si ana mabasi 8 ameyaweka kwenye kampuni ya super fuso kutoka dar to songea
auze moja ili ajenge...aache kuzuga.
Nikiwa primary sch. miaka ya 1980, huyu mama tayari alishakuwa mbunge! Leo hii eti akakope pesa ya kujengea nyumba! Alikuwa wapi muda wote? Na hizo fedha za ubunge alikuwa anapeleka wapi?
Anasema alikuwa anajenga shule na hospitali jimboni kwake.
mh spika wa bunge la jamuhuri ya muungano amesema kuwa hato gombea ubunge chaguzi mkuu ujao. amesema anataka kukopa pesa arudi kujenga nyumba, sorce ITV, HABARI YA SAA MBILI.
Asitufanye sie madunya. Ashanyonya vya kutosha na sasa bora awaachie wengine. Yaani tangu akiwa binti kigoli mpaka leo anapokua bibi bado yumo mjengoni
Muongo mkubwa, kama ni shule za NDDT alizikuta, astake umaarufu wa bure.Anasema alikuwa anajenga shule na hospitali jimboni kwake.
Nikiwa primary sch. miaka ya 1980, huyu mama tayari alishakuwa mbunge! Leo hii eti akakope pesa ya kujengea nyumba! Alikuwa wapi muda wote? Na hizo fedha za ubunge alikuwa anapeleka wapi?
ana ghorofa ya kisasa mbili nazijua moja ipo kijitonyama karibu na kituo cha polisi mabatini na nyingine karibu na nyerere mikocheni. nadhani ya kijinyama ndio anaishi ya mikocheni kampangiza mdogo wa rostam aziz aliyekamatwa na madawa ya kulevya tanga