Futeni chadema!
mama makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.
My take;
mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.
Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana mbowe.
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.
My take;
Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.
Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.
Huyu mama anaishi dunia gani na jana katika vyombo vyote vya habari husani Television zilionyesha Mbowe akiwa anahojiwa na kutoa tamko kuwa Chadema hawatashiriki vikao vya bajeti bungeni leo! Natumaini huyu mama hakulala kwake na kama alilala kwake basi hana Television au hasomi magazeti!Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge
Doesn't she watch TV news? Didn't she hear what happened in Arusha, Yes she is not interested in the people who were killed. If she could get a call from Lumumba, Magogoni then she could act immediately. I tell you before the end of the times all secret deals will be to the open,Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.
My take;
Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.
Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.
Kwani upinzani ni Chadema tu. Cuf ,nccr, tlp. Si watoe bajeti.
wewe kocho kweli. mwambieni mke wenu mliberali awasilishe maoni. bunge jeupeee vichwa vyote vipo A TOWN.Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.
My take;
Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.
Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.
zilizomwagika ni damu za watanzania wasio na hatia, kwani mnashindwa nini kupitsha li -bajeti lenu; Mbowe please hakikisheni hao wasio na hatia wanapata matibabu yanayostahili na kuwalaze pema peponi wale waliohukumiwa kifo bila makosa; poleni sana CDM kwa msiba huu.Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.
My take;
Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.
Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.
Doesn't she watch TV news? Didn't she hear what happened in Arusha, Yes she is not interested in the people who were killed. If she could get a call from Lumumba, Magogoni then she could act immediately. I tell you before the end of the times all secret deals will be to the open,