MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 256
Mwambie aende akamuulize baba yake Moh wapi alilipata jina la Abdallah. Akisha pata jibu amuulize Allah wapi alipo Moh. Then she can talk her bogus and diabolic words. Pathetic Anna.
Kwani wewe mfia dini bado upo??
hawa ndio wale wale wakienda uarabuni wakamkuta padria ua askofu wa kiarabu anaitwa abdallah anakataa na kurusha ngumi kwa kujua huyo atakua ni muislam na yeye kapigwa changa la macho,huku ni kukosa exposure na uelewa tuuh,inasikitisha sana kwa kweli...
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.
Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??
Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry:
Hapo ndio ushahidi tosha kwamba Wakristo ni wavumilivu sana hata mimi nachukizwa sana na tabia hiyo ila sina la kufanya, pata picha kama nyimbo za kaswida zingekuwa zinapigwa bar.....
Jibu unalo nadhani unafahamu dhahiri shahiri ni nini kingefuata, na hapo ndipo unapopata tofauti kubwa iliyopo kati ya wafuasi wa SAW na Jesus.
Ukiwa Ccm lazima uwe mwendawazim,toitokomeze Ccm kwanjia yoyote
Kwani hizo nyimbo wanaopiga ni waumini wachungaji au wamiliki wa bar.
kama unaona kero si uende kwenye bar wanazopiga kaswida.!!
Yeah_sio lazima aende Uarabuni mkuu,..aende Mbeya kwa Wanyakyusa atakutana na akina Mohamed,Omari,Juma,Abdallah and the like.......haya mambo yanahitaji uelewa ili kujiridhisha kabla ya kurusha mawe mkuu.
Mimi binafsi huwa Napata maudhi sana huku mitaani kwani usiku tunashindwa kulala yaani wote tunalazimishwa kuamka saa kumi na nusu alfajili kwa makelele ya "swala!!! swala!!! swala!!! amka, amka, kitanda chako ndilo kaburi lako, amka kumekucha!!!......" na pia zile za saaa mbili kasoro usiku. Watu tunapiga Safari lager zetu unasikia wallau wakibaru walahu wakibaru.
Kwani muda wa wa kuamka na kwenda kusali nania asiyeujua hadi kupigiana makelele na kutuharibia usingizi wetu.
Yaani natamani serikali wangelitunga sheria kuzuia matumizi ya spikas.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
asante kaka, ntajitahidi, ila nikikwama pia nawe utashiriki kwenye dodoso.Fanya researcha yako mkuu takuja jua tu! Nimefuatilia sana kitu hii
Kwahiyo anaunga mkono yalipuliwe ili yawe machache au?,
Hata katika biblia ya kiarabu,mungu pia anaitwa Allah,na hata waarabu wakristo mungu wanamwita Allah,utofauti wa uitaji Allah kwa waislamu na wakristo waatabu,ni kutamka,wao wanasema Allah,kama ilivyoandikwa,kwa waislamu,ina tamkwa Agwah.
My dear friend! POVU LINAKUTOKA KWA NINI?? What would say again if you think and relax. A great thinkers would not comment like you do! Religious Extremism is very dangerous.... You guys are making this forum to loose his popularity ..Mwambie aende akamuulize baba yake Moh wapi alilipata jina la Abdallah. Akisha pata jibu amuulize Allah wapi alipo Moh. Then she can talk her bogus and diabolic words. Pathetic Anna.
Wee acha tu huyu mama kateuliwa toka ukuu wa chuo cha mapishi pale Buhare Musoma na kupewa ukuu wa wilaya Magu mie nikiwa form one na leo mie nimezeeka bado anacheza ndani ya siasa.
Sijui kwa kuvunja ndoa ya mama Msekwa amekuwa na chuki na makanisa? namshangaa sana!
Kanisa limenifanya niwe one of the good guy on the planet. Kama si hivyo ningelikuwa hooligan. Kila atakayelipinga kanisa anaanzisha ugomvi nami. Samahanini sana!
Kwani wewe mfia dini bado upo??
hawa ndio wale wale wakienda uarabuni wakamkuta padria ua askofu wa kiarabu anaitwa abdallah anakataa na kurusha ngumi kwa kujua huyo atakua ni muislam na yeye kapigwa changa la macho,huku ni kukosa exposure na uelewa tuuh,inasikitisha sana kwa kweli...
Now you are exagurating,
The difference is that you hate our muhammady while on the contrary we love both of them Muhammady s.a.w and jesus peace be upon him...
hii mada ni ya kindugu sana,punguza mihemko,we are brothers...
My dear friend! POVU LINAKUTOKA KWA NINI?? What would say again if you think and relax. A great thinkers would not comment like you do! Religious Extremism is very dangerous.... You guys are making this forum to loose his popularity ..
Huyu mama ni Mkristo so wala usitoke povu nakuanza kukashifu dini za watu!!
Huyu MAMA yuko katika siasa toka niko vidudu na leo nina wajukuu bado yumo!