Anielewi binti huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anielewi binti huyu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chriss brown, Jan 28, 2012.

 1. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nampenda sana,ananichukulia mimi kaka yake jamani.Mnafanyaje wenzangu kutoa hali ya ukaka na udada?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  huwezi kuitoa.
  Hakuna kitu kibaya kama kupendwa na usiyempenda.
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sio kila kupenda basi kun end up in bed. Sometimes its just for company. Recirocate her freindship and if it is love that was destined, you will get a sack full. Take your time and groom her more.
   
 4. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aaaa dogo huyo ana mtu mwingine ukisha ona anakazania wewe ni kaka, ujuwe kuna mwingine kisha kuwahi...endelea tu kuwa kaka yake.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kaaazi kweli kweli.
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Yategemea ulimwingilia na gear gani ?
   
 7. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  unampenda lakini hujamweleza kama wampenda na ni ngumu kuelewa kwa vile ukaribu ulianza kama wa dada na kaka ... vunja ukimya huo kwa kumweleza
   
 8. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kumbe kuna gear, basi hata mimi na gear nakosea hapo kwako, itabidi unasaidie namna ya kuziingiza :biggrin:
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  We kaka,una mikasa kweli.
   
 10. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  soma wewe.....mtihani wa form two umerudishwa.
   
 11. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Relationships progress step by step. Step 1 is freindship. If you succeed then step 2 is being available when you are needed step 3 is her doing nothing before your approval then the rest is easy. Every relationship takes its own turn of events. If you try to speed it, you end up losing. Try watching a predator hunting. It is the same in life except in this case you get peace of mind and happiness ever after.

  PATIANCE WILL REWARD YOU POSITIVELY
   
 12. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  si vibaya ukaendelea kushika pembe hivyo hivyo kupitia uhusiano wa kaka na dada - itakujengea heshima kubwa kwa mashemeji zako
   
 13. segere

  segere JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  ..kongosho ashakueleza na usiposikia nakwambia UTAYATUMIKIA MAPENZI MAISHA YAKO YOTE..elewa hisia zake tafadhari na nadhani hana feelings zozote nawe,angalizo hata ukijapewa k yake,ujue kafanya kwa huruma tu au ni matokeo ya mwili wake kureack akati we uko karibu..bt maisha yako nje huku achana na huyo bt usiache kumsaidia masomo eeh!!..manake nalipa ada umesikia?..
   
 14. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  jamani mueleze ulichonacho moyoni jibu lake ndo linaweza kuondoa huo ukaka na udada hapo vip u can make it:juggle:
   
 15. A

  ANTA Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama ulijifanya kaka kwake, tulia. kwani hajui kuwa wewe sio kaka yake. labda tuweke sawa, kama mna undugu wa damu tujue. naamini kama sio nduguyo kabisa mwambie hisia zako. atasema tu. kumweleza unavyompenda sio kosa, kosa ni kumdanganya.
   
 16. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,322
  Likes Received: 2,309
  Trophy Points: 280
  Pole. hebu mwambie apite hapa JF tumkague na kumchunguza halafu tutakupa matokeo.Itakuwa pia njia nzuri ya ku-recruite member wapya
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Sema nae tu ila usilazimishe ndugu!!
   
 18. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  mwambie unampenda...labda hajakusoma bado....
   
 19. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  ushamwambia ukweli ndo akakujibu hivo?...if thats the case take ur time n walk away utapata anaekupenda
   
 20. h

  hayaka JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuzungumza ni kuelewana! Ukipiga kimya hutajua muafaka.
   
Loading...