Alitoka Singida Tanzania, una swali lingine?Hivi alitokea wapi maana aliibuka ghafla
Kama ulikuwa hujui mama Anna ni Mchungaji wa siku nyingi wa KKKT sema alisimamishwa huduma alipo divorce. Ameishi sana Sweden hata watoto wake kina Hisia yule mshiriki wa Tasker Project Fame kakulia huko Sweden.Anna Mghwira Kuhubiri Injili Siasa Basi tena
HATIMAYE Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Anna Mgwira mapema leo hii ameweka wazi hatma yake kisisa ambao amesema kuwa anageukia Injili huku akiwa bado mwanasiasa.
Mgwira kuitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa amekubali ushauri alioshauriwa wa kuachana na Siasa na kugeukia Injili,ila haweza kuiacha saisa moja kwa moja
annamghwiraofficial @annamughwira
Nimeombwa niache siasa nikahubiri injili. Nakubali kazi ya injili ni wajibu mwema. Kazi ya injili ndani ya siasa ni wito maalum.
annamghwiraofficial @annamughwira
Kufuatia ombi la kuacha siasa kuhubiri injili ninafikiri nifanye Injili ndani ya siasa kwa sasa. Ninaamini mnanielewa. Asanteni
Chanzo muungwana blog
Acha uchochezi usiokuwa na tija. Usiwe mwepesi kukurupuka. Fanya walau kauchunguzi kadogo ndo uongee.Alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Mkoa Singida lakin pamoja na uwezo wake Mkubwa wa kujieleza na kujenga hoja hakuwahi kufikiriwa hata kupewa udiwani wa kuteuliwa.
Unatoa comments za kijinga halafu ukitukanwa ukasirike. Sasa anaondoka ACT. Achezee nani? Hovyo!Akome chama kinawenyewe chezea wachaga wewe.
Injili anaijua na kasomea kabisa liturujia na kwa ngazi ya juu tuHuyo mama yuko vizuri kila idara sababu sio mnafiki, Mungu ambariki huko aendako.
Hivi kumbe Hisia ni kijana wake. Hv huyu mama ndo alikuwa anafundisha Makumira University na ni mwanasheria? Nakumbuka kuwahi kumuuona miaka ya 2004 plae Makumira ila sina kumbukumbu vzr kama ni yeye tafadhali nifahamishe mkuu.Kama ulikuwa hujui mama Anna ni Mchungaji wa siku nyingi wa KKKT sema alisimamishwa huduma alipo divorce. Ameishi sana Sweden hata watoto wake kina Hisia yule mshiriki wa Tasker Project Fame kakulia huko Sweden.
Siyo jambo geni yeye kupanda madhabahu
Bila kumtaja Lowassa hakuna malipo. U-dc, tayari, UDas nao. Kama hukupata itakubidi uendelee tu kung'ang'ana na Lowassa yamkini mkono utaingia kinywani.Hahahaha amenikumbusha Lowasa alituahidi kwenda kuchunga ng'ombe hadi sasa bado anasababisha foleni mjini!
Ndiyo mzeeHivi kumbe Hisia ni kijana wake. Hv huyu mama ndo alikuwa anafundisha Makumira University na ni mwanasheria? Nakumbuka kuwahi kumuuona miaka ya 2004 plae Makumira ila sina kumbukumbu vzr kama ni yeye tafadhali nifahamishe mkuu.