Mapoint matupu!ahsanteniUnajua kila mtu anafanya ujana, Ila wengi hufanya kisiri Siri na maisha kuendelea ikiwemo na hyo shule, sasa huyu mapema anajiweka cheap kutoka na kina rayvan soko lenyewe liko saturated ka Nini, na yeye kajiona kafika na watu wamwonea wivu, nikikumbuka enzi za wema sepetu alivo kuwa hot cake in town alichezea ujana sasa hivi hana mbele Wala nyuma na madanga yamekula corner zao.
Hata huyo kajala mambo magumu ndio maana anajiachia kutafta market
Elimu ndio kila kitu especially umri ukisogea, aangalie akina Joyce Temu na JoJo kama unavyosema au wengi tu akina Sylvia Bahame etc walipoacha ujana elimu zimewabeba sana.
Kajala ni shuleless na anampoteza mwanae kweupe kabisa wakati yeye ameshaona effect ya kutoweka akiba ya elimu .
Binti anaweza kuendelea na mambo ya ujana sababu umri unamruhusu Ila isimfanye apoteze thamani yake kwa kufanya ujinga na kuishia kwenye bongo muvi especially sasa wanataka kuanzisha reality show yao ambayo maana yake binti ndio shule baibai.
Well, wacha aiuze maana wadau tupo na nakavizia kashuke bei kidogo [emoji2] sasa hivi mambo ya kupelekana Dubai tunawaachia wenye viherehere kwanza.
Hamisa kuwa na watoto kumempa akili ya maisha maana ukicheza watoto wanaweza kulala njaa, pia hamisa hafatilii team ushuzi ka zile za wema sepetu zilizokuwa zinamdaganya sasa kabaki hajielewi elewiHamisa mwenyewe alikua anaharibu mwanzo ile kuchambwa chambwa na kina Mange na original east vilimshtua sana ila mwanzo alikalia umaarufu kunuka anategemea majay amuwezeshe mpk alipomtimua kwenye nyumba yake Diamond akaenda kumpangia alivoona mambo magumu Dai haeleweki akashtuka uzuri ameshtuka mapema kwa sasa anafanya poa..
Wema hana washauri wazuri wanamsifu kinaafiki ukimuambia ananua mpk duka limemshinda la nguo pale Mwananyamala kakodi Mobeto sasa hivi ila bora atangaze apate hela ya kula.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa Wema amedanganywa sana na wajinga wajinga na wamenufauka nae haswaaa!yeye amebaki pale paleHamisa kuwa na watoto kumempa akili ya maisha maana ukicheza watoto wanaweza kulala njaa, pia hamisa hafatilii team ushuzi ka zile za wema sepetu zilizokuwa zinamdaganya sasa kabaki hajielewi elewi
Ukweli usemwe , Wema kafulia balaaWrite your reply...nyie mnaomponda wema maisha yenu yakoje? au ndio wale keyboard warriors
Jamani shule si ya kila mtu, wengine wanamaliza form IV hawajui kuandika essays. Waangalie kipaji cha Paula kama ni kupika au charahani wamuendeleze.Elimu ndio kila kitu especially umri ukisogea, aangalie akina Joyce Temu na JoJo kama unavyosema au wengi tu akina Sylvia Bahame etc walipoacha ujana elimu zimewabeba sana.
Kajala ni shuleless na anampoteza mwanae kweupe kabisa wakati yeye ameshaona effect ya kutoweka akiba ya elimu .
Binti anaweza kuendelea na mambo ya ujana sababu umri unamruhusu Ila isimfanye apoteze thamani yake kwa kufanya ujinga na kuishia kwenye bongo muvi especially sasa wanataka kuanzisha reality show yao ambayo maana yake binti ndio shule baibai.
Well, wacha aiuze maana wadau tupo na nakavizia kashuke bei kidogo 😃 sasa hivi mambo ya kupelekana Dubai tunawaachia wenye viherehere kwanza.
Ninakumbuka wakati Diamond anamvakisha Pete Wema, mama Sepetu alisema Diamond hawezi kumuoa Wemasi level yake.Diamond muonee huruma Wema ana mchango katika maisha yako, msitiri hata kwa kumfungulia duka Kariakoo auze nguo za jumla , atakushukuru Sana maana kwasasa yupo level na kina Amberutty ,yaani Hamisa yupo level nyingine kabisa
Mimi namuwazia Kajala sijawahi pata jibu!Yule binti atakuja kujutia huu ujana anaouchezea. Mama yake anamuexpose kwenye mambo ya kishenzi sababu tayari yeye ameshachuja na Hana namna ya kujiweka kimjini bila huyo mtoto anayemuuza bila kujali future ya mwanae.
Awekeze sasa,mwisho wa siku akiendelea kutegemea mbunye atakuwa kama Wema, labda huruma za child support zitambeba.Hamisa kuwa na watoto kumempa akili ya maisha maana ukicheza watoto wanaweza kulala njaa, pia hamisa hafatilii team ushuzi ka zile za wema sepetu zilizokuwa zinamdaganya sasa kabaki hajielewi elewi
Basi naona ameangalia kipaji akagundua ana kipaji Cha kumanua miguu. Aendelee tuJamani shule si ya kila mtu, wengine wanamaliza form IV hawajui kuandika essays. Waangalie kipaji cha Paula kama ni kupika au charahani wamuendeleze.
Kajala ameshindwana na mashosti zake wote naona ameamua kumgeuza mwanae shosti wake Ila watakuja kuzinguana maana watachukuliana wanaume.Mimi namuwazia Kajala sijawahi pata jibu!
Kama ni kweli mwalimu wetu kipofu basi acha tusurubiwe...kwanza mtoto chini ya 20 yrs unaanza kumchubua..mara lipstick uwii mm tumbo la uzazi linauma jaman
Shida waliozoea kudanga majority huwa hawana maendeleo sasa sijui hela za kudanga zina laana, au huwa Wana enjoy Trip za nje tuAwekeze sasa,mwisho wa siku akiendelea kutegemea mbunye atakuwa kama Wema, labda huruma za child support zitambeba.
Pesa wanayopewa huishia kwenye nguo, manukato, kukaa sehemu za starehe za gharama, kununua simu kali, kukaa appartment mikocheni au msasani dola 1500/month nk. Hapo unatarajia atafanya maendeleo kwa pesa ipi? Halafu hawapewi pesa nyingi, unakuta unaspend nae humalizi milioni yani kimsingi wanaishia kupata hela ya kawaida tu ndio maana lazima apigwe mshedede kwa wiki hata Mara tano.Shida waliozoea kudanga majority huwa hawana maendeleo sasa sijui hela za kudanga zina laana, au huwa Wana enjoy Trip za nje tu