Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
nimeshamuambia achunge mdomo wake...tunemkoma
Hahahaha! Mhh nawe... vantu va Ivuga tevekoma.,vantu ngwa ni vapole sana....!
nimeshamuambia achunge mdomo wake...tunemkoma
Hahahaha! Mhh nawe... vantu va Ivuga tevekoma.,vantu ngwa ni vapole sana....!
sijui kwa nini chadema walishindwa kulichukua hili jombo mwaka 2015.
wapare utawaweza wakipewa masufuria za pilau, kanga na kofia baaas, angalia hapo Mwanga, toka Msuya astaafu Maghembe kafanya lipi la maana?Huyu mama ananikumbusha wakati wa kampeni alikuja Moshi mjini akiwa na Olesendeka kupiga kapeni maneno aliyoongea pale Moshi watu walitema mate chini ptuuuu na kuondoka hawakua na haja ya kuendelea kumsikiliza. Cjui wapare nani aliwalogea huu mzimu unaoitwa Anna Kilango.
sijui kwa nini chadema walishindwa kulichukua hili jombo mwaka 2015.
hakuna mtu anayefaa ktk jamii atakayefaa ktk mfumo mbovu. Kama tunakubaliana kuwa ccm ni mbovu kiasi kwamba imepelekea kuwepo serikali ovyo, uchumi dhaifu, elimu duni, afya duni, michezo duni na kadhalika, sitarajii kuwa watu walikuwa wanamwona kilango kama ni mtu anayefaa. Hakuna mtu yuko ccm atatufaa kama tunasema ccm haifai, ukifuatilia mienendo ya watu kama magufuli, mwakyembe, sita utagundua kuwa kila mtu aliyepo ccm yupo kimaslahi binafsi na sio maslahi ya taifa. Kwa hiyo kilango na sendeka bado ni walewale tu na kama wangekuwa na uchungu na nchi hii wasingekuwepo ccm mda huu.
Huyu mama jamani amejeruhiwa sana....ni muongo na mnafiki....mimi huwa namwita mbumbumbu wa hoja...hajawahi kutoa hoja hata moja bungeni...yeye huwa anatumia hisia tu na nguvu....ni kipindi kile cha richmond mama huyu alikuwa analia badala ya kutoa hoja....mimi niko tayari mwaka 2015 niende same kuongeza nguvu ya kampeni kwa upinzani kumuondoa mama huyu changudoa wa sheria...
Kama kuna Wabunge ambao wameudhi,wamekera,na kuwachefua Watanzania kwenye Mkutano wa Bunge uliomalizika hivi majuzi ni Anne Kilango Malecela. Mama huyu anayejipambanua kuwa ni mkereketwa na mpambanaji wa Ufisadi amejidhihirisha kuwa si lolote wala chochote baali ni mnafiki,mwongo na mbumbumbu asiyejua lolote kuhusu umuhimu wa Katiba ya Nchi.
Kitendo cha Anne Kilango kukomaa na kung'ang'ania kurudisha kipengele cha kuwaondoa Wakuu wa Wilaya(DCs)kwenye Mswada wa mchakato wa Katiba mpya kimemshushia hadhi kwa asilimia kubwa pamoja na kwamba kwa Wabunge wenzake wa CCM alionekana kuwa ni shujaa wa karne.
Nilimwangalia wakti akiwasilisha hoja yake ya kuwarudisha ma-DC kwenye mchakato wa Mswada wa Katiba Mpya. Anne Kilango aliongea kwa jazba huku mishipa ikiwa imemtoka,mate yakiruka huku na kule toka mdomoni na midomo akiipanua kama vile kile alichokuwa anatetea kina maslahi yoyote kwa Watanzania. Huyu mama alionekana KUMKOSEA ADABU HATA RAIS wake ambaye kwa ushauri wa vyama vya siasa na wadau mbalimbali aliliona hilo ya KUWA WAKUU WA WILAYA NI MAKADA WA CCM na wasingefaa kuhusishwa na mchakato huu kwani LAZIMA WATAEGEMEA KWENYE MASLAHI YA CHAMA CHAO CCM. Hapa Rais Kiwete ALITANGULIZA MASLAHI YA TAIFA NA SIYO CHAMA! Kwa kitendo hiki Anne Kilango Malecela alimpinga Rais na Mwenyekiti wa Chama chake na hivyo kuonyesha dharau ya wazi kabisa!! Lakini kwa vile alikuwa anatetea maslahi ya CCM na Wabunge wenzake hoja yake iliungwa mkono na Wabunge wote wa CCM.
Sasa basi mimi nasema hivi, Anne Kilango Malecela amejichongea. Lazima afuate nyayo za mmewe Samwel Malecela ifikapo 2015 au kama itatokea Uchaguzi kabla ya hapo. Kama Anne Kilango huwa anapitiapitia kwenye ukumbi huu wa JF basi ajue kuwa hizo ndiyo salamu. ASITEGEMEE KURUDI BUNGENI TENA BAADA YA KIPINDI HICHI. Namwambia asahau. Huyu mama asifikiri Watanzania wa sasa ni wale ambao mmewe Mzee Malecela aliwahi kuwaambia,THEY CAN GO TO HELL baada ya kubanwa maswali Bungeni kuhusiana na usafiri wa Treni miaka ile ya Mwalimu.
Anne Kilango Malecela hizo ndiyo salamu za mjomba. Huwezi kuleta dharau zako Bungeni kwa kutetea wakuu wa Wilaya kwa kutanguliza maslahi binafsi na Chama Chako cha Magamba ili wakusaidie wakti wa uchaguzi kuchakachua kura zetu. Sasa ujue kuwa pamoja na kuwatetea ma-DC lazima uondoka Bungeni.
Wasalaam.
Umenena, sasa hivi ukienda Mamba ni tabu tupu, barabara iliharibiwa na mvua hadi watu walikuwa wanapitia saweni!! 2015 lazima tumuoneshe kuwa mchunga ni dawa ya malaria pia na sio mboga tu
hapo kwenye red mkuu i beg to differ..she got the sexiest lips in the house but what comes out of that god's creation is another story..she is two faced,coward,hypocrite and envious.Huyu mama anafanana chiriku hata ukiona anvyokunjakunja midomo yake nafikiri wabunge wanao kaa nae karibu huwa wanaloa kwa mimate yake
Anadhalilisha wamama wa nguv walioko nafasi za juu !ye anakuwa kama mama muuza chang'aa bhana makelele kama chizi mimate inamtooka
!!!
Wapare bhana aghrrr
ukiwachunguza wengi wana viherehere na wanaongea kuliko cherehani