Anne Kilango Malechela lazima ang'olewe

Anne Kilango Malechela lazima ang'olewe

hapo kwenye red mkuu i beg to differ..she got the sexiest lips in the house but what comes out of that god's creation is another story..she is two faced,coward,hypocrite and envious.
Anna_Kilango_Malecela_22_Juni_2008.jpg


Sexiest mouth..........mwana una mawazo..........lakini uliponiacha hoi ni pale uliposema kinachotoka mdomoni humo ni another story..........duh................Mwanae aitwaye Nzota akiiona hii lazima akutafute.
 
Yule alichokionyesha ni kuwa yeye ananunulika... Kwamba next time atabandika price tag....
 
kung'oka ni kama kumsukuma mlevi tunamhandaa mtu wa kundondosha kama land slide

hakuna haja ya kumwandaa mtu mwingine.
Yupo Mama Kaboyoka ambaye aligombea kwa tiketi ya chadema mwaka 2010. Yuko smart sana huyu mama.
Muulize huyo Kilango alivyopelekeshwa, kama si uchakachuaji sijui hayo mapovu sa hizi angekuwa anayatolea wapi.

Kitu kingine:
Huko Gonja kuna vijiji vinahitaji elimu ya uraia.....mfano hapo Mamba, Ndungu, Vushanje nk. Hivi ndo viliiangusha chadema 2010.
 
Sheria ifuatwe katika kumuondoa isiwe kuvunja katiba na kutumia ubabe.

Kwa sharia za Tz labda mjipange 2015 kama sio kifo au kichaa.
 
Huyo mama hamna kitu, aliniudh vbaya sana, to hell.
 
Hakuna mpigania haki CCM wote niwapigania matumbo tu, Kina Sita, Mwakyembe, Kilango, Olesendeka=na John Cheyo wa UDP au Mrema wa TLP.

Huyu mama anajifanya mjuaji kumbe ni kihio
 
Huyu Kilango nashukuru si Mama yangu, kwanza hajui kujenga hoja yeye ni makerere tu, kutema tema mate ovyo ovyo, kurusharusha mikono ovyo ovyo, mishipa inamtoka, nahisi wabunge wanaoketi nae karibu bungeni wanakwazika, huyu Mama ni chiriku sijui ujana wake alikuaje? waliosoma nae watujuze!
 
mkuu ndo maana kuna zaidi ya wabunge 300 kila mtu na mawazo yake, hatufanani
 
Weeeeee atakuwa alichakachua tu! Manake kwa kulitokea kamtiti enzi hizo za uchaguzi
ila pia sitokei kwa wapare hao mkuu mi ni mwanga !!hata kama ningekiuwa wa pande hizo asingengeisikia kura yangu hata kwa dawa kwakweli
sijakwazika bibie.ila huyu mama nyie ndio mli,pigia kura nini
 
Sheria ifuatwe katika kumuondoa isiwe kuvunja katiba na kutumia ubabe.

Kwa sharia za Tz labda mjipange 2015 kama sio kifo au kichaa.


Barubaru I beg your pardon,

Hapo kwenye red unamaanisha SHARIA au sheria za Tanzania?
Nijuavyo hapa TZ hatuna sharia maana hii siyo serikali ya Kiislamu inayotawaliwa kwa sharia.

Tunaamini kwamba Katiba mpya itatupa sheria zitakotufanya kuwaondoa CCM madarakani akiwemo Anna Kirago Marecela.

Wasaalamu.
 
including me nimo kwenye kundi la wapare kwa taarifa yako tu!
na kama we mpare ni walewale ndo maana unajiona mjanja kuliko mie ,hihihihihihiiiihihih
Acha ushamba wewe, sasa ameongea kilango kama cherehani ndo ugeneralize wapare wote?? tumia akili bana
 
Huyu Kilango nashukuru si Mama yangu, kwanza hajui kujenga hoja yeye ni makerere tu, kutema tema mate ovyo ovyo, kurusharusha mikono ovyo ovyo, mishipa inamtoka, nahisi wabunge wanaoketi nae karibu bungeni wanakwazika, huyu Mama ni chiriku sijui ujana wake alikuaje? waliosoma nae watujuze!

hiyo nyekunduuu unamaanisha?
 
Back
Top Bottom