Anguko la Millard Ayo liko karibu sana

Tatetitotu

Member
Mar 6, 2018
58
42
Binafsi nilikuwa mpenzi mno wa hii blog, lakini toka mwaka Jana mwanzoni mpenzi yangu yalitoweka kabisa.

Kuna sababu kadhaa zilizopelekea kuichukia hii blog ambazo ni Pamoja na:

Habari zake Karibu zote amekuwa akiweka video badala ya kuandika hali inayopelekea bundle kuisha haraka sana

Pia Millard Ayo licha ya kutuwekea Video katika almost Kila habari anayoposti, robo ya hiyo Habari unakuta na video ya Tangazo la biashara ambalo ni video pia

Achilia mbali hilo hata Habari anazopost nyingi ni za Abunuasi yaani kufikirika kwa maisha ya mtanzania wa kawaida hazina msaada mathalani NYUMBANI ghari duniani - Simu ya Gharama zaidi na mengine mfano wa haya
 
Ujaelewa mzeebaba
Matangazo n usibitisho kuwa habar zake n sensitive that's why watu wanamtumi a kimatangazo
Binafs namsaluti sana dogo
A na weredii Wa kaZi
 
Asbh kumekucha mto pawaga umejaa maji na samaki ni wa kumwaga, ulanzi unagemwa kwa wingi, wengine wameenda kuwinda digidigi, kanga, sungura nk(huu utakuwa mlo wa mchana)..Njooni pawaga jaman

>>ukiwa masikini kama mimi unadhauliwa hadi na watoto na ukiwa na uwezo utachukiwa kila kona....

Huyu kijana anapigwa vita sana na hii yote ni kutokana na mafanikio aliyopata nadhani.

NB: Njoo pawaga upate nyenzo ya kujikwamua na umasikini, hao wenye uwezo hata wakifilisika wewe bado utabaki na umasikini wako
 
Kideo kinamuingizia pesa..

Ila huwa napenda jinsi walivyojipaisha kiakili.. hata yaliyorushwa instagram. wao wanaweka kwa kideo.. yaani wanakusomea..
 
Ukweli ni kwamba millard kuweka video nyngi ni yeye kujiongezea kipato kikubwa Youtube kwa sababu video anazoweka ni za kutoka kwenye Youtube channel yake so unapotemblea blog kwa sasa ni sawa na kuingia Youtube channel.

Na pia kuhusu matangazo hizo ndo pesa za Youtubers, bila matangazo ya kutoka Google Adsense na makampuni mengine hapa nchini haupati kitu Youtube. Kwahiyo, as long as anatafuta pesa inampasa afanye ivo
 
Back
Top Bottom