Anna Kilango na mamilioni yaliyo porwa ilikuwaje?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,876
2,000
Mitomingi, kwanza umesema 200m, then unasema "like 200m" whats next? Utasema nilikuwa nina speculate na sijui kiasi chenyewe?

Kutokuwa na source ya figure yako kunaqualify the whole thing kuwa udaku.No research no right to speak.No source no right to speak.

Mitomingi anajenga hoja .kwanza kauliza akanushwe kama habari ni ya udaku na mwafrika wa kike .Then tuje kwenye figure .Mimi napenda kumuunga mkono kwamba ushahidi wa mama kuporwa pesa upo na kusema ametekwa na majambazi Nadhani umesha ona .Sasa swali ni kwamba walijuaje kwamba ana pesa hizi ? Unajua akiporwa laki moja haiwezi kuwa issue kwake .Hadi akapiga kelele naamini mapesa ni mengi.Mimi katika pita pita yangu nilisikia ni 200m.Na hata Mitomingi mnamshambulia bure .Ukisoma bandiko lake kaleta hoja na huku anauliza kama kuna mwenye info ikiwemo na kiasi cha pesa na mazingira ya kuporwa ni yapi .Anataka kujua jamani.
 
Mbalamwezi

JF-Expert Member
Sep 30, 2007
800
225
Huyu mama aliporwa 200m kama nitakosea figure mtanisaidia.

Ni vyema kuhoji mambo haya kwa kuwa yanaweza kuwa ni pesa za EPA, BOT aa JEETU.Kumbuka Mkapa alikuwa Mwenyekiti na Rais anakula na akila Jeetu na Makamu wake pia hawezi kuwa makamu wa bure.Jeetu alianza zamani na wakubwa ndani ya Serikali na kwenye Chama walimjua na kumpigia magoti .

Nitasema zaidi baadaye .Ila nataka kujua huyu mahela yote yale alichukuwa benki ? Kwa ajili ipi pesa zpte zile na alikuwa anampelekea nani ?

Itafaa sana kama tukiwa na uhakika wa tunachotakiwa kujadili...200m. Tunahakika gani zilikuwa pesa kiasi hiki? Alisema wapi? Hebu tafuta docs uweke hapa, maswali mengine yatapata amajibu hapo hapo. Otherwise tutapoteza muda kujadili kumbe ukweli ni sh lakini mbili.

Pili, Usitupime ubavu, huo ukweli mwingine uweke tu hapa bila kusubiri baadaye, maana huna ahadi na muumba utatwaliwa lini.
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,178
2,000
Ukiangalia time-line ya tukio lenyewe limetokea wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu yaani kipindi cha kinyang'anyiro cha kutafuta wagombea wa urais.

Yawezekana mama aliagizwa na mzee akachukue fungu mahala ili alikimbizie Dodoma kutia nguvu harakati za kampeni.

Hivi huyu mama siyo mfanyabiashara? Je wakati wa uchaguzi biashara zake zilisimama?

Conspiracy theorist wamekuja na 2 version of stories.

1. Wana mtandao walinusa hizi habari wakaingilia kati na "kupora" mamilioni yale ili kudhoofisha kampeni ya Mzee Malecela ambaye at that time alikuwa "unstopable" and with "fungu" alilobeba "mama" nguvu za mzee zingekuwa maradufu. Kilichofanyika ni kutumia mbinu za "medani" na kulinyakua "fungu" kabla halijafika mahala husika.

2Inasemekana mama kamchezea "game" mzee baada ya kuona "mshiko" ni mkubwa akaona bora "astage managed plot" ya kuporwa na mzee akaingia kichwa kichwa.

Kwanini theories zote zihusiane na Uchaguzi?

Lakini pia hivi "mamilioni" huwa yanaanza kuhesabiwa zikifika milioni ngapi?
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,192
0
Mwafrika wa kike ni kitu kinakufanya useme huu ni udaku ? Una sababu ya kutueleza kusaidia madi yako kwamba huu ni udaku na mambo kama haya hayajawahi kumpata huyu Mama ? Tunaweza 700m au zaidi ama less lakini mie nimesema ni like 200m .Maswali yajibiwe .Naomba useme kwa nini unaita hii habari ni udaku .Je hili tukio halikuwahi kutokea ?

Ninaiita hii udaku kutokana na statement yako hapo kwenye bold.

Yaani unakuja tu na numbers kutoka kichwani?
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,192
0
Mitomingi, kwanza umesema 200m, then unasema "like 200m" whats next? Utasema nilikuwa nina speculate na sijui kiasi chenyewe?

Tumekupa nafasi ya kutupa source ya figure yako umeshindwa kutupa, mwishowe unakuja kwenye "like 200m" unajua "like" maana yake nini? Maana yake huna hakika, sasa kama huna hakika na vitu usilete hapa maana hii ni forum ya watu makini wanaodiscuss vitu vya uhakika.Unaweza kuwa na case nzuri sana lakini jinsi ulivyoileta hapa inakuwa bado haijaenda shule.Njoo na source na ushahidi tutakusikiliza.Kama alivyosema Mama mwenyewe hapendwi mtu hata kama yeye mwenyewe, lakini lazima uje na credible facts.

Kutokuwa na source ya figure yako kunaqualify the whole thing kuwa udaku.No research no right to speak.No source no right to speak.

Thanks very much!
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,192
0
Mitomingi anajenga hoja .kwanza kauliza akanushwe kama habari ni ya udaku na mwafrika wa kike .Then tuje kwenye figure .Mimi napenda kumuunga mkono kwamba ushahidi wa mama kuporwa pesa upo na kusema ametekwa na majambazi Nadhani umesha ona .Sasa swali ni kwamba walijuaje kwamba ana pesa hizi ? Unajua akiporwa laki moja haiwezi kuwa issue kwake .Hadi akapiga kelele naamini mapesa ni mengi.Mimi katika pita pita yangu nilisikia ni 200m.Na hata Mitomingi mnamshambulia bure .Ukisoma bandiko lake kaleta hoja na huku anauliza kama kuna mwenye info ikiwemo na kiasi cha pesa na mazingira ya kuporwa ni yapi .Anataka kujua jamani.

Huu ni udaku na yeye mwenyewe ameanza kutumia maneno like 200m na mara anasema kuwa angeweza kusema milion 700. Mimi hapa na popcorn zangu nikishuhudia explosion!
 
Majita

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
609
250
Mwafrika wa Kike .Mimi kuleta hii hoja hapa sikuwa nabahatisha .Kumbuka nimekuwa msomaji hapa nadhani hata kabla hujaibuka na nikamua kujiunga majuzi tu .Mimi sijaleta majungu wala fitina .Niliingiwa na mshangao kwamba Mama aliotewa kuwa na cash na hata kuvamiwa.Si kawaida kwa mambo kama haya yaliyo mtokea huyu mama na akawa salama kabisa.Mwafrika umeona ushahidi kabla sijakaa sawa umesha pewa.Huyu mama aliporwa 200m kama nitakosea figure mtanisaidia .

Ni vyema kuhoji mambo haya kwa kuwa yanaweza kuwa ni pesa za EPA, BOT aa JEETU.Kumbuka Mkapa alikuwa Mwenyekiti na Rais anakula na akila Jeetu na Makamu wake pia hawezi kuwa makamu wa bure .Jeetu alianza zamani na wakubwa ndani ya Serikali na kwenye Chama walimjua na kumpigia magoti .

Nauliza hili nikiwa na maana kwamba sasa hapa JF kuna watu mbali mbali na wanaweza kuwa na info .Kwa mfano umeomba ushahidi wa kuporwa umeletwa .Hukujua haya nadhani na nakataa kwamba hakuna hata siku moja hii issue imekuwa discussed hapa .

Maisha ya mwanadamu ni historia na huwezi kukamilika kama wewe utaangalia ya mbele tu bila kuangalia nyuma .Nchi hii ina unchafu mwingi so tuwe tunaenda mbele na kuangalia nyuma .Nina wasi wasi pesa ya Jeetu haikuishia kwa Mkapa pekee .Nitasema zaidi baadaye .Ila nataka kujua huyu mahela yote yale alichukuwa benki ? Kwa ajili ipi pesa zpte zile na alikuwa anampelekea nani ?

Ulaya sheria ziko wazi .You cannot walk with such huge amount of cash .Kuna mtu alikamatwa majuzi London akiwa na 14,000 euro Mtanzania wa kiarabu basi polisi wakazaa naye .Itakuwaje huyu wa 200m hata kama ni zake ?

Yani wewe unakuwa msomaji tuuuu muda wote huo kuanzia hilo skendo la mama kilango kutekwa hadi leo baada ya JF kutishiwa na mwema ndo unakuwa mwanachama???Mhh kama kweli kazi ipo.Karibu na unakaribishwa kwa ugeni wako wa mambo.

Aliporwa 200m.Je utambishia vipi au utamwelewesha vipi yule atakae sema alikporwa tsh.700M au yule atakae sema aliporwa Laki 5????? Mtu kuporwa kiasi kikubwa cha fedha je ndiyo maana ingine ya 200M??

Kwa hiyo makamu m/kiti anakula na naniii??

Mimi nina ushahidi.Na wakati tukio hilo likitokea pale Morogoro mimi nilikuwa moro kikazi.Hakuna pahala mama kilango alisema alikuwa na 200M.Wala kamwe hakutaja kiasi cha hela.Muulize Bwn Andengenye sijui Ande nini aliyekuwa RCO wakati huo.Njoo taratibu kijana.Usikurupuke.Hapa JF kunawajuvi wengi na wengine hawajuani kabisa
 
Chuma

JF-Expert Member
Dec 25, 2006
1,329
0
Hivi kwanini Bi. Anna Kilango alikataa kutaja kiasi cha pesa alichoibiwa?...Hili ni swali gumu sana...ingalikuwa hili limemtokea Rostam ungesemaje?...Mitomingi kasema 200M, kuna unaushahidi wa kupinga hio leta, lkn pia kwanini aseme 200m asiseme 700m....unakumbuka bangusilo...wakati anaapa mbele ya kamati kakataa katukatu kuwa....baadae alipotoka Nje...akasemaje?...the same inawezekana Mama Anna hakusema mbele ya Polisi kiasi gani kabeba, lkn akaja kusema kwa hao wanaoonekana wa karibu....

Hivi Mzee ES anapokuja na data zake zote huwa hazina source anasema tu yeye alikuwepo ktk kikao so n so...yeye kaongea na wakuu....

Mwanakjjj tueleze Biashara anazofanya mama kilango hadi kuwa pesa kiasi hicho?

Ninachokiona mimi kila mtu anatakiwa kuwa responsible juu ya Sheria kama kule tumemsifia basi na hapa pia tunahitajika kujua kulikoni?

Waswahili wanasema lisemwalo......
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,919
2,000
Mitomingi, kwanza umesema 200m, then unasema "like 200m" whats next? Utasema nilikuwa nina speculate na sijui kiasi chenyewe?

Tumekupa nafasi ya kutupa source ya figure yako umeshindwa kutupa, mwishowe unakuja kwenye "like 200m" unajua "like" maana yake nini? Maana yake huna hakika, sasa kama huna hakika na vitu usilete hapa maana hii ni forum ya watu makini wanaodiscuss vitu vya uhakika.Unaweza kuwa na case nzuri sana lakini jinsi ulivyoileta hapa inakuwa bado haijaenda shule.Njoo na source na ushahidi tutakusikiliza.Kama alivyosema Mama mwenyewe hapendwi mtu hata kama yeye mwenyewe, lakini lazima uje na credible facts.

Kutokuwa na source ya figure yako kunaqualify the whole thing kuwa udaku.No research no right to speak.No source no right to speak.

Umeua!
Mie hoi, sina maoni ya kuongezea mpaka hapa! Huenda Mitomingi ni kundi la Lowassa, who knows?
 
G.MWAKASEGE

Senior Member
Jun 29, 2007
153
0
Hakuna kitu kibaya kama kumtuhumu mtu bila kuwa na ushaidi mtu mzima waweza onekana mzushi bure.
Kama ni kweli twaitaji testmonies tafadhali otherwise JF isiwe kijiwe cha majungu as ata HADHI yake yaweza shuka.Currently watu wengi wanajua apa ndo credible source ya info on Tz mazuri na mabaya yatendekayo ndani na nje ya nchi kwa ustawi wa watz popote walipo.
 
KakindoMaster

JF-Expert Member
Dec 5, 2006
1,358
1,225
Mitomingi nilifikiri ni Rafiki yake yule Mzee Karibu na MtowaMbu. Tangia jana ameulizwa suala dogo tu nilikuwa nafuatilia kuona kama atatoa jibu kumbe ni Mzushi tu.

Sasa tunaomba akane kauli zake maana naona anajiuma uma tu.

Nafikiri mada yake imekosa hoja ya msingi hivyo naomba mada yake ifutwe na awe anatafuta title zinazofaa katika kufikisha ujumbe wake.

Inawezekana kabisa Anna alikuwa na shilingi Elfu hamsini au pungufu ya hapo kwenye mkoba wake na aliona si busara kuzitaja.

Mito tuongezee nyanga hili tuone labda una la zaidi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom