Anguko sasa ni dhahiri

Humu kuna watu wanasema kuliko yule binti Asenga aliyepandishwa Mahakama ya Kisutu .lakini hawaguswi ...
Najiuliza wanalindwa na Jf au ni wale wale wale?
 
Mshana mbona huja andika same mada kwa wamarekani, umemuona mzee wetu tu? Dhana ya chuki na visasi ktk siasa ndio siasa nje ya hapo no dem and rep
 
Kuna siku ntatoa agizo jua lisimame Mwaka mzima ili mfanye Kazi,naona watu mnapenda kulala sana na taarifa ninazo

uwezo huo huna labda unaloweza ni kusema tu kwan..... IF WISHES WERE HORSES THEN EVERYBODY WOULD RIDE..... utaishia kubwabwaja tu ila kufanikiwa sahau
 
Mshana mbona huja andika same mada kwa wamarekani, umemuona mzee wetu tu? Dhana ya chuki na visasi ktk siasa ndio siasa nje ya hapo no dem and rep
Mmh hebu nisome vizuri sijataja mtu sijamsema mtu wala hata dalili....hii mada ni ya ujumla mno lakini pengine kutokana na mahitaji ya nyakati naona imeelemezwa upande fulani.. je ni kwa bahati mbaya au kuna uhalisia? Kwanini kuna shauku kubwa ya kumsingizia joni au Journeynet kuwa ni wakora na si mimi au yule?
 
Nakubaliana nawe tafsiri sahihi ya unyenyekevu kiingereza ni "humbleness". Unyenyekevu, ni msingi mkuu wa raia - alama ya upole au tabia ya adabu, mtazamo, au roho; kutokufanya kiburi bali heshima na utiifu kwa mamlaka.

Nguzo kuu ya Unyenyekevu (humbleness) ni uaminifu (honest) na ukweli (truth).

Kiongozi imara ni budi awajenge anaowaongoza kuwa na tabia ya unyenyekevu (kusema ukweli, uaminifu, utiifu na heshima) si kwa mahubiri bali kwa vitendo.

Baada ya fafanuzi hizo, unaweza kurejea mada yako, ni nani anastahili lawama.
 
G20 watakuwa wanadizaini mbinu za kumchochea mwenye nyumba kwa kumpa nishani za uongozi bora na wengine wahamasishe ukuta ili nchi isitawalike.
 
Asante kwa ufafanuzi uliojaa elimu hivi wanafunzi wakifanya vibaya jamii inapeleka lawama kwa nani? Kwa wanafunzi? Walimu? Au shule?
 
Mimi huwaga mawashangaa sana. Mbona wapinzani wakitoa hotuba mbaya, kali na zenyekuhatarisha amani huwa hamji kukemea ?hivi mmeshasikiliza hotuba za Seif na baadhi ya wapinzani wengine. Huwaga tu wanachi wanapuuzia kwa sababu wanajua mana ya amani. Lakini ingekuwa nchi nyingine kwa hotuba nyingi za wapinzani huwa ni hatari kwa usalama wa nchi. Lakini nobody comes na kukemea kwa matamko. Sielewi siasa zetu zikoje
 

Tunazunguka na kujiliwaza ila inshort Magamba yametugharimu na imekula kwetu. naamini ata wao wanajuta kwan hawakutaka iwe ivi akseh
 

'Sometimes God takes time to answers prayers' au maneno yanayofanana na hayo.
 
Huyu jamaa nina wasiwasi kama ibada huwa anafanya,kama anafanya basi tuzidi kumuombea Mungu amvute karibu yake zaidi ampe hekima na busara japo kiduchu tu.
 

duh wewe uko nchi gani????? wapinzani wa wapi wametoa hotuba kt awamu hii au ndo ushabiki mandazi
 
Ni ukakasi mtupu. Niliwahi kusema amani itakuja vunjwa na watawala kwa maneno yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…