Anna Muhimili agoma kuingiliwa kinyume na maumbile

Anna Muhimili agoma kuingiliwa kinyume na maumbile

Status
Not open for further replies.
attachment.php

Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Dodoma, Tunamuona ni Mwanamke JASIRI . Amevunja ukimya baada ya kukataa kufanyiwa ukatili wa kingono na mwanaume wake aliyemuomba ''makalio'' maarufu kama kufanya ngono kinyume na maumbile... Wanawake tupoooo? Na Wanaume muache hizo tabia..

Teh teh teh teh teh!
Mwanakondoo anataka kula tigo!
Uuuuuwi! Hawa watu wana laana kwa tigo!
Manake ndoa za kiliberali ndio kedekede!

Hongera dada hana! Huyo mgalatia kama ana uraru wa tigo mwambie akakamate mbuzi!
Teh teh teh teh!
Cc 2013
 
Last edited by a moderator:
Picha na majina yalitakiwa kuhifadhiwa ....
 
Sasa ni yupi kati ya hao aliyeombwa 'tigo' maana naona wanawake watatu hapo, weka hata alama ili tumjue huyo jasiri.
 
Duh! Nilidhani ni Pwani na huko Znz kumbe hadi ugogoni haya mambo yapo? By the way, sheria inasemaje kwa tukio kama hili baina ya wanandoa?

............mkono wa sweta na tigo !?:shocked::faint2:
 
attachment.php

Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Dodoma, Tunamuona ni Mwanamke JASIRI . Amevunja ukimya baada ya kukataa kufanyiwa ukatili wa kingono na mwanaume wake aliyemuomba ''makalio'' maarufu kama kufanya ngono kinyume na maumbile... Wanawake tupoooo? Na Wanaume muache hizo tabia..

............Hapo pana tigo kweli ??...........au kunukishana shombo tuu !:busu
 
attachment.php

Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Dodoma, Tunamuona ni Mwanamke JASIRI . Amevunja ukimya baada ya kukataa kufanyiwa ukatili wa kingono na mwanaume wake aliyemuomba ''makalio'' maarufu kama kufanya ngono kinyume na maumbile... Wanawake tupoooo? Na Wanaume muache hizo tabia..

Joyce dada yangu huu mchezo si mzuri ila wakati mwingine utakuta mwanamke mwenyewe anakuomba umshughulikie, je utamkatalia kumfanya?
 
Duh! Nilidhani ni Pwani na huko Znz kumbe hadi ugogoni haya mambo yapo? By the way, sheria inasemaje kwa tukio kama hili baina ya wanandoa?

Hivi mkuu niulize kuwa ni kweli hili swala jenzi linatendeka sana? na inasemekana ili iweje? mwenye info afunguke tafadhali
 
Huyu mwanamke wa ajabu sana, siku hizi watu wanahamisha kutoka Voda wanaingiza Tigo moja kwa moja, eti baada ya hapo utasikia kazi yote niliyoifanya ya kukuhamisha mtandao ndio unijari kiasi hiki. Sasa anenda kumhamisha Mpemba huone kama sitakuja na bajaji mbili hapa.
 
attachment.php

Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Dodoma, Tunamuona ni Mwanamke JASIRI . Amevunja ukimya baada ya kukataa kufanyiwa ukatili wa kingono na mwanaume wake aliyemuomba ''makalio'' maarufu kama kufanya ngono kinyume na maumbile... Wanawake tupoooo? Na Wanaume muache hizo tabia..
Kutokana na jina la Huyo mwanamama Anna Muhimili..nafikiri itakuwa ni busara kuendelea Kumuhimili huyo mwanaume wake. Huyo aliyesimama hapo nyuma ya mhanga ndio wifi yake au ndio mkurugenzi wa NGO ya "Bila Makalio Tunaweza" !!??
 
Nimegundua makosa mawili. Kutaja jina la muhusika na kuweka picha yake, kuiandika hii habari kwa kifupi sana. Ukiacha hayo, nakupongeza kwa kuuweka mjadala hapa na nakushauri na wewe uchangie mjadala kwa kujibu hoja za wachangiaji. Ni hayo tu
cc: Joyce Kiria
 
Jamani mliowahi kutumia huo mtandao wa tigo mtujuze unatofauti gani na mitandao mingine?
 
Akiwezeshwa anaweza kwani anahitaji Mhimili, Anna Mhimili Teh Teh Teh.
 
Yaani kuombwa tigo tu na bwanaake ndiyo kaja kusimulia mpaka kwako, na wewe ukaileta mpaka JF na kumtaja jina juu?!!..Kwani alipokataa si yaliishia hapo, au alilazimishwa? Tigo nayo ni sehemu ya Ngono tu, na watu wengi wanafanya hata wanandoa kwa hiyari yao, hata wanawake wengi tu sku hizi wanapenda hiyo mambo, niliwah kuwa na mahusiano na dada mmoja wa makamo kama yako hivyo, anaheshima yake sana tu, na respect kwa watu anayo, she is an independent woman, baada ya kama mwezi mmoja wa mahusiano akaniambia kuna kitu sijamfanyia lakini haniambii, na kama kweli mimi ni mwanaume nikitafute mpaka nikipate, na nikikipata hataniambia kuwa nimekipata bali nitaona mwenyewe majibu, mwanaume nikahangaika huku na kule, mpaka cku moja katika mambo ya kuonja chumvi mboga si nikagusa panapohusika, kelele zake hazikua ndogo, nikagundua furaha yake ilipo.......siku hiyo ilibidi kidogo niite ambulance, maana mdada wa watu pumzi ilikata kwa raaaaaha! Nachojaribu kueleza hapa ni kwamba, katika mapenzi kila mtu ana fantasy yake, wanawake wengine hata kuonja mboga mtagombana! Wanawake simameni imara, mambo ya ndani haina maana kuyasimulia nje, labda kama mwenzio anakulazimisha, na kwweli anakulazimisha kufanya kitendo ambacho wewe haukubaliani nacho! La sivyo kama umeshamwambia mwenzio kuwa HAPANA, SIPENDI TUFANYE HIVYO, na yeye akaridhia na kusema IM SORRY yaishie hapo chumbani, siyo mara kwa kiria mara kwa nani, watatake advantage kutafuta umaarufu kwa mgongo wako.

Huo ni ushetani wewe acha upuuzi hauna tofauti na Alshabaab wa wastegate
 
Jamani msimshambulie dada Joyce,alichokifanya ni kufuata ile kanuni ya JF inayosema"Where we dare to talk openely"..sasa hayo mambo ya ueledi kwenye uandishi ni mambo mengine..
 
Teh teh teh teh teh!
Mwanakondoo anataka kula tigo!
Uuuuuwi! Hawa watu wana laana kwa tigo!
Manake ndoa za kiliberali ndio kedekede!

Hongera dada hana! Huyo mgalatia kama ana uraru wa tigo mwambie akakamate mbuzi!
Teh teh teh teh!
Cc 2013
hA HA HA HA , MKUU MBONA MAMBO YA SUNAYANARUHUSU KULA UANI, VP INAKUAJE UNAMUUNGA MKONO HUYU MGALATIA HAPA. HA HA HA HA, TEH TEH TEH TEH. MKUU NAHISI KAMA UNATAKA KUMPOKEA YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKO KATIKA MAISHA YAKO. TEH TEH UNASEMAJE HAPA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom