Anonymous Emails | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anonymous Emails

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Baba_Enock, Nov 9, 2009.

 1. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wakuu naomba msaada/ushauri

  Nimekuwa nikitumiwa emails na mtu mara kwa mara zikiwa na maneno ya kashfa na vitisho. Address yake xyz@yahoo.com

  Ninawezaje ku-trace au kupata msaada wa ku-trace huyu mtu anatuma emails kutoka wapi?

  Au ni utarattibu gani nifuate ili kuweza kumpata huyu mtu au anagalau kumfanya aache kutuma hizi emails?

  Natanguliza shukrani
   
 2. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  embu check na TCRA wanaweza kukupa ushauri
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  simply click SPAM and set it to ON, automatically zitakua zinafutwa.
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kama unatumia email za yahoo, go to options, click then select mail options, then go to sparm!! from there kuna options nyingi tu, sasa fanya setting hapo pamoja na ku automatically suspects sparms to sparm folder. pia chagua "empty sparm folder immediately" when sparm emails are received! halafu kuhusu huyo jamaa anaye kutumia emails sijui xyz@yahoo.com...angalia hapo kuna mahali pameandikwa: Blocked Email Addresses basi hapo type/andika email ya huyo 'fisadi' kisha click add button. na hiyo email itakuwa listed hapo kwa chini! kisha hapo kwa juu utaona option ya ku-save changes (click to save changes)basi ukifanya hivyo hautopokea email yeyote kutoka kwa huyo fisadi!

  kuhusu kumtrace huyo mjibaba ni rahisi sana. simply click hii link: http://www.ip-adress.com/trace_email/

  ukishafungua hiyo link hapo juu utaona kibox na maneno haya: For email tracing copy and paste an email header in this field:
  basi kama unatumia new yahoo email, nenda katika email uliyotumiwa ifungue. kisha utaona kuna mahali pameandikwa "actions". click hapo na uende kwa chini pameandikwa "full header", basi subiri kama sekunde 1 na header itakuja hapo! ikopi kama ilivyo na uje kuipaste katika kibox katika ile link uliyofungua. ukisha paste hapo click: trace email sender

  then utaona majibu: Email Tracing succesful! basi hapo utaona details zote kuanzia IP mpaka saa aliyotuma na jina la nchi, jina la mji na hata Network provider wake!!

  Caution: kuna tatizo moja...hao mafisadi mara nyingine wanaweza tumia IP fake yaani wame divert Ip address zao! kama hivyo ndivyo basi hutojua exactly mpaka uwasiliane na FBI, lkn kama ni kamtu tu hapo bongo hana ujanja huo wa ku-divert IP

  Try plz then tupe majibu hapa katika thread!

  Matatizo yakizidi usisite kuwasiliana nami. Dawa ipo na uwezo tunao!!!

  Kila la heri!
   
 5. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Great!!! tushirikiane kama hivyo!
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nilivyoelewa shida ya mtoa mada si kutaka kublock messages kama wengine wanavyomshauri.Anataka kujua email messages zinatoka wapi.

  Unaweza kupata IP Address ya computer iliyotumika kama email client unayotumia inaweza kukuonyesha MIME headers.Kama haionyeshi unaweza ku forward email kwenye email iliyo na Outlook au system nyingine inayoonyesha MIME headers.

  Ona imeelezwa vizuri hapa

  Lazima nitie mkazo kwamba utapata IP Address tu, ambayo inaweza kuwa ya Internet cafe or any other public place.
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0


  yaani we Bluray uko shallow kila idara! huh damn! sasa unang'ang'ania eti utapata ip address tu, pitty! hell no! utapata ip na jina la mahali mwenye ip alipo na service provider wake (jina lake), hayo maelezo nliyotoa hapo juu sio kwamba nimekulupuka, nimeshafanya hivyo! nina uzoefu nayo! hahahaha 'mijitu mingine sijui vipi', kama unabisha nikutengenezee 'video' uone na nitakuelekeza kila kitu!

   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  BluRay yupo sahihi.
  Basically haiwezekani kumpata huyo mtu kwa kutumia email ya yahoo, header ya Yahoo mail itasema email imetoka server ya yahoo hakuna la ziada, na hata kama ukipata IP address, kupata ni nani alikuwa anatumia hiyo IP hautaweza bila ISP kukupa hizo data, kitu ambacho hawawezi kufanya mpaka wapewe court order.

  Zaidi ya hapo kama alichukua simple precaution kama kutumia Internet Cafe au kutumia proxy server ndo kabisa hata ukipata ushirikiano wa ISP bado hautapata chochote. Fuata ushauri wa kuclick kitufe cha SPAM halafu achana nayo.
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0

  kumbe na wewe ndio walewale!
   
 10. K

  K4jolly JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya maelezo uliyoeleza ni kwenye yahoo, je kwenye outlook express unafanyaje kuzuia hizi spam? Nitashukuru msaada wako.
   
 11. s

  shabanimzungu Senior Member

  #11
  Nov 23, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  impossible do not waste your time..until u know someone in FBI or CIA.........
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Atakuwa ni shemeji yetu anajaribu kukupima kama uko stable! LOL
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Nov 23, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu nchi zote zina sheria za kupambana na uhalifu wa aina zote hata huo hapo kwahiyo nakushauri uwasiliane na jesho la polisi kitengo cha kupambana na uhalifu kwa njia ya mtandao au wa mitandao kama uko tayari naweza kukupa jina la mtu wa kuwasiliana nae ukifika pale uwe na vielelezo vyote hao wataweza kukusaidia

  ------------------------------------------------------------------------------

  napenda kukujulisha kwamba ukijaribu kumtrace au kufanya njia yoyote ile ujue wewe pia unaweza kuwa mhalifu kwa njia moja au nyingine kwa sababu anaweza kuchukuwa address yako na kwenda kuifungulia mashtaka ukashitakiwa wewe kwahiyo usijaribu kufanya hivyo nenda kwenye vyombo vya sheria hakuna wa kukimbia
   
Loading...