Acha uchochezi usiokuwa na tija. Usiwe mwepesi kukurupuka. Fanya walau kauchunguzi kadogo ndo uongee.
Huo ndio ukweli mchungu, kama huo ni uongo eleza ukweli Anna kabla ya kuijiunga ACT katokea wapi?
Acha uchochezi usiokuwa na tija. Usiwe mwepesi kukurupuka. Fanya walau kauchunguzi kadogo ndo uongee.
Basi kama ndo yeye yupo njema huyu mama. By then alikuwa anaishi kwenye nyumba yake kama hekalu. Ni mpiganaji hasa. Alikuwa na kijana wake mdogo sasa sijui ndo Hisia maana alikuwa bado mdogo.Ndiyo mzee
Utafute wewe kabla ya kuandika mambo ya kichochezi.Huo ndio ukweli mchungu, kama huo ni uongo eleza ukweli Anna kabla ya kuijiunga ACT katokea wapi?
uenyekiti na udiwani upi mkubwaAlikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Mkoa Singida lakin pamoja na uwezo wake Mkubwa wa kujieleza na kujenga hoja hakuwahi kufikiriwa hata kupewa udiwani wa kuteuliwa.
Kwa wenye akili tayari tulishajua kuwa alikuwa anatumika kusubiria muda kwa kiongozi mkuu ili atimize miaka ya kugombea u prezidaaaaAnna Mghwira kuhubiri injili siasa basi tena
HATIMAYE aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo Anna Mgwira mapema leo hii ameweka wazi hatma yake kisisa ambao amesema kuwa anageukia injili huku akiwa bado mwanasiasa.
Mgwira kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa amekubali ushauri alioshauriwa wa kuachana na Siasa na kugeukia injili, ila haweza kuiacha saisa moja kwa moja.
annamghwiraofficial @annamughwira
Nimeombwa niache siasa nikahubiri injili. Nakubali kazi ya injili ni wajibu mwema. Kazi ya injili ndani ya siasa ni wito maalum.
annamghwiraofficial @annamughwira
Kufuatia ombi la kuacha siasa kuhubiri injili ninafikiri nifanye Injili ndani ya siasa kwa sasa. Ninaamini mnanielewa. Asanteni
![]()
Tunampongeza kwa kukiwezesha act kupata angalau mbunge mmojaAnna Mghwira kuhubiri injili siasa basi tena
HATIMAYE aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo Anna Mgwira mapema leo hii ameweka wazi hatma yake kisisa ambao amesema kuwa anageukia injili huku akiwa bado mwanasiasa.
Mgwira kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa amekubali ushauri alioshauriwa wa kuachana na Siasa na kugeukia injili, ila haweza kuiacha saisa moja kwa moja.
annamghwiraofficial @annamughwira
Nimeombwa niache siasa nikahubiri injili. Nakubali kazi ya injili ni wajibu mwema. Kazi ya injili ndani ya siasa ni wito maalum.
annamghwiraofficial @annamughwira
Kufuatia ombi la kuacha siasa kuhubiri injili ninafikiri nifanye Injili ndani ya siasa kwa sasa. Ninaamini mnanielewa. Asanteni
![]()
Kuwa na nidhamu basi hata kidogoHuyo mama yuko vizuri kila idara sababu sio mnafiki, Mungu ambariki huko aendako.
Subira ili msaidia na mwishowe alipata nafasi ya kugombea uraisAlikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Mkoa Singida lakin pamoja na uwezo wake Mkubwa wa kujieleza na kujenga hoja hakuwahi kufikiriwa hata kupewa udiwani wa kuteuliwa.
Unatuulizaje sisi habari za ccm b?Kwanza huyu mama ni nani kwenye chama chake maana kila kitu anafanya zitto au ndiyo mambo ya mwenyechama anataka kifanyike anachotaka yeye.
Kama hayo ni ya kweli basi CHADEMA hawakumthamini huyu mama ingawa si kila mjenga hoja mzuri chadema basi apewe cheo lakin kuna wenye karama wanao hitaji kitizamwa zaid kuliko hao walio walio tazamwaAlikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Mkoa Singida lakin pamoja na uwezo wake Mkubwa wa kujieleza na kujenga hoja hakuwahi kufikiriwa hata kupewa udiwani wa kuteuliwa.
Hakuna upuuzi kama huu kwenye ukristo.Injili ndani ya siasa?!
Kura za maoni kwa kuchagua kule Arumeru alishinda Joshua Nassari na huyu mama akazidiwa. Mi nafikiri asubirie Magu amteueKama hayo ni ya kweli basi CHADEMA hawakumthamini huyu mama ingawa si kila mjenga hoja mzuri chadema basi apewe cheo lakin kuna wenye karama wanao hitaji kitizamwa zaid kuliko hao walio walio tazamwa
Yote heri bado ananafasi .Kura za maoni kwa kuchagua kule Arumeru alishinda Joshua Nassari na huyu mama akazidiwa. Mi nafikiri asubirie Magu amteue