Huu sasa upotishaji, muweke na ushahidi, huyo mama hana eneo lolote huko kigamboni, kama angekuwa nalo, nijuavyo toka ameacha uwaziri wangesha mnyanganya kitambo sana. Acheni propaganda mufilisi.wekeni ushahidi mezan, mtu mmoja kumiliki viwanja 1000??mnaona jambo jepesi eeh. ..!Watz hatareeUkifika kigamboni eneo la kisotha kuna eneo kuna viwanja zaidi ya 1000
wenyeji hapo wanasema ni viwanja vya Anna Tibaijuka
na ukifika huko Mapinga Bagamoyo nako kuna story kama hizo
swali nalojiuliza je na huyu nae kama ni kweli watamnyang'anya?
au hii operesheni sio kila mtu?
Ukifika kigamboni eneo la kisotha kuna eneo kuna viwanja zaidi ya 1000
wenyeji hapo wanasema ni viwanja vya Anna Tibaijuka
na ukifika huko Mapinga Bagamoyo nako kuna story kama hizo
swali nalojiuliza je na huyu nae kama ni kweli watamnyang'anya?
au hii operesheni sio kila mtu?
Huu sasa upotishaji, muweke na ushahidi, huyo mama hana eneo lolote huko kigamboni, kama angekuwa nalo, nijuavyo toka ameacha uwaziri wangesha mnyanganya kitambo sana. Acheni propaganda mufilisi.wekeni ushahidi mezan, mtu mmoja kumiliki viwanja 1000??mnaona jambo jepesi eeh. ..!Watz hataree
watu wa kanda ya ziwa hawaguswi nasikia
Yule Mama Mambo Yake Ni Makubwa Ana Kinga Hata Mahakamani. Juzi Katoka Kumwakilisha Mkuluwatu wa kanda ya ziwa hawaguswi nasikia