Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,416
Hell with Mafisadi,
Ndugu suala hili sio la uchama,
Hapa imeibiwa pesa ya umma na sio ya Lumumba
Yericko,wizi na ufisadi katika nchi ni sehemu ya maisha ya kila siku.Ole Sendeka kasema 'mama malecela alimfuata kwamba akae kimya atapewa hela na kina Maswi'
Nikuhusu wizi wa 200b za bot.
Wataumia sana,tafuteni kakitu kadogo zaidiTutawaingizia mpini.
Wataumia sana,tafuteni kakitu kadogo zaidi
Ole Sendeka kasema 'mama malecela alimfuata kwamba akae kimya atapewa hela na kina Maswi'
Nikuhusu wizi wa 200b za bot.
Ole Sendeka kasema 'mama malecela alimfuata kwamba akae kimya atapewa hela na kina Maswi'
Nikuhusu wizi wa 200b za bot.
Ole Sendeka kasema 'mama malecela alimfuata kwamba akae kimya atapewa hela na kina Maswi'
Nikuhusu wizi wa 200b za bot.
Tafuta hoja ingine ccm ni majembe kuliko mnavyofikiri, mtabashiri sana lkn mtaangukia pua tuu
umepanic??
Watanzania mna matatizo sana, hapa hakuna suala la ufisadi ila ni maneno ya watu watafuta umaarufu tu. Bora mngekuwa mnauliza kuhusu kodi kama ilipatikana kipindi hawa jamaa akina PAP na VIP walipokuwa wanauziana hisa. Lakini kusema fedha za ESCROW zimeibwa ni uongo, kwani hizo hela zilikuwa za TANESCO au za IPTL? Kwanza TANESCO bado inadaiwa fedha capacity charges! mbona hili halisemwi? Suala la IPTL kununuliwa ni zuri sana kuliko kama mnavyofikiria. Habari ya Mama Kilango kumwambia Sendeka anyamaze haina mashiko maana naamini Sendeka hajui masuala haya kwani ni KIDU.
Tafakari...
Ole Sendeka kasema 'mama malecela alimfuata kwamba akae kimya atapewa hela na kina Maswi'
Nikuhusu wizi wa 200b za bot.