Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

Status
Not open for further replies.

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,907
Reaction score
1,080
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.

Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??

Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.:angry:
 
Huyu mama nadhani zile bange zake bado zinamsumbua
 
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.

Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??

Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.
:angry:

Udini gani sasa unaomsumbua Anna Abdallah??
Anna Abdallah si muislam ni mkristo,japo nakubaliana nae kuwa hoja yake ya kusema makanisa yapo mengi ni ya kipuuzi,tunataka idadi ya makanisa na misikiti iwe mingi ili watu wazid kumjua mungu na idadi ya vituo vya polisi ipungue kabisa na magereza wafungwa wawe wachache...
 
Mwambie aende akamuulize baba yake Moh wapi alilipata jina la Abdallah. Akisha pata jibu amuulize Allah wapi alipo Moh. Then she can talk her bogus and diabolic words. Pathetic Anna.
 
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.

Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??

Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.
:angry:

Yeah Rais Mwinyi na AZIMIO LA ZANZIBAR alikuja na UHURU wa KUABUDU - Ndio hapo wakaruhusu NGO's za KIDINI; Dini za Kipekee HURU; Na hapo ndipo pia Dini nyingine wakaruhusiwa kuvaa nguo za kidini

Hii yote ni ya AZIMIO la ZANZIBAR ya ule UHURU wa KUABUDU... Ni Moja ya CHUKI za AZIMIO LA ARUSHA hawakulijua kuwa pia ndilo lililokuwa linatuletea AMANI NCHINI... Walitaka UMIMI hapo sasa amani ikafa
 
Udini gani sasa unaomsumbua Anna Abdallah??
Anna Abdallah si muislam ni mkristo,japo nakubaliana nae kuwa hoja yake ya kusema makanisa yapo mengi ni ya kipuuzi,tunataka idadi ya makanisa na misikiti iwe mingi ili watu wazid kumjua mungu na idadi ya vituo vya polisi ipungue kabisa na magereza wafungwa wawe wachache...

Kweli mkuu maana sifa ya kuitwa binadamu ni kutokana na kuwa na akili ya kujitambua tofauti na wanyama wengine hivyo panapokuwa na amani na uadilifu hata idadi ya wafungwa inapungua ndio maana kunapotokea uvunjifu wa amani mara kwa mara dawa si kuongeza idadi ya polisi na kupanua magereza bali dawa hapa ni kuangalia kwa makini kwanini matukio haya yanatokea ili serikali iweze kuangalia namna ya kuokoa jahazi. Suala la kuongeza idadi ya polisi iwe ni temporarly measure while mikakati ya kuelimisha watu kuhusu kutii sheria bila shurti
 
Duh!Labda yanamnyima uhuru wa kufanya yale mambo, yaleeeeee!Cheza na nguvu za Mungu!Kwa nini asiwe kama Kingunge mzee wa watu,haamini kama kuna Mungu wala halalamiki kuzidi kwa makanisa.Uvuguvugu siyo mzuri,kuwa moto au baridi.Unafiki siyo mzuri.
 
Ukiwa Ccm lazima uwe mwendawazim,toitokomeze Ccm kwanjia yoyote
 
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa.

Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna Abdalah, mbona sijawahi kusikia akilalamika kuwa vituo vya polisi vimekuwa vingi? Hivi anajua kazi za makanisa? Naona sasa anataka kuleta hoja kuwe na makanisa mangapi nchini??

Mama Anna kwa hili ulichemka kabisaaaaaa na tukisema ni udini unakusumbua utakataa? najua utakataa kwa kigezo cha majina yako lakini rohoni umejaza udini.
:angry:
Yalianza kuongezeka baada ya yeye kuhama alikokuwa anasali akaingia kanisani. Naona amesahau
 
Kwa kiasi fulani nakubaliana na huyu mama.
Nyumba za kuabudia zimekuwa zikijengwa ovyo bila mpangilo maalum, alafu unakuta wanapiga miziki sijui nini siku nzima. Yaani zimekuwa kero kwa kweli.
Mi nafikiri sheria ya ku regulate nyumba za ibada zitungwe. Yes tunataka Uhuru wa kuabudu, lakini basi tusibughuziane.

yaani mara nyingine unakuta kanisa ndani lina watu 2, lakini wamefungulia maspika mpaka mtaa wa tatu huko, ina bore sana
 
Makanisa yamekuwa mengi kweli. Ndio maana shetani anashindwa Tanzania , na wote waliotumia shetani , yaani kwa njia isiyoonekana sasa nguvu zinapungua na mambo yanaonekana kwa jina la Yesu. Huyu anataka yapungue ili majini yao yaendelee kupiga kazi. USHINDWE KWA JINA LA YESU WEE PEPO.
 
Ukiwa Ccm lazima uwe mwendawazim,toitokomeze Ccm kwanjia yoyote

Mkuu basi unaonaje kama ikianzishwa operesheni maalumu ya kukamata wendawazimu wote na kuwakabidhi uanachama wa CCM...
 
Hawa viongozi wetu sijui humo vichwani kunakuaga na nini, mbona sijawahi sikia kiongozi akilalamika baa zimekuwa nyingi? na watu wanalewa saa za kazi? so anataka yapungue? au ndo anatufungua macho kuwa mkakati wa kuyapunguza umeanza? TENA HAKUFIKIRIA KABISA KAMA WAKATI HUU NI MWAFAKA WA YEYE KUTOA HIYO KAAULI BAADA YA TUKIO LA BOMU.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom