Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Aliyesema makanisa ni mengi ni mkiristo mwenzenu,mbona mwashambulia uislam?Mwambie aende akamuulize baba yake Moh wapi alilipata jina la Abdallah. Akisha pata jibu amuulize Allah wapi alipo Moh. Then she can talk her bogus and diabolic words. Pathetic Anna.
Huyu MAMA yuko katika siasa toka niko vidudu na leo nina wajukuu bado yumo!
Aliyesema makanisa mengi ni mkiristo mwenzenu,lakini mashambulia uislamu.kwani misikiti ipo mingapi mama ABDALAAHAH ALLAH?
Hujui Shetwani naye ana DINI?Udini gani sasa unaomsumbua Anna Abdallah??
.
Aliyesema makanisa ni mengi ni mkiristo mwenzenu,mbona mwashambulia uislam?
si aende wizara ya mambo ya ndani akawaambie wasitishe kugawa usajili,
nimeshawahi hadisiwa na babu yangu sasa hivi ni marehemu! Enzi hizo huyu mama alishawahi kugowambanisha marehemu mzee rashid mfaume kawawa na pius msekwa kidogo zipigwe kavukavu kisa alikua anate***! Na wote wawili! Aliyekuja kuwasulihisha ni marehemu baba wa taifa mzee julius nyerere, akawaita wote watatu, anna abdala, kawawa na msekwa, anna abdala akaulizwa kati ya hawa mabwana wawili ni yupi unamtaka? Anna abdala akasema namtaka msekwa, kawawa akasema namwachia mungu!
Baada ya hiyo story naomba kujua umri wa kustaafu ni miaka mingapi?
da, mkuu mimi sina ufahamu juu ya hili jambo, ila ni vema kama ukanipa nami nikajua, na ni dini gani inayopewa kipaumbele hapo wizarani kwenye usajili kuliko nyingine?Oooooppps wizara ya mambo ya ndani ilishaingizwa kwenye game hili siku nyingi kwani hujui? kwani ni siri?? usajiri wa dini na ngo za kidini sasa hivi ni issue kubwa sana kwa dini moja lakini kwa nyingine unakimbia kweli kweli.... watu kunyamaza sio kwamba hawaoni kinachoendelea huko jikoni. Wizara hii imekuza sana mgogoro wa kidini!
Hata katika biblia ya kiarabu,mungu pia anaitwa Allah,na hata waarabu wakristo mungu wanamwita Allah,utofauti wa uitaji Allah kwa waislamu na wakristo waatabu,ni kutamka,wao wanasema Allah,kama ilivyoandikwa,kwa waislamu,ina tamkwa Agwah.Is Abdallah a Christian Name? I don't think so. Since Moh was the first Muslim in Arabia, where did his father get the name Abdallah?
Kwa kiasi fulani nakubaliana na huyu mama.
Nyumba za kuabudia zimekuwa zikijengwa ovyo bila mpangilo maalum, alafu unakuta wanapiga miziki sijui nini siku nzima. Yaani zimekuwa kero kwa kweli.
Mi nafikiri sheria ya ku regulate nyumba za ibada zitungwe. Yes tunataka Uhuru wa kuabudu, lakini basi tusibughuziane.
yaani mara nyingine unakuta kanisa ndani lina watu 2, lakini wamefungulia maspika mpaka mtaa wa tatu huko, ina bore sana
Is Abdallah a Christian Name? I don't think so. Since Moh was the first Muslim in Arabia, where did his father get the name Abdallah?
Hivi Mama Ana Abdallah ni dini gani? huyu si ni mke wa Mzee Pius Msekwa? ambae ni Mkatoliki? kuhusu kauli ya Mama namuunga mkono kwani TZ Makanisa yanaota kama uyoga! kila mtu anataka kujenga Kanisa ili afaidike na sadaka za Waumini mfano mwangalie Askofu Kakobe na wachungaji wengine wanavyokusanya pesa za waumini kila Jumapili na Jumamosi! hizi pesa zinaenda wapi? zinakaguliwa na wahasibu? Wa TZ hatuna budi kubadilika na Serikali ni lazima ichukue uamuzi mgumu kuhusu ujengaji holela wa Makanisa nchini!Watu hujenga kutokana na mahitaji! sasa leo si dhani kama waumini wamekosa Makanisa ya kuabudia mpaka tunatumia nguvu na fedha za Waumini bure kujengea Makanisa! utakuta kanisa liko tupu! halafu unajenga lingine aingie nani humo? MaMama Ana Abdallah nakuunga mkono na kuwaomba Wabunge wote wasio wadini wamuunge mkono!Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini?? Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry: