Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,170
Kama m/kiti uliyetumwa huku uko hivi tutegemee nini kwa mwenyekiti mkuuMwaka wa kuweweseka mpk miaka mitano ntakua mmenyooka
Mwenyekiti CCM JF
Kazi ipiHapa Kazi Tu
Is like utabiri kim jon un, kutolewa madarakani. Hizi ni ndoto.Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Ingawaje hukumtaja mlengwa, lakini kuna busara nyingi kwenye maneno haya ambayo baadhi nimeyaona kwenye vitabu vya dini pia.Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
KutuchonganishaKama m/kiti uliyetumwa huku uko hivi tutegemee nini kwa mwenyekiti mkuu
Walewale
Unabung'aa tuu huku km mnavyobung'aa huko Zanzibar
Kazi ipi
Unathibitisha hoja ya Mshana Jr.Yaan nimeshutuka sn.Nikafikiri kuna anguko la chama au anguko la kiongozi,kumbe ni fikira zako na ndoto ndo unaleta hapa.Pole sn ndoto si mahala pake hapa.
Siku zote wise hamwambii mwenzake ur are a fool. Mpaka hapa mshana big up. Ur perception will tell you who you are mate!Chagua linalokufaa
Visasi vya watu kaskazini vitawatoa roho. JPM kaza uzi watanyoka tu!Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Mimi wa Nyanda za juu kusini lakini huyu Dikteta Magufuli namchukia sana.Visasi vya watu kaskazini vitawatoa roho. JPM kaza uzi watanyoka tu!
Mkuuu umeniacha hoiiiDikteta uchwara John Pombe Magufuli.
Mimi nipo Bulongwa hapa.
Chuki za namna hii hazijengi na zina madhara makubwa.Mimi wa Nyanda za juu kusini lakini huyu Dikteta Magufuli namchukia sana.
Natamani afe hata leo.
Wakuwezee wapi shosti, tena wakiona jinsia KE wataishia kukuPM tuHivi policcm wanaweza kuja Makete mpakani na ziwa Nyasa.
Mimi nipo hapo panaitwa Hanja jirani na Lyulilo.
Yaani hawachoki kuja ni stories . Leo ndio nini sasa? Kaskazini ni shida.Visasi vya watu kaskazini vitawatoa roho. JPM kaza uzi watanyoka tu!