Anipa onyo baada ya kuhisi natembea na mkewe

Anipa onyo baada ya kuhisi natembea na mkewe

hama na asijue unapokaa kaka huyo jamaa usijidanganye eti ni mstaarab anakutafutia poz kaa mbali sana infact hama hata mitaaa msiwe mna cross na asijue unapokaa atakufanya kitu hamna rangi utaacha ona!!! na uyo wife wake futa au block namba yake kabisa au badili hata namba!!!
 
Kama hujaoa hutatuelewa tunachokushauri,oa afu ufanyiwe wewe Majibu utayapata
 
Una bahati kijana,,, kama ni mimi ningekuvunjia yai ili ukome!!!
 
mke wa mtu sumu tena kama nyongo ya mamba muonye hata huyo mwanamke asitishe mazoea na wewe.....ohooo shauri yako...
 
ahahaaaaa endelea halafu uje na epsode ya pili ya kuliwa 071 ila usisahau kutupa taarifaa baana ahahahahhahaaa
 
Huyo jamaa naamini atakua mkurya,hiyo ndo jadi yetu tunatoa onyo kwanza ukisikia ndo pona yako na ukiendelea cha moto utakiona.
 
we endelea tu kuila hiyo nyama, maana jamaa si anahisi, sasa ukiacha ukija kuliwa wewe itauma sana.
 
Hivi mkeo unafahamu analiwa mchepuko ya nini kuwafatilia walaji wakati yeye anatoa kwa hiari yake na pengine kwa kuwashawishi walaji? Wewe dili naye yeye mwenyewe maana utashambulia watu na utaishia kufungwa kifungo kirefu na huku watu wataendelea kupakua watakavyo.

Mwanamke mzinzi ni wa kumuacha tuu, na ndio maana hata ndoa za kikristo ambazo wanasema hazitenganishwi hadi kifo wameruhusu talaka katika swala la uasherati pekee. Huyo bwana amuache tuu ajitafutie mwingine.
 
Ushauri aliyekupa mwenye mke ndo ushauri ushapewa. Pingana nao uwe historia
 
Muraa achana na muke wangu mura reo nakuonya tu mura nikija mara ya piri andaa 0712 kabisaaa mura. Akawasha gari akateleza.
 
Wastaarabu always huwa wana action mbaya kushinda wapayukaji real i tell u
 
Tena una bahati sana, otherwise saa hizi tungekuwa tunashuhudia picha za mtu aliyelawitiwa...take care broo mke wa mtu ni sumu.
 
Yaan jiangalie sana maana akirud mara ya pili itakuwa hatari, nashauri uwe unatembea na mafuta ya mgando ili cku wakikukamata watakapokuwa wanafanya yao wasikuumize sana, MKE WA MTU MUACHE TAFUTA WAKO MKUU
 
Duh mbona huruma imenijia kabla hayajakukuta, yaani nasmeli damu inamwagika kabisaaaaa! Hii case nzito sana kama nimeielewa vyema!

Wewe umehama na kwenda mahali pengine, mke wa mtu anachepuka huko aliko na jamaa anajua wewe ndiye mwizi wake! Aisee mrudie Mungu wako, muombe sana amuoneshe huyo jamaa mwizi wake halisi na wewe poteza kabisa mawasiliano na huyo mke wa mtu!
 
Ebanah unabahati sn, uache kabisa hy kitu mana simba mwenda pole mmbaya sn
 
Inabidi ukate kiguu kwa huyo m/mke hapo mmewe kakwambia kiroho safi, kinachofuata hakika hutosimulia.
 
Back
Top Bottom