Anna Muhimili agoma kuingiliwa kinyume na maumbile

Status
Not open for further replies.

Joyce Kiria

Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
50
Reaction score
112
attachment.php

Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Dodoma, Tunamuona ni Mwanamke JASIRI . Amevunja ukimya baada ya kukataa kufanyiwa ukatili wa kingono na mwanaume wake aliyemuomba ''makalio'' maarufu kama kufanya ngono kinyume na maumbile... Wanawake tupoooo? Na Wanaume muache hizo tabia..
 
Attachments

  • anna-muhimili.jpg
    anna-muhimili.jpg
    82.1 KB · Views: 7,200
Huu uzi haufai hapa dada hili ni jukwaa la Siasa labda ungesema leo Kilewo katuingizia wanachama wangapi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuikomboa nchi hii sio kuombana makalio hili peleka kule EATV na wanawake LIVe faanya hivyo sasa..........tafadhali

View attachment 117653
Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Domoma, Tunamuona ni Mwanamke JASIRI . Amevunja ukimya baada ya kukataa kufanyiwa ukatili wa kingono na mwanaume wake aliyemuomba ''makalio'' maarufu kama kufanya ngono kinyume na maumbile... Wanawake tupoooo? Na Wanaume muache hizo tabia..
 
Duh! Nilidhani ni Pwani na huko Znz kumbe hadi ugogoni haya mambo yapo? By the way, sheria inasemaje kwa tukio kama hili baina ya wanandoa?
 
ngoja ma mende waje...japo sidhan kama hili ni jukwaa sahih.
 
aka katabia kameshamiri sana ; tofauti unavyokasemea... Njoo mitaa ya TANDIKA / MBAGALA ... Noma sana.
 
Huu uzi haufai hapa dada hili ni jukwaa la Siasa labda ungesema leo Kilewo katuingizia wanachama wangapi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuikomboa nchi hii sio kuombana makalio hili peleka kule EATV na wanawake LIVe faanya hivyo sasa..........tafadhali

Mkuu hili ni suala la kisheria na sheria hutungwa na wanasiasa hivyo hii issue ni siasa pia. Tunataka vyama na wanasiasa wanaoomba ridhaa ya kutuongoza 2015 watuambie watamalizaje ujinga huu.
 
acha nikapige msosi kwa mama Lazaro kwanza, ntarudi kukoment huu uzi kwani nahisi mods watakuwa wameshauhamishia jukwaa ama la mahusiano, mapenzi & urafiki au la JF doctor
 
Duh! Nilidhani ni Pwani na huko Znz kumbe hadi ugogoni haya mambo yapo? By the way, sheria inasemaje kwa tukio kama hili baina ya wanandoa?
Huu mchezo uko miaka mingi sana sehemu za bara,toka enzi za mababu,ila vyombo vya habari vilkuwa havipati habari,kutokana na wanawake wa ki bara,wanawaheshimu sana waume wao hata kwa kudhalishwa na kunyanyasa,huona ni sawa,ni mpaka atokee anayevunja ukimya huo.Wanawake wa ki pwani hawana ujinga wa kunyamazia kimya tendo lolote la kunyanyaswa.
 
View attachment 117653
Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Domoma, Tunamuona ni Mwanamke JASIRI . Amevunja ukimya baada ya kukataa kufanyiwa ukatili wa kingono na mwanaume wake aliyemuomba ''makalio'' maarufu kama kufanya ngono kinyume na maumbile... Wanawake tupoooo? Na Wanaume muache hizo tabia..

Yaani kuombwa tigo tu na bwanaake ndiyo kaja kusimulia mpaka kwako, na wewe ukaileta mpaka JF na kumtaja jina juu?!!..Kwani alipokataa si yaliishia hapo, au alilazimishwa? Tigo nayo ni sehemu ya Ngono tu, na watu wengi wanafanya hata wanandoa kwa hiyari yao, hata wanawake wengi tu sku hizi wanapenda hiyo mambo, niliwah kuwa na mahusiano na dada mmoja wa makamo kama yako hivyo, anaheshima yake sana tu, na respect kwa watu anayo, she is an independent woman, baada ya kama mwezi mmoja wa mahusiano akaniambia kuna kitu sijamfanyia lakini haniambii, na kama kweli mimi ni mwanaume nikitafute mpaka nikipate, na nikikipata hataniambia kuwa nimekipata bali nitaona mwenyewe majibu, mwanaume nikahangaika huku na kule, mpaka cku moja katika mambo ya kuonja chumvi mboga si nikagusa panapohusika, kelele zake hazikua ndogo, nikagundua furaha yake ilipo.......siku hiyo ilibidi kidogo niite ambulance, maana mdada wa watu pumzi ilikata kwa raaaaaha! Nachojaribu kueleza hapa ni kwamba, katika mapenzi kila mtu ana fantasy yake, wanawake wengine hata kuonja mboga mtagombana! Wanawake simameni imara, mambo ya ndani haina maana kuyasimulia nje, labda kama mwenzio anakulazimisha, na kwweli anakulazimisha kufanya kitendo ambacho wewe haukubaliani nacho! La sivyo kama umeshamwambia mwenzio kuwa HAPANA, SIPENDI TUFANYE HIVYO, na yeye akaridhia na kusema IM SORRY yaishie hapo chumbani, siyo mara kwa kiria mara kwa nani, watatake advantage kutafuta umaarufu kwa mgongo wako.
 
Hatari sana hii..vijiwe vya wanaume sometime huwa vinapoteza sana
 
Hata mi namshangaa huyu mtangazaji,jana wakati anamhoji,alienda in deep leo anakuja na mhutasari hapa sijui ndo kaishia hapo au ndo ataendelea.
Halafu huyo Ana Amekubali jina lake halisi litangazwe kuwa aliombwa tigo?.
 
View attachment 117653
Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Dodoma, Tunamuona ni Mwanamke JASIRI . Amevunja ukimya baada ya kukataa kufanyiwa ukatili wa kingono na mwanaume wake aliyemuomba ''makalio'' maarufu kama kufanya ngono kinyume na maumbile... Wanawake tupoooo? Na Wanaume muache hizo tabia..

Katika wanawake 10 huyo ni wa 3 lakini 7 wote wanatoa mtandao sasa hivi..mmechelewa sana kuwaelimisha. Tigo wala huombi sasa hivi anahamishia tu mwenyewe.
 
Sjapenda kitendo cha kumtaja jina muhusika, sio fair at all.Tufuate maadili ya uandishi habari jamani
 
Yaani kuombwa tigo tu na bwanaake ndiyo kaja kusimulia mpaka kwako, na wewe ukaileta mpaka JF na kumtaja jina juu?!!..Kwani alipokataa si yaliishia hapo, au alilazimishwa? Tigo nayo ni sehemu ya Ngono tu, na watu wengi wanafanya hata wanandoa kwa hiyari yao, hata wanawake wengi tu sku hizi wanapenda hiyo mambo, niliwah kuwa na mahusiano na dada mmoja wa makamo kama yako hivyo, anaheshima yake sana tu, na respect kwa watu anayo, she is an independent woman, baada ya kama mwezi mmoja wa mahusiano akaniambia kuna kitu sijamfanyia lakini haniambii, na kama kweli mimi ni mwanaume nikitafute mpaka nikipate, na nikikipata hataniambia kuwa nimekipata bali nitaona mwenyewe majibu, mwanaume nikahangaika huku na kule, mpaka cku moja katika mambo ya kuonja chumvi mboga si nikagusa panapohusika, kelele zake hazikua ndogo, nikagundua furaha yake ilipo.......siku hiyo ilibidi kidogo niite ambulance, maana mdada wa watu pumzi ilikata kwa raaaaaha! Nachojaribu kueleza hapa ni kwamba, katika mapenzi kila mtu ana fantasy yake, wanawake wengine hata kuonja mboga mtagombana! Wanawake simameni imara, mambo ya ndani haina maana kuyasimulia nje, labda kama mwenzio anakulazimisha, na kwweli anakulazimisha kufanya kitendo ambacho wewe haukubaliani nacho! La sivyo kama umeshamwambia mwenzio kuwa HAPANA, SIPENDI TUFANYE HIVYO, na yeye akaridhia na kusema IM SORRY yaishie hapo chumbani, siyo mara kwa kiria mara kwa nani, watatake advantage kutafuta umaarufu kwa mgongo wako.

weE mjamaa siyo BurE... Eti nini?
 
Uarabuni na sehemu zilizorithi mila zao,mwanamke kuwa bikira ni kitu cha fahali kuliko chochote kabla hajaolewa.

Kwa hiyo mabinti kukidhi haja zao,inabidi wawe wanapakuliwa kinyume na utaratibu ili kulinda virginity yao.Vilevile
wanaume wengi wanakuwa wanapenda kunigia nyuma kwa wenye jinsia yoyote
Kwa nini Zenz na Mombasa imeshamiri hii mila?

Ila kwa wagogo ,this is strange
 
Yaani kuombwa tigo tu na bwanaake ndiyo kaja kusimulia mpaka kwako, na wewe ukaileta mpaka JF na kumtaja jina juu?!!..Kwani alipokataa si yaliishia hapo, au alilazimishwa? Tigo nayo ni sehemu ya Ngono tu, na watu wengi wanafanya hata wanandoa kwa hiyari yao, hata wanawake wengi tu sku hizi wanapenda hiyo mambo, niliwah kuwa na mahusiano na dada mmoja wa makamo kama yako hivyo, anaheshima yake sana tu, na respect kwa watu anayo, she is an independent woman, baada ya kama mwezi mmoja wa mahusiano akaniambia kuna kitu sijamfanyia lakini haniambii, na kama kweli mimi ni mwanaume nikitafute mpaka nikipate, na nikikipata hataniambia kuwa nimekipata bali nitaona mwenyewe majibu, mwanaume nikahangaika huku na kule, mpaka cku moja katika mambo ya kuonja chumvi mboga si nikagusa panapohusika, kelele zake hazikua ndogo, nikagundua furaha yake ilipo.......siku hiyo ilibidi kidogo niite ambulance, maana mdada wa watu pumzi ilikata kwa raaaaaha! Nachojaribu kueleza hapa ni kwamba, katika mapenzi kila mtu ana fantasy yake, wanawake wengine hata kuonja mboga mtagombana! Wanawake simameni imara, mambo ya ndani haina maana kuyasimulia nje, labda kama mwenzio anakulazimisha, na kwweli anakulazimisha kufanya kitendo ambacho wewe haukubaliani nacho! La sivyo kama umeshamwambia mwenzio kuwa HAPANA, SIPENDI TUFANYE HIVYO, na yeye akaridhia na kusema IM SORRY yaishie hapo chumbani, siyo mara kwa kiria mara kwa nani, watatake advantage kutafuta umaarufu kwa mgongo wako.

Hii post inanikumbusha enzi za Sodoma na Gomora maana naskia Mungu alikataza kabisa hiyo biashara lakini watu kama wewe wakawa ndio mawakala wakuu wa hiyo biashara ya ngono kinyume na maumbile
 
Kule Zenji nasikia "vigoli" wako tayari kutoa hiyo kitu ili kulinda nanihii zao pindi watakapoolewa waonekane wako safi - hawajamjua mwanaume bado.

Mkuu hii mpya kabisa heee!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom