Another African crisis in the making: "ANC unleashes terror against election rivals" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Another African crisis in the making: "ANC unleashes terror against election rivals"

Discussion in 'International Forum' started by Kitila Mkumbo, Mar 1, 2009.

 1. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #1
  Mar 1, 2009
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ni bahati mbaya kwamba vijana wa ANC wameanza kuwakong'ota wenzao wa Cope. Inaonekana hawataki wafanye hata kampeni. Mbaya zaidi inaonekana fujo hizo zinashabikiwa na kupewa baraka zote na uongozi wa juu kabisa wa ANC. Sasa Cope wameanza kushindwa kufanya kampeni kwa sababu ya fujo. Ni wazi kwamba hali hii ikiendelea hivi tunatengeneza mgogoro mwingine Afrika, na hii itakuwa ni aibu sana kwetu sote na itazidi kuthibitisha maneno ya Nyani kwamba "ndivyo tulivyo". Hali hii yafaa tuizomee mapema, tutashtuka tukiwa tumechelewa sana.

  Soma hapa zaidi: ANC unleashes terror against election rivals - Times Online
   
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  ndoto za world cup zinaanza kuota mbawa, haya ndo matatizo ya kumuona mtu (viz Zuma) ni bora kuliko nchi.
   
 3. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii ndio Afrika yetu, viongozi wanatumia kila njia vyama tawala vyao vibaki madarakani. Hatuwezi kuendelea kama hatutaruhusu wananchi waamue nani ama chama gani kiongoze. Na kama Zuma atawatumia wazulu, hawa jamaa toka enzi za ubaguzi walikuwa watu hatari sana. Kulipuka tena Afrika Kusini ni rahisi, juzi juzi tu hapa waliua waafrika wenzetu. Siasa ikitumiwa vibaya sababu tu ya kutaka madaraka ina madhara yake. Huyu Zuma ana kashfa kibao, sasa ANC sijui wanaipeleka wapi nchi?, mara wanataka futa kile kikosi cha uchunguzi (The Scorpion unit) sababu tu kilitenda kazi zake kwa umakini na kiliweka wazi makosa ya Zuma.
   
 4. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kitila,

  Unategemea nini kutoka kwa viongozi kama akina Zuma?

  Ndio alisaidia kuikomboa SA lakini uongozi kwasasa wangewaachia watu ambao wana upeo zaidi ya watu kama Zuma.

  Akifa Mandela, SA itageuka kuwa Tanzania ya baada ya kufa kwa Nyerere.
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Sasa sii majority bado wanampenda Zuma?
   
 6. Zalendohalisi

  Zalendohalisi Senior Member

  #6
  Mar 1, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hiyo ndiyo demokrasi African-Style. Wenzetu wanalumbana kwa maneno majukwaani (JF tunaiga kwa mbaaali) ila kwa waafrika physical confrontation lazima hadi mpinzani wako akubali na akizidisha ubishi mkong'oto kama kazi! Yataisha lini? Sijui, lakini historia inanishawishi kuamini kuwa labda baada ya vizazi hamsini hivi lakini not in the next five generation Never! Solution: Uamume kuishi kwa matumaini ya mabadiliko kutokea in your lifetime au kuhakikisha kuwa unatimiza wajibu wako wa kuishi kama binadamu - kuvaa, kula etc - by any means necessary!

  ZalendoHalisi
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Mar 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hehehee...Kitila umejichimbia wapi siku hizi bana? Umeona juzi zimechangwa dola 250,000 ili kufanikisha sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Mugabe? ihihihihihihii....
   
 8. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kwani vijana wa ANC wana tofauti gani na kina Nchimbi na UVCCM?

  They are all the same, believing that the Country is theirs and their followers and nobody else!

  Angalia UVCCM wanavyojifanya wao ndio most entitled pale Tanzania mpaka kuyumbisha chama chao wenyewe!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Mar 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Heheheheeee...Miafrika haiishi kushangaza! Mara tu unapoona baadhi imeanza kujirudi inaibuka mingine inayoharibu...eheheheheheheeee...oh Lord have mercy....
   
 10. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #10
  Mar 2, 2009
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145

  Nipo, nimerudi bongo-mambo kibao nje ya mtandao, wakati huko uzunguni mambo kibao ndani ya mtandao-nafikiri unapata jibu hapo!!
   
 11. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You made my day. hata huyo Lord mwisho ameshachoka maana miafrika imepewa ubongo lakini haitaki kabisa kuitumia. Yaani hii ngozi nyeusi plus nywele za kuchania spoku ni laana kwa kwenda mbele isipokuwa most jamii forum members.
   
 12. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Usiende mbali huko south wewe angalia hali hali na matokeo ya hapa kwetu TANZANIA ni ushahidi tosha wa kujiuliza hivi sisi wafrika kuna nini katika akili zetu zamani tulikuwa tunasingizia wakoloni sasa jee nini ?
   
Loading...