Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Hebu weka Picha na sisi tuwaoneHabari.
Naomba kuuliza hawa watu wanaovaa mask za mtu anayetabasamu ni wakina nani?
Wanajihusisha na nini?
Malengo yao ni nini?
Thanks
kwa faida ipi sasa wanafanya hivyo?
ananoymous ni kundi la watu wasiojulikana ambao wanapatikana maeneo mbalimbali duniani wanaoungana na kupigana na uonevu mbalimbali duniani. silaha yao kubwa ni internet.
washazi attack serikali mbalimbali kama za Israel, Usa, Uganda, Tunisia, Iraq etc pia mashirika mbalimbali kama Visa, Paypal, Master card etc, pia website mbalimbali kama zinazoonesha ngono za watoto na copyright agencies.
kifupi jamaa wanajua na ni hatari, wanaweza kupromise wiki ijayo tutafanya attack website xxxx na wakafanikiwa, hata mjilinde vipi.
Hebu weka Picha na sisi tuwaone
Weka piza kwanza mkuu
Kwa faida ya binadamu wote wanataka kufanya dunia kuwa mahali salamakwa faida ipi sasa wanafanya hivyo?
Naomba kujua history yao kidogo...
Basi hawa jamaa ni jau
ananoymous ni kundi la watu wasiojulikana ambao wanapatikana maeneo mbalimbali duniani wanaoungana na kupigana na uonevu mbalimbali duniani. silaha yao kubwa ni internet.
washazi attack serikali mbalimbali kama za Israel, Usa, Uganda, Tunisia, Iraq etc pia mashirika mbalimbali kama Visa, Paypal, Master card etc, pia website mbalimbali kama zinazoonesha ngono za watoto na copyright agencies.
kifupi jamaa wanajua na ni hatari, wanaweza kupromise wiki ijayo tutafanya attack website xxxx na wakafanikiwa, hata mjilinde vipi.
Naomba kufaham historia yaoKwa faida ya binadamu wote wanataka kufanya dunia kuwa mahali salama
ungehaki mke wako?Huwa nawaza sijui ningekuwa naweza ku-hack sijui ingekuwaje
Sipati picha aisee
Ningeanza na mkeo mkuuungehaki mke wako?
mi sijaoa..Ningeanza na mkeo mkuu
Sio hao mkuu, wenyewe huvaa masweta na mask. Ningependa kufaham history yao walikoanza walipo na wanakoelekea..
Nawafahamu vizuri mkuu wanavaa Mask the Guy Fawkes.....Sio hao mkuu, wenyewe huvaa masweta na mask. Ningependa kufaham history yao walikoanza walipo na wanakoelekea..
malengo yao nn hasa
Mkuu naomba uingie deep zaid tafadhari nijue japo abc kuhusu hwa watu..Nawafahamu vizuri mkuu wanavaa Mask the Guy Fawkes.....
Wanasema wao ni Internet Vigilantes lakini siyo Vigilantes wale ni State Sponsored Hackers who are working for the Big Brother. Threshold ya mashambulio yao dhidi ya Serikali mbali mbali duniani siyo ya vikundi vya wahuni tu, wale ni lazima wana mkono wa Taifa kubwa.....