Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,479
- 29,952
Jay man dont wish people bad things...they can come back at you!
Shkamoo Mama..
Jay man dont wish people bad things...they can come back at you!
Alipunguza kura za ukawa makusudi,,Anna Mghwira kuhubiri injili siasa basi tena
HATIMAYE aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo Anna Mgwira mapema leo hii ameweka wazi hatma yake kisisa ambao amesema kuwa anageukia injili huku akiwa bado mwanasiasa.
Mgwira kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa amekubali ushauri alioshauriwa wa kuachana na Siasa na kugeukia injili, ila haweza kuiacha saisa moja kwa moja.
annamghwiraofficial @annamughwira
Nimeombwa niache siasa nikahubiri injili. Nakubali kazi ya injili ni wajibu mwema. Kazi ya injili ndani ya siasa ni wito maalum.
annamghwiraofficial @annamughwira
Kufuatia ombi la kuacha siasa kuhubiri injili ninafikiri nifanye Injili ndani ya siasa kwa sasa. Ninaamini mnanielewa. AsanteniView attachment 364197
![]()
We si mama mchungaji?Sikujua kuwa sikueleweka kiasi hiki. Niliandika kuombwa si kutaka...niemombwa na msomaji mmoja niache siasa nikahubiri injili nikamjibu nitafanya injili katika siasa. Yaani ninataka kuchangia kuboreha siasa zetu ziwe rafiki kwa maendeleo yetu. Siasa si uhasama ni ushirikishaji wa hoja ili kupata hoja bora baada ya mjadala.
Ni mchungaji na marehemu mume wake pia alikuwa mchungaji,wote ni wa KKKT.We si mama mchungaji?
Ila aachane na siasa kabisa. Aweze kuifanya kazi ya Mungu bila mawaaBG UP Mama Mgwira. Umechagua Fungu lililo Jema sana Kumtumikia Mungu.
Siasa ni Kuchafuana Chuki, uzabi zabina Majungu, umbea, kila Aina ya fitina ipo ndani ya Siasa.
Bora ufalme wa Mungu Maana Mungu ni Kweli Hamna hila Ndani yake.
Nakuombea Mungu Akutumie Kwa Utukufu Mwingi ili uwalishe Kondoo wake.