Mbalamwezi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2007
- 800
- 175
Kwanza nampa pole Ana Kilango kwa kuumwa na apate nguvu mapema arudi nyumbani.Natoa hongera kwa JF kuweza kuwapo tena baada ya Mwema kuamua kutaka kutuzima na mwisho poleni sana na Hongereni Mike na Marc.
Nimeona ni muda muafaka sasa na kuweza kuuliza hapa JF.Sote tunajua historia ya Anna Kilango kuporwa cash 200m .Anasema alivamiwa na zikapotea.Je kuna ukweli katika hili ? Pia napenda kuuliza yeye alikuwa kazitoa wapi hizi pesa na akawa anazipeleka kwa nani ? Hizi pesa zilikuwa zake binafsi za kampuni fulani ?Maswali ni mengin lakini kwanza naomba kuanzia hapa tu .Tafadhalini naombeni msaada .Anna Klango ni kiongozi nadhai ni vyema tukajua honest na intergrity yake .
Ndugu Mitomingi,
hivi ukisema "Nimeona ni muda muafaka sasa na kuweza kuuliza hapa JF. Sote tunajua historia ya Anna Kilango kuporwa cash 200m."
kwa mujibu wa kumbukumbu zako, wewe ndo kwanza umejiunga na JF...na sasa hilo neno Nimeona muda muafaka sasa una maana muda upi wenye kufanya nini, tofauti na upi ambao haukufaa na kwa sababu gani? Unaposema Sote tunajua...yaani wewe na nani unayemwakilisha humu au huko?
I said it earlier, and now it is evident...that some names bear the hallmarks.
Welcome friend, have a great life.