Anna Kilango huna barabara mbovu?

Kilahiro

Senior Member
Aug 5, 2013
171
46
Nimekua nikiangalia bunge takribani miaka miwili mfululizo mheshimiwa mbunge wangu mama Kilango mbona hata kulalamika nawenzako kuhusu barabara ya mkomaz Gonja Same hulalamiki? Wapiga kura wako tunaumia kunavyotajwa miradi ya barabara wewe uko kimya JK katulaghai tena mbele yako tunaomba hata upige kelele tusikie ili tujue katutapale wote.
 
Hizo kelele kidogo zimuue mara ya mwisho. Mama wa watu akaona isiwe tabu wacha ajilie polepole tu asije kufa kwa shida za watu baki!!
 
Kwani Kagha ndiye anayeangusha mzigo? Mi nilifikiri jamaa letu "Mwili-Mirembe" angerithi baada ya Dingi kutangulia!

Mkuu kwani haukuusoma uzi wa jana unaohusu Email kutoka kwa Theo Mutahaba kwenda kwa Nyepesi?hapo kuna uchafu wa kila aina
 
Simtetei huyu mama lakini kumbe ndio maana wabunge ni wasanii kumbe wananchi wao mnapenda vituko show!Wabunge huwa wanachangia mijadala hata kwa maandishi na vilevile kuna wabunge hawaongei lakini majimbo yao yako poa na kuna wapiga kelele majimbo yao ovyo kabisa
 
Kwani Kagha ndiye anayeangusha mzigo? Mi nilifikiri jamaa letu "Mwili-Mirembe" angerithi baada ya Dingi kutangulia!

Heshima ni kitu cha bure mkuu
Kama kwenu baba yako akifa unaweza kumlala mama yako ni huko huko kwenu
Ficha upumbavu wako na ioneshe busara yako.............nyie ndio mnafanya janvi linaonekana la kihuni huni tu
 
huyu ni mnafiki kama mmewe...kunakiwanda ameshindwa fufua licha ya kujitapa kuwa angefanya hivyo..
 
Back
Top Bottom