Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharura na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.
 
Huyo mama Makinda ni mwendawazimu wa kawaida kabisa.
CCM ni chama kilichojaa vichwa maji wengi sana.
 
mama makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana mbowe.

ila taarifa ya mauaji anayooo??? Hivi bunge lina raha gani kuketi na kuzungumza ikiwa hali si nzuri kwa watanzania wenzetuuuu.
 
Kwani upinzani ni Chadema tu. Cuf ,nccr, tlp. Si watoe bajeti.
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.

Mbowe ana akili nyingi kuliko wewe mtoa hoja, hivi kwa nchi ilivyo sasa unaona imekaa vizuri , ccm wanatabiri kupitia mtabiri wao Nchemba anawambia watu wasiende kwenye mikutano ya CHADEMA watu wanaenda kesho yake kweli wanapatwa na janga kubwa kama lile, Lukuvi leo anaongea utafikiri aliishia darasa la chekechea, Mwigulu yuko bungeni polisi hawajachukua hatua yoyote kumarrest asaidie juhudi za kutafuta chanzo cha maafa

Mbowe na wabunge wengine wote wa CHADEMA wapo sahihi , uroho wa madaraka wa ccm unalipeleka taifa pabaya
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge
Huyu mama anaishi dunia gani na jana katika vyombo vyote vya habari husani Television zilionyesha Mbowe akiwa anahojiwa na kutoa tamko kuwa Chadema hawatashiriki vikao vya bajeti bungeni leo! Natumaini huyu mama hakulala kwake na kama alilala kwake basi hana Television au hasomi magazeti!
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.
Doesn't she watch TV news? Didn't she hear what happened in Arusha, Yes she is not interested in the people who were killed. If she could get a call from Lumumba, Magogoni then she could act immediately. I tell you before the end of the times all secret deals will be to the open,

Utapata barua mbowe ni makini sana amepokea uenyekiti tukiwa na wabunge wanne sasa tuna wabunge zaidi ya ishirini hata juzi alilengwa yeye nmeamini mungu alikuwa pamoja na chadema daima
 
Kwani upinzani ni Chadema tu. Cuf ,nccr, tlp. Si watoe bajeti.

Kumbe mkuu hujui?

CHADEMA imewatenga wabunge wote wa vyama vingine vya upinzani, yani wamejipa mamlaka kuwa hapa nchini wao tu ndio wapinzani. Hivyo, mfumo uliopo bungeni wa kambi ya upinzani ni wao tu ndio wameuweka mfukoni. Watu wa ajabu sana CHADEMA.
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.
wewe kocho kweli. mwambieni mke wenu mliberali awasilishe maoni. bunge jeupeee vichwa vyote vipo A TOWN.
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.
zilizomwagika ni damu za watanzania wasio na hatia, kwani mnashindwa nini kupitsha li -bajeti lenu; Mbowe please hakikisheni hao wasio na hatia wanapata matibabu yanayostahili na kuwalaze pema peponi wale waliohukumiwa kifo bila makosa; poleni sana CDM kwa msiba huu.
 
Doesn't she watch TV news? Didn't she hear what happened in Arusha, Yes she is not interested in the people who were killed. If she could get a call from Lumumba, Magogoni then she could act immediately. I tell you before the end of the times all secret deals will be to the open,

Official matters mkuu zinafanywa kwa documents.

Wewe wa wapi?
 
Bungeni ni mahala pa ONE MAN SHOW, kwahiyo ni lazima aongee sana pale, maana anajua wakwe zake wanamtazama (kama anao)!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom