Anguko sasa ni dhahiri

Haya powiche khovolongwa nava policcm vanyibate enamba yango ya khemobiteli eye apa andekha.
075486984
 
kuna sababu ya kumdhibiti huyu jamaa bila hivo ataipeleka pabaya hii nchi...

kwa taarifa yako inchi inaendelea kunyooshwa ili kufikia maendeleo,porojo,kubebembelezwa peleka kibarazani.Hizo ramri utazipiga sana,mbaya zaidi huna hata uwezo wa kuzidhibiti tamaa zako mwenyewe.
haya ndiyo madhara ya kushindia chips harafu uko mwanaume,lazima akili idumae tu.
 
mwengeso nipe tofauti ya kiongozi na raia! Kwanini kila mtu ni raia lakni si kila mmoja ni kiongozi?
Dhima ya kiongozi ni nini kutengeneza au kuharibu?
Kujenga ama kubomoa?
Kuponya ama kutia jeraha?
Tunapozungumzia busara na tafakuri kwa viongozi ni kwenye mambo kama na si visasi utemi na vitisho
 

Ndio tungeona hapo busara, mwenzio kamwaga mboga we usimwage ugali, chukua maji karoga na chumvi halafu mkaribishe tena. Busara yako itafanya anaekupinga akukubali tu bila kutumia nguvu
 
Wanaowasiliana na kamati kuu ya CCM wawaambie kuwa next time wanapotafuta mtu wa kuja kuwa rais wazingatie haya:
1. Mental and psychological assessment
2. Personal background, especially childhood
3. Exposure to the world outside Tanzania
4. People skills
5. Communication skills
6. The ability to read
7. An understanding of the Constitution and the laws of the country
8. Etiquette
9. A receptive mind
10. The ability to unite all people as one nation

Kama ulivyo mchezo wa drafti tumeliwa king.
 

Your example is irrelevant.

Hakuna cha mtoto wala Baba hapo wote wazima wanatakiwa wakemee viashilia vya ubaguzi na utengano.
 
mbavu zangu
Tumeliwa king
 
Tafsiri ya Hekima au (Wisdom) is the right application of knowledge. Sasa wewe tueleze hapa kwamba hayo ni matumizi sahihi ya Madaraka?
 
Sifa kuu ya kiongozi ni ni kuwa mkweli na mnyenyekevu (honest). Kuonesha kiwango cha juu cha ukweli na unyenyekevu kwa unaowaongoza. Kukemea waziwazi kila lisilo sahihi. Kuchukua hatua pale jambo lisilo sahihi linapotendeka. Asipofanya hivyo mara nyingi ni dalili ya woga na/au kutokujiamini.
 
Ni aibu sana kwa Rais aliechaguliwa kwa demokrasia kubaka demokrasia na kuchochea chuki dhidi raia wengine! Rais anayetamani kuua kila dakika sababu tu hataki kukosolewa! Koo lake limejaa kiu ya damu tu!! Tumekosea wapi? Mungu atusaidie! Haya sio maendeleo! Libya ndio mfano mkuu hajui kw nini watu wa Libya walichoka utawala ule! Yeye anashikilia kitu kisicho mashiko! Amani! Hakuna amani kama haki imekandamizwa na kubakwa! Libya hawakuwa na furaha zile vitu vya bure haikuwa favor ni mali zao! Walitaka haki yao uhuru na demokrasia hasa kuamua na kukosoa na kuchangia........
 
Hapo kwenye unyenyekevu ni humbleness...umeongea vizuri sana..tukiwa na viongozi wa namna hii taifa litashamiri katika nyanja zote...na tungeshuhudia mabadiliko chanya na ustawi wa jamii....bahati mbaya sana wengi wetu tunadhani tumepata kumbe tumepatikana
 
Tumebaki mdomo wazi tumeduwaa kwa kweli!!!!
 
Brother siku nikija dar naomba nikutafute pls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…