Nimekua nikiangalia bunge takribani miaka miwili mfululizo mheshimiwa mbunge wangu mama Kilango mbona hata kulalamika nawenzako kuhusu barabara ya mkomaz Gonja Same hulalamiki? Wapiga kura wako tunaumia kunavyotajwa miradi ya barabara wewe uko kimya JK katulaghai tena mbele yako tunaomba hata upige kelele tusikie ili tujue katutapale wote.