Anguko sasa ni dhahiri

Umeandika mengi sana lakini hata sijui umeandika nini na hata nikikwambia nifafanulie ulichoandika utaishia kutoa macho kama si vijembe
 
Kama huwa ananipa mmeo sawa.

Mwaka jana wenzio walilipwa Tzs 10,000/- @ a day, look at how cheap and unwanted you're (wewe uliyepewa kibarua juzi juzi tu!
Your party is running short of funds for your information.
 
Mtaje basiii....au kifungu cha uchochezi kitakuhusu.....
 
MshanaJr. Mimi nafikiri tunahitaji kiongozi ambaye ni malaika au wa Chadema/UKAWA ili malalamiko yaishe.
 
Mwaka jana wenzio walilipwa Tzs 10,000/- @ a day, look at how cheap and unwanted you're (wewe uliyepewa kibarua juzi juzi tu!
Your party is running short of funds for your information.

You're too low for me.

Do you know my party? Mada imekushinda umeanza kupiga ramli tu

Haya kamsalimie mmeo..
 
But in general view conclusion ile shule ni mbaya na kama ni ya serikali mwalimu mkuu anabadilishwa.... .dhana ya anguko
Dhana yako ya 'anguko' kinadharia kwa mfano wa mwl mkuu wa shule inaweza kuwa sahihi. Kiuhalisia kisiasa, vigezo ni vingi vya kuchunguza na kuchambua. Kimojawapo ni jinsi uongozi unavyopatikana, yaani ameingiaje madarakani!
 
Mkuu....post ikitokelezea tuu..kwa ukurasa huu....automatically ni mjadala.... sijui unakwepaje...ingawa umetumia tasifida lakini....ukisoma unajua nani umemlenga....
 
Sasa tunaenda vizuri sana....ni nani anapata madaraka gani kwa vigezo gani na kwa sababu zipi? Na je anakuwa ameandaliwa au kakurupushwa tu na kupewa mikoba asiyoweza kuibeba?
 
Wanadai alikuwa "anamdesa" Mpoto.
 
Wise people and intelligent one work hard more mentally than physically,any fool can do physical work but not mental work,viongozi wengi wanaoacha alama chanya kwenye maisha na mioyo ya watu hutumia akili zaidi kuliko nguvu.
 
Mkuu....post ikitokelezea tuu..kwa ukurasa huu....automatically ni mjadala.... sijui unakwepaje...ingawa umetumia tasifida lakini....ukisoma unajua nani umemlenga....
Sawa ila kwakuwa sijamtaja yoyote basi tuachane na ramli tubaki na mjadala na twende nao kwa nia ya kujengana kifikra...hebu angalia ninavyoenda na mwengeso tunapingana kwa hoja heshima na hekima bila kutunishiana misuli wala kuonyeshana umahiri wa mipasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…