Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Kwenye Love there is no limit, nawajua walioachwa na wake zao Wazungu na Waarabukwa ssababu wana mambo ya kishambo.
aka katabia kameshamiri sana ; tofauti unavyokasemea... Njoo mitaa ya TANDIKA / MBAGALA ... Noma sana.
Hii connection umeivuta kwa uzi lakini it doesn't make sense. Kama ni ya kisheria hata jukwaa la sheria lipo, lakini kuna majukwaa muafaka zaidi kwa hii hoja.Mkuu hili ni suala la kisheria na sheria hutungwa na wanasiasa hivyo hii issue ni siasa pia. Tunataka vyama na wanasiasa wanaoomba ridhaa ya kutuongoza 2015 watuambie watamalizaje ujinga huu.
Sijaelewa, hivi Joyce amesema tiGO vile!!?
Huu mchezo uko miaka mingi sana sehemu za bara,toka enzi za mababu,ila vyombo vya habari vilkuwa havipati habari,kutokana na wanawake wa ki bara,wanawaheshimu sana waume wao hata kwa kudhalishwa na kunyanyasa,huona ni sawa,ni mpaka atokee anayevunja ukimya huo.Wanawake wa ki pwani hawana ujinga wa kunyamazia kimya tendo lolote la kunyanyaswa.
sasa watoto wa huyu mama wakisoma watajisikiaje?.Kwa kweli hapo Joyce umechemka,isipokuwa labda huyo muathirika ametoa ridhaa ya kutajwa
hawezi kujibu...ujue hapo alikua kikazi tu,si unajua tena labda kuna wafadhili wanamwaga pesa kwenye project hiyo.lazima aonekane kama anapinga kwa nguvu zote swala hilo.I am not sure kama hii thread naielewa... especially ikiwa imetokea kwa Joyce...
Swali kwa Joyce, umewahi kuliwa tIGO??? dont answer kama hutaki
kashairusha jana labda uulize marudio yake ni lini.mkuu Joyce Kiria hii utairusha kwenye wanawake live au unapimia upepo kwanza hapa.?
Katika wanawake 10 huyo ni wa 3 lakini 7 wote wanatoa mtandao sasa hivi..mmechelewa sana kuwaelimisha. Tigo wala huombi sasa hivi anahamishia tu mwenyewe.
Yaani kuombwa tigo tu na bwanaake ndiyo kaja kusimulia mpaka kwako, na wewe ukaileta mpaka JF na kumtaja jina juu?!!..Kwani alipokataa si yaliishia hapo, au alilazimishwa? Tigo nayo ni sehemu ya Ngono tu, na watu wengi wanafanya hata wanandoa kwa hiyari yao, hata wanawake wengi tu sku hizi wanapenda hiyo mambo, niliwah kuwa na mahusiano na dada mmoja wa makamo kama yako hivyo, anaheshima yake sana tu, na respect kwa watu anayo, she is an independent woman, baada ya kama mwezi mmoja wa mahusiano akaniambia kuna kitu sijamfanyia lakini haniambii, na kama kweli mimi ni mwanaume nikitafute mpaka nikipate, na nikikipata hataniambia kuwa nimekipata bali nitaona mwenyewe majibu, mwanaume nikahangaika huku na kule, mpaka cku moja katika mambo ya kuonja chumvi mboga si nikagusa panapohusika, kelele zake hazikua ndogo, nikagundua furaha yake ilipo.......siku hiyo ilibidi kidogo niite ambulance, maana mdada wa watu pumzi ilikata kwa raaaaaha! Nachojaribu kueleza hapa ni kwamba, katika mapenzi kila mtu ana fantasy yake, wanawake wengine hata kuonja mboga mtagombana! Wanawake simameni imara, mambo ya ndani haina maana kuyasimulia nje, labda kama mwenzio anakulazimisha, na kwweli anakulazimisha kufanya kitendo ambacho wewe haukubaliani nacho! La sivyo kama umeshamwambia mwenzio kuwa HAPANA, SIPENDI TUFANYE HIVYO, na yeye akaridhia na kusema IM SORRY yaishie hapo chumbani, siyo mara kwa kiria mara kwa nani, watatake advantage kutafuta umaarufu kwa mgongo wako.
Nchi zinazofungamana na ukristo uk,usa,italy,france ruksa hata kwa wanaume kwa wanaumeKule Zenji nasikia "vigoli" wako tayari kutoa hiyo kitu ili kulinda nanihii zao pindi watakapoolewa waonekane wako safi - hawajamjua mwanaume bado.
Kweli mkuu naunga mkono hojaJoyce Kiria - Join Date : 6th August 2013: Mod tafadhali tunaomba hawa wanafunzi waliomaliza darasa la 7 watafutiwe eneo lao:frusty: Sio kwenye jukwaa la siasa tafadhali.