Anne Kilango Malechela lazima ang'olewe

Kelele bungeni zisizo za mcngi n sawa sawa na kujipalia kaa la moto.YUKO WAP SELELII,

Tatizo lao wakisharudi bungeni mara 2 wanalewa madaraka wakidhani hakuna mbadalao wao, tizama mramba wa aliyekuwa waziri enzi za mkapa
 
ukimuona mwanamke anashika kiuno mbele ya wanaume huku akiongea, ujue huyu hafai hata kwa matumizi ya nyumbani, sasa ndo aina ya huyu mama! hovyoo kabsa

ha ha haaa ni maneno machache na mepesi sana ila ni zaidi ya matusi yote duniani
 
ukimuona mwanamke anashika kiuno mbele ya wanaume huku akiongea, ujue huyu hafai hata kwa matumizi ya nyumbani, sasa ndo aina ya huyu mama! hovyoo kabsa

Wakuu punguzeni ukali wa maneno. Juzi Spika alimtambulisha William Malecela kama mtoto wa Anne Kilango. Tafadhali jamani. Ila anaboa. Kuna wakati Sofia Simba alisema huyu mama aliolewa na mzee ili awe first lady, ila alipoukosa ndo akajifanya anapambana na ufisadi.
We are starting to see her true colours

Le Mutuz mwambie maza apunguze mbwembwe na asome alama za nyakati. Tanzania ya sasa si ile ya miaka 50 iliyopita
 
Huyu mama alinikera nilitamani nipasue tv yangu. She is the most pathetic mp in the house!! Anawakilisha maslahi ya nani huyu mama?

Anamuwakilisha Rostam maana ndie aliyechangia kampeni zake.
Source; Sofia Simba
 
this woman really bored me....actually ndio alichafua hali ya hewa pale bungeni....

hana quality zozote za uongozi...ni mtu wa mijazba na mipasho!
 
Huyu mama ananikumbusha wakati wa kampeni alikuja Moshi mjini akiwa na Olesendeka kupiga kapeni maneno aliyoongea pale Moshi watu walitema mate chini ptuuuu na kuondoka hawakua na haja ya kuendelea kumsikiliza. Cjui wapare nani aliwalogea huu mzimu unaoitwa Anna Kilango.
 
Ndugu zangu jitahidini kuelewa mambo. Msiwe kama mfa maji anayeweka tumaini kubwa hata kwenye unyasi. Mwishowe mnaishia kutoa kauli mbovu bure kwa kufikiri mmesalitiwa na mliowategemea. Wapambanaji wa ufisadi ndani ya CCM? That's an illusion. Huyo Anna Kilango mwenyewe hata alipokuwa anabwatuka bungeni enzi za Richmond ulikuwa unaona tu kuwa hajitambui wala kuelewa kina cha suala lenyewe (ndani ya chama chake). Hata leo sijui kama imemuingia akilini kuwa bosi wake JK ni mdau rasmi katika Richmond/Dowans/Symbion na dili zote muhimu za kifisadi. Nionavyo, hana uelewa, hana cha maana anachosimamia wala hana mkakati wa maana kisiasa.
 
nishawahi kumpa salamu zake huyu mama. hafai kabisa huyu.mda wake unahesabika akae akijua kabisa...
jimbo lake ni maskini halina hata barabara moja ya lami ukiachana na ile inayopita kwenda huko moshi na arusha ..hana lolote huyu mama..kadnganya wazee wetu wa mamba kuwa anawaletea kiwanda cha Tangawizi wakati barabara ni mbovu kwenda huko milimani sasa hiyo tangawizi sijui wataibeba kwende ndege sijui. huyu mama abaki nyumbani na mze wake basi inatosha

Umenena, sasa hivi ukienda Mamba ni tabu tupu, barabara iliharibiwa na mvua hadi watu walikuwa wanapitia saweni!! 2015 lazima tumuoneshe kuwa mchunga ni dawa ya malaria pia na sio mboga tu
 
this woman really bored me....actually ndio alichafua hali ya hewa pale bungeni....

hana quality zozote za uongozi...ni mtu wa mijazba na mipasho!
hata mimi nilimdharau kabisa na sitokaa kumsikiliza tena akiongea bungeni. kama angekuwa na busara kidogo angekaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wake kwasababu kilichorudishwa bungeni ilikua ni muhafaka wa watanzania(nje ya bunge) baada ya bunge,yeye akiwamo kushindwa kutupatia sheria nzuri ya mchakato wa katiba mpya.
 
Hakuna mtu anayefaa ktk jamii atakayefaa ktk mfumo mbovu. Kama tunakubaliana kuwa ccm ni mbovu kiasi kwamba imepelekea kuwepo serikali ovyo, uchumi dhaifu, elimu duni, afya duni, michezo duni na kadhalika, sitarajii kuwa watu walikuwa wanamwona kilango kama ni mtu anayefaa. Hakuna mtu yuko ccm atatufaa kama tunasema ccm haifai, ukifuatilia mienendo ya watu kama magufuli, mwakyembe, sita utagundua kuwa kila mtu aliyepo ccm yupo kimaslahi binafsi na sio maslahi ya taifa. kwa hiyo kilango na sendeka bado ni walewale tu na kama wangekuwa na uchungu na nchi hii wasingekuwepo ccm mda huu.
 
mi nmeshndwa nimtukanaje?,ok yeyote mwenye contacts zake amjulishe angalau aje asome post hii tu halafu asepe zake,.au kama vipi mama lwakaT mstue mama kilango aje aone hii pls... Kama sio ban ningesema kitu hapa!.
 
....... Huyo Anna Kilango mwenyewe hata alipokuwa anabwatuka bungeni enzi za Richmond ulikuwa unaona tu kuwa hajitambui wala kuelewa kina cha suala lenyewe (ndani ya chama chake). Hata leo sijui kama imemuingia akilini kuwa bosi wake JK ni mdau rasmi katika Richmond/Dowans/Symbion na dili zote muhimu za kifisadi. Nionavyo, hana uelewa, hana cha maana anachosimamia wala hana mkakati wa maana kisiasa.

Very well said! If you do not stand up for something you will end up falling for everything. Mama Kilango amekua bendera fuata upepo. So sad! On the other hand; at least anakitu chakujivunia though i.e. kuweza kukampeni jimboni nasio kusubiri viti maalum.
 
Back
Top Bottom