Anguko la kihistoria limekaribia

Anguko la kihistoria limekaribia

Superhuman 1995

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
1,506
Reaction score
2,452
Dalili ya mvua ni mawingu,historia yeyote duniani huwa inamtindo wa kujirudia, pia hakuna kitu kisicho na signs zake , hakika anguko kubwa lipo njiani ,kitu ambacho kilikuwa hakina budi kotokea,sasa kipo njiani kutokea,mwenye macho aone na mwenye masikio asikie,hii sio ndoto tena bali ni ulimwengu halisi,wale wote waotao ndoto ya yule ni kweli kunamfanano wa yule kwa kila kitu lakini mmoja anapenda utawala wa sheria,hii sio accident ni kanuni ya asili,haina budi kutokea upepo na mawimbi ya bahari yatulie.
 
Ngoja waje wenye chama Chao wakuambie unaota🤔,ety amkaa utajikojolea hapo Kwa bed
 
Amini mchakato asili,
Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua.
 
Dalili ya mvua ni mawingu,historia yeyote duniani huwa inamtindo wa kujirudia, pia hakuna kitu kisicho na signs zake , hakika anguko kubwa lipo njiani ,kitu ambacho kilikuwa hakina budi kotokea,sasa kipo njiani kutokea,mwenye macho aone na mwenye masikio asikie,hii sio ndoto tena bali ni ulimwengu halisi,wale wote waotao ndoto ya yule ni kweli kunamfanano wa yule kwa kila kitu lakini mmoja anapenda utawala wa sheria,hii sio accident ni kanuni ya asili,haina budi kutokea upepo na mawimbi ya bahari yatulie.
Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
 
Dalili ya mvua ni mawingu,historia yeyote duniani huwa inamtindo wa kujirudia, pia hakuna kitu kisicho na signs zake , hakika anguko kubwa lipo njiani ,kitu ambacho kilikuwa hakina budi kotokea,sasa kipo njiani kutokea,mwenye macho aone na mwenye masikio asikie,hii sio ndoto tena bali ni ulimwengu halisi,wale wote waotao ndoto ya yule ni kweli kunamfanano wa yule kwa kila kitu lakini mmoja anapenda utawala wa sheria,hii sio accident ni kanuni ya asili,haina budi kutokea upepo na mawimbi ya bahari yatulie.
Wacha tuone itakuwaje
 
No man will be buried uncircumcised, as long as I am working in the mortuary.

Nitawakeketa naapa.

Cc: Intelligent businessman
Anguko la kihistoria linakuja kwa kasi sana,ni sawa na mtu aliyeanguka kwa utelezi wa matope ,kila anapojitahidi kujiokoa ndipo anapozidi kupalilia anguko ,ni sawa na anguko hili kadri anavgozidi kurekebisha ndiyo speed ya anguko inaongezeka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom