Kucheza TANGO kunataka watu wawili. Kuna kesi nyingi sana ambazo ni WANAUME wamefundishwa huu mchezo na Wanawake. Nilishakuwa na rafiki yangu mmoja ambaye alikiri kuwa ni Binti wa Kiarabu alimfundisha kwa sababu tu ya Mila na Utamaduni wa Waarabu kuwa siku ya NDOA ni lazima awe BIKIRA.
Kutokuwa Bikira huwa ni aibu sana kwa familia na hasa kama ni ndoa ya Mtu na Binamu yake. Kama kweli Mdada analazimishwa na yeye hataki, basi heri afungashe masufuria na kutokomea kwani huyu bwana kwa sasa ameshakuwa MLEVI wa huo Mchezo na atafanya juu chini hadi atimize malengo yake. Bahati zenu nyie Wanawake kwa sababu ukilazimishwa ni rahisi kusema hapana ila sisi Wanaume, ukishalazimishwa, itakuwa ngumu sana kusema hapana. Na ndiyo maana si rahisi kusema "Mwanaume kabakwa" hata kama ni Katoto. Ila ukweli ni kuwa wapo pia Wanawake Wabakaji ambao hata hivyo kwa nchi nyingi, hata vifungo vyao ni vidogo sana.
Kwa kiasi kikubwa, ukuaji wa technology na hasa hii mitandao ya film za ngono, blogs za ngono kama Ze Utamu, Tv Chanels za ngono, DVD/CD za ngono nk zimepelekea kwa haraka sana kukua kwa huu mchezo. Wachezaji wanajua kuwa ukifanya hivyo inakuwa kivutio zaidi na hivyo kila mtu sasa anafanya. Ni sawa na Wanaume ambao hufanya Operations ili kukuza maumbile yao na hapo wanajiita wana "Weapons of A** Destruction" na kweli wanakuwa wana maumbile yasiyo ya kawaida. Na akina dada nao wanajijaza Ma-Silcons kwenye makalio na matiti. Hii yote ili kuifanya film iwe special. Bahati mbaya sana Wanaume kwa Wanawake hutaka na wao kwenda nyumbani kujaribu au kufanya kama hap IDOL wao wanavyofanya kwenye hizo film.
Nilishaona Kabinti kadogo na hata Makalio hakana makubwa ila nakenyewe kanacheza TWERK. Hii biashara ya Makalio kwa kweli inakuwa kubwa kila siku na Mashoga wanaitangaza kwa bidii kweli kweli kwani ndiyo na wao wanaona hapo ndipo lipo soko lao. Simba akizidiwa hata Manyasi atakula, sasa akikosa Mwanamke, kwa nini asimvamie hata Dume mwenzake?
Waone hawa Madume ambao huhitaji sana kufahamu kama SI Wanawake wanavyo-Twerk na nguo zao za ndani za Pink:
Check:
chris brown ft ester dean drop it low - YouTube