waweza kuyafanya haya ndani ya hiyo miaka mitano ya Kiranja mkuu huyu, ajabu ya Mungu wachaga wale wakapiga makofi na kufurahia kweli kweli.
Tunakoelekea tutakuja kuambiwa mabomba yatatoa maziwa tukubali. tuwaeleze wananchi vitu ambavyo vina mantiki na sio kuongea ili mradi umeongea