Jamani huu mwaka wa uchaguzi CCM. Alikuwa anapiga kampeni za uchaguzi CCM kwa kujipambanua kuwa yeye ni kada mzuri hasa katika kutetea madudu ya CCM. Naona mabadiliko ya katiba yao yanayowaondoa wabunge kugombea mpaka wapate vibali yatamfanya ajifikirie tena. Yule mama ni mchumia tumbo, bunge lililopita alikuwa anakomalia sana serikali kwa sababu yeye alitaka kuwa first lady, alipokosa akataka walau ateuliwe kuwa waziri alipokosa akaona bora amwage mboga. Si katika kundi lile lile la hypocrites maana nikisema kwa kiswahili nahofia watetezi wake humu JF kutoka povu bila sababu.
Heshima kwako MKUU WANGU!
Hapo kwenye red umenimaliza kabisa. Eti alitaka eteuliwe kuwa waziri? Nadhani hamumjui huyu maza jamani!!! Ki ukweli ni kilaza wa kutupwa kabisa. Kumbukeni hata hiyo digrii ya Chuo Kikuu huria kaipata kea sababu Mzee ndiyo mnene pale. Nadhani hata huyo Rais angemteua kuwa waziri ninge mshangaa sana. Kwanza nilisha waeleza hapa jukwaani kwamba, mimi tunatoka kijiji kimoja nae cha Kuhurio Usambara. Aliachwa na mumewe wa kwanza wa hapa Kihurio sababu ya u-mama poa. Kakimbilia Arusha na kupiga kambi za jioni (natumai mnanielewa) pale Equator hotel.
Huyu mama jimbo lake limechoka ile mbaya. Mawasiliano ya barabara ndani ya jimbo hili ni ya shida kupindukia. Nadhani Waathu hapa tumeliwa maana hakuna kitu kabisa. Wapare wamegeuka kuwa masikini wasikini wa kutupwa. Mkuu, ukipita maeneo yetu utatuhurumia. Tumechoka mbaya mkuu.
Kwenye ile hoja yake ya kuwaingiza wakuu wa Wilaya, kila mmoja wetu hapa kijijini tuli mshangaa ile mbaya. Naamini yete ilikuwa katika kujipendekeza ingawa hakujua alicho kuwa anakitetea. Sana sana ni ili mradi aonekane kachangia hoja.
Tunajuwa anacho winda kwa mzee wa Idodomi ni kaurithi ka mzee. Huku kwetu anajua safari hii tunampika chini iwe ni kwenye CCM au hata kupitia upinzani.