Anguko la Jose Mourinho limfundishe kitu Magufuli

Mleta mada, unaweza kutoa mfano juu ya namna ambavyo Rais anapaswa kuongoza na kuleta mabadiliko kwa namna tofauti na anavyofanya sasa? Tuonyeshe mifano ya hiyo mikakati inayoweza kuwafaa wavivu, wezi sugu na waliozowea ubadhirifu bila kuwaadhibu. Na pia tupe mifano ya namna ya kuwamotivate watu wa aina hiyo.
 
Nitakupa mkuu
Ila naomba unitajie mtu aliyekuwa CCM ambae hakuiba wakati huo.
Alafu nipe uhakika kama Magu.. sio mwizi.

Ahhh! Achana na hilo, nitajie watu 10 wasafi CCM.

Au tuache kabisa; Hakikishia watanzania kwamba Mkwere & Family sio wezi.
 
Nijibu kwanza, hilo unalofanya ni kubadilisha kabisa mada. Nimekuuliza kutokana na kile ulichokileta kwenye thread uliyoianzisha, hayo mengine ungeyaanzishia thread nyingine ujibiwe. Jibu swali.
 
Mada inaweza ikaleta kama ukikaa na kutafakari... LAKINI kumbuka unapowaza utatuzi wa jambo fulani utakuwa na option nyingi, priotizing a solution among of many suggetions lazima ichukue nafasi.
Suggestion yako sio mbaya ila inafaa ungetueleza ubora na mapungufu yake, pia hiyo MAGUFURI umeiangalia upande wa mapungufu yake tu.
Mwisho kabisa, nikilishanganisha nchi zilizotawaliwa kidikteta na zile zilizoongozwa kwa maridhiano, naona bora ningempata RAIS dikteta.
Huweza kupata bila kupoteza, tuvumiliane hapa kwenye kupoteza kma kweli nia njema itatuongoza.
 
Kwanza Sio kweli kwamba watendaji wote wa serikali ni wavivu, wezi na hayo mambo mengine unayowaita japo wote wanaumizwa na aina moja ya uongozi.

Swala la mikakati na namna za motivation ni pana kiasi inabidi labda nikushauri vitabu vya kusoma.

Ila kwa kuanzia soma hapa:
Visionary. This style is most appropriate when an organization needs a new direction. Its goal is to move people towards a new set of shared dreams. ?Visionary leaders articulate where a group is going, but not how it will get there ? setting people free to innovate, experiment, take calculated risks,? write Mr. Goleman and his coauthors.
Coaching. This one-on-one style focuses on developing individuals, showing them how to improve their performance, and helping to connect their goals to the goals of the organization. Coaching works best, Mr. Goleman writes, ?with employees who show initiative and want more professional development.? But it can backfire if it?s perceived as ?micromanaging? an employee, and undermines his or her self-confidence.
Affiliative. This style emphasizes the importance of team work, and creates harmony in a group by connecting people to each other. Mr. Goleman argues this approach is particularly valuable ?when trying to heighten team harmony, increase morale, improve communication or repair broken trust in an organization.? But he warns against using it alone, since its emphasis on group praise can allow poor performance to go uncorrected. ?Employees may perceive,? he writes, ?that mediocrity is tolerated.?
Democratic. This style draws on people?s knowledge and skills, and creates a group commitment to the resulting goals. It works best when the direction the organization should take is unclear, and the leader needs to tap the collective wisdom of the group. Mr. Goleman warns that this consensus-building approach can be disastrous in times of crisis, when urgent events demand quick decisions.
Pacesetting. In this style, the leader sets high standards for performance. He or she is ?obsessive about doing things better and faster, and asks the same of everyone.? But Mr. Goleman warns this style should be used sparingly, because it can undercut morale and make people feel as if they are failing. ?Our data shows that, more often than not, pacesetting poisons the climate,? he writes.
Commanding. This is classic model of ?military? style leadership ? probably the most often used, but the least often effective. Because it rarely involves praise and frequently employs criticism, it undercuts morale and job satisfaction. Mr. Goleman argues it is only effective in a crisis, when an urgent turnaround is needed. Even the modern military has come to recognize its limited usefulness.
 
Kwa Magufuli gharama ya kufanya biashara ni kubwa kuliko faida yake.It so big that it doesn't make sense!
 
Inakuwa hivyo kufanya clean-out, hawezekani watu nafanya biashara hadi kwny AFYA za watu! Lakini hzo umezipata wapi kuwa ni kubwa kubwa kuliko faida?
 
Mkakati ni kutumbua majipu kwanza then motivation itafuata kwa watakaosalia.
Huwezi wamotivate wapigaji ndugu yangu lazima nyumba iwe safi ndo uanze kazi.
Alafu kumbuka alidumu kama Waziri for 15 years kwa mikakati kama hii anayoifanya Leo.Akiwa ujenzi Aliwai timua vijana 400 wa mizani kwa rushwa leave alone wakandarasi ambao aliwatimua,alichoma nyavu za wavuvi haramu etc.
Tatizo wapo ambao wameanza kumjua JPM akiwa Raisi trace him back ndo utajua undani wake toka akiwa mkemia kule mwanza then mwalimu alafu naibu Waziri waiziri then utaona kama analysis yako itahold water
 
Wadau Salaam na Heri ya x~mass na mwaka mpya!

Elimu na maarifa yanapatikana sehemu mbalimbali na kwa namna mbalimbali kama hauchoki kujifunza.
Kabla ya uchaguzi na hata baada ya uchaguzi sijawahi kudhani kama Magufuli anafaa kwa nafasi ya urais.

Lakini kwa sasa ndio anakalia kiti na demokrasia inatufundisha kuvumiliana bila kujali kama amekuwa rais kidemokrasia.

Kuna watu wamepongeza utendaji wake wa mwanzo wa kunyooshea vidole na kushusha lawama kwa watendaji wa serikali.
Kweli ameanza kwa makeke kama Mohamed Morsi kukata tawi alilokalia.

Ametumia nguvu kubwa kutuaminisha kuwa anafanya maamuzi kwa umakini mkubwa japo ukiangalia uteuzi wa kina Nape na Makamba unapata vipele vya baridi.

Anyway tusimnange sana kwa sasa ila tujaribu kutoa mtizamo wetu.
Jose Mourinho kocha gwiji kabisa wa Chelsea amepigwa chini.
Ni ajabu kuona mtaalamu huyu wa mpira mwenye vifaa vyote akishindwa kufanya kazi.Hakuwa na upungufu wa chochote kuanzia CV,wachezaji, fedha, mamlaka na support ya mashabiki lakini kazi ikashindikana.

Haijalishi uzuri wa mkakati wako kiuongozi lakini kama watu unaofanya nao kazi hawako nyuma yako basi hauwezi kufanikiwa.Mapungufu ya Mourinho yameonyesha umuhimu wa kuwaamini watendaji na kuwajengea kujiamini badala ya kuwatisha na kuwalaumu.

Kwa muda unaweza kuhamisha lawama za kushindwa kwako kuwasimamia watu kwa kuwaondoa kwa kisingizio cha mapungufu yao lakini baadae ukweli utabaki palepale na kushindwa kwako kutakua wazi.
Mourinho aliwatoa kina Lukaku, Andre Schurrle,Kevin de Bruyne na wengine wengi ila wakaenda kung'aa walikoenda na kina Costa,Fabregas,Willian wakaonekana kama kundi la watalii uwanjani.

Magufuli anapaswa kujua uongozi wa kileo ni mkakati pamoja na motivation.Uongozi wa kuamrisha na kutishia una nafasi kidogo sana ya mafanikio, tena ya muda mfupi.
Ni uongozi unaofaa zaidi jeshini wakati wa matatizo na hata hivyo majeshi mengi ya kisasa yameamua kuachana nao baada ya kuona ufinyu wa tija yake.

Mategemeo ya watanzania ni mengi kwa kadiri yalivyo matatizo yao.Ulaghai wa kufukuza, kusimamisha, kufungiana mageti,kuweka lock~up utadumu kwa muda tu.Kama suluhu za matatizo ya watanzania hazitapatikana ni dhahiri kwamba Magufuli anavinyemelea viatu vya Mohamed Morsi au aibu ya Mourinho.

Kiwango cha Elimua yako tafadhli ili tujue namna ya kuchangia uzi wako.
 
Mada inaweza ikaleta kama ukikaa na kutafakari... LAKINI kumbuka unapowaza utatuzi wa jambo fulani utakuwa na option nyingi, priotizing a solution among of many suggetions lazima ichukue nafasi.
Suggestion yako sio mbaya ila inafaa ungetueleza ubora na mapungufu yake, pia hiyo MAGUFURI umeiangalia upande wa mapungufu yake tu.
Mwisho kabisa, nikilishanganisha nchi zilizotawaliwa kidikteta na zile zilizoongozwa kwa maridhiano, naona bora ningempata RAIS dikteta.
Huweza kupata bila kupoteza, tuvumiliane hapa kwenye kupoteza kma kweli nia njema itatuongoza.

Kwa Magufuli gharama ya kufanya biashara ni kubwa kuliko faida yake.It so big that it doesn't make sense!

Ndilla, muulize huyu muleta mada atoe mfano wa nchi duniani iliyoendelea kwa sababu ya demokrasia au kubembelezana na kucheka cheka. Sasa hivi tuna tatizo la watu waliostahili kuwa wasikilizaji, sasa nao wanatoa mada na wanataka kusikilizwa.

Paul Alex, you need to train your mind how to think before testing your thinking!
 
Inakuwa hivyo kufanya clean-out, hawezekani watu nafanya biashara hadi kwny AFYA za watu! Lakini hzo umezipata wapi kuwa ni kubwa kubwa kuliko faida?

Ni maelezo mengi yanayotakiwa kukibu swali lako na itakuwa raisi kama unaelewa uchumi kidogo.

Nitajaribu kufupisha:
Duniani kote rais yoyote anayeingia madarakani. ukiacha Magufuli anaahidi kuongeza ajira au " ku kick start uchumi" kwa kuongeza hela kwenye mzunguko.
Zote ni njia za kuinua uchumi kutegemeana na ipi ina ufanisi zaidi kwa wakati huo.

Magufuli anafanya kinyume cha haya. Kama unapenda kusoma angalia Fishers equation:
MV = PT (the Fisher Equation )
Each variable denotes the following:
M = Money Supply
V = Velocity of Circulation (the number of times money changes hands)
P = Average Price Level
T = Volume of Transactions of Goods and Services

Halafu pimanisha na maamuzi ya Magufuli.
 
Kiwango cha Elimua yako tafadhli ili tujue namna ya kuchangia uzi wako.

Andika lugha yoyote kati ya kiswahili na kiingereza nitakuelewa.
Usijali profession au terms
 
Kwanza Sio kweli kwamba watendaji wote wa serikali ni wavivu, wezi na hayo mambo mengine unayowaita japo wote wanaumizwa na aina moja ya uongozi.

Uso wa nyoka
Hakuna mahali Niliposema watendaji wote wa Serikali ni wavivu,wezi n.k Nilichosema ni je unawashughulikiaje watu wenye Character hizo? Sijaona mtendaji mwenye sifa stahiki akiwajibishwa na Magufuli bali wale ambao utendaji wao unatiliwa shaka.
Unaposema kuna waliochoshwa na utawala wa aina moja, hiyo assessment yako imejengwa katika misingi gani? Kuna ushahidi gani kuwa kipya ni lazima kitoke unakokutaka wewe ndipo kilete matokeo chanya? Uliemtaka aliwahi kuleta matokeo yapi chanya ambayo unaweza kuyatumia kama mfano wa uwezo alionao? Ni kipi kinachomfanya kuwa role model wa uongozi uliotukuka?

Paul Alex

Swala la mikakati na namna za motivation ni pana kiasi inabidi labda nikushauri vitabu vya kusoma.

Ila kwa kuanzia soma hapa:
Visionary. This style is most appropriate when an organization needs a new direction. Its goal is to move people towards a new set of shared dreams. ?Visionary leaders articulate where a group is going, but not how it will get there ? setting people free to innovate, experiment, take calculated risks,? write Mr. Goleman and his coauthors.
Coaching. This one-on-one style focuses on developing individuals, showing them how to improve their performance, and helping to connect their goals to the goals of the organization. Coaching works best, Mr. Goleman writes, ?with employees who show initiative and want more professional development.? But it can backfire if it?s perceived as ?micromanaging? an employee, and undermines his or her self-confidence.
Affiliative. This style emphasizes the importance of team work, and creates harmony in a group by connecting people to each other. Mr. Goleman argues this approach is particularly valuable ?when trying to heighten team harmony, increase morale, improve communication or repair broken trust in an organization.? But he warns against using it alone, since its emphasis on group praise can allow poor performance to go uncorrected. ?Employees may perceive,? he writes, ?that mediocrity is tolerated.?
Democratic. This style draws on people?s knowledge and skills, and creates a group commitment to the resulting goals. It works best when the direction the organization should take is unclear, and the leader needs to tap the collective wisdom of the group. Mr. Goleman warns that this consensus-building approach can be disastrous in times of crisis, when urgent events demand quick decisions.
Pacesetting. In this style, the leader sets high standards for performance. He or she is ?obsessive about doing things better and faster, and asks the same of everyone.? But Mr. Goleman warns this style should be used sparingly, because it can undercut morale and make people feel as if they are failing. ?Our data shows that, more often than not, pacesetting poisons the climate,? he writes.
Commanding. This is classic model of ?military? style leadership ? probably the most often used, but the least often effective. Because it rarely involves praise and frequently employs criticism, it undercuts morale and job satisfaction. Mr. Goleman argues it is only effective in a crisis, when an urgent turnaround is needed. Even the modern military has come to recognize its limited usefulness.
Uso wa nyoka
Ukiachana na military styled leadership, hizo aina za uongozi zinafaa pale ambapo madhumuni na matakwa yamefikiwa baada ya kurekebisha matatizo ambayo yametawala kwa kipindi kirefu. Huwezi ukakaa unawasimulia watu mtazamo na matarajio yako kama visionary au unawacoach watu ambao wamekuwa wafujaji wakubwa juu ya kuachana na wizi na ubadhirifu wa mali za umma wakati kinachotakiwa ni kuwang'oa kwanza na kisha uanze kucultivate culture ya utendaji bora kwa waadilifu waliobaki ambao labda nao wangeangukia kwenye uvunjaji wa sheria. Unachojaribu kukileta hapa ni hoja dhaifu ambazo hazina mashiko kutokana na hali ya nchi ilivyo. Tena nadhani Tulipaswa kuwa na dictator walau kidogo ili watu wanyooke zaidi.
Suggestions zako zinaweza kumfanya kiongozi aanze kuonekana kama dhaifu fulani ambae anapenda porojo zaidi kuliko action.
Leta hoja za msingi.
 
Mkakati ni kutumbua majipu kwanza then motivation itafuata kwa watakaosalia.
Huwezi wamotivate wapigaji ndugu yangu lazima nyumba iwe safi ndo uanze kazi.
Alafu kumbuka alidumu kama Waziri for 15 years kwa mikakati kama hii anayoifanya Leo.Akiwa ujenzi Aliwai timua vijana 400 wa mizani kwa rushwa leave alone wakandarasi ambao aliwatimua,alichoma nyavu za wavuvi haramu etc.
Tatizo wapo ambao wameanza kumjua JPM akiwa Raisi trace him back ndo utajua undani wake toka akiwa mkemia kule mwanza then mwalimu alafu naibu Waziri waiziri then utaona kama analysis yako itahold water

CV is a necessary factor in management but not a condition. His CV doesn't give him the cartel Blanche over his decisions.
 
Watu kama wewe ndiyo tatizo au jipu kama Rais Magufuli anavyosema.

Unaleta habari za mashindano ya mpira kwenye kutimiza Ilani ya Uchaguzi na ahadi za mgombea? Are you serious?

Nani amekuambia Rais yuko kwenye mashindano? Nani amekuambia Ilani ya Uchaguzi ni mashindano?

Kwa kukupa vidokezo zaidi;

Mbaya zaidi hufahamu hata kilichoifanya timu ya Chelsea kuwa katika nafasi ya 15 kwenye ligi ya England.

Mbaya zaidi hufahamu kuwa kununua mchezaji ni rahisi sana lakini kufukuza mchezaji ni vigumu au haiwezekani wakati Rais ana uwezo wa ku-hire and fire watumishi ambao wako chini ya mamlaka ya uteuzi wake. Kwa maana nyingine, Rais ana finite human resources.

Mbaya zaidi hufahamu kama wachezaji hawanunuliwi kila siku. Shopping window inafanyika baada ya miezi sita wakati Rais anaweza kuteuwa mtu wakati wowote.

Mbaya zaidi hufahamu sababu iliyofanya Maurinho kufukuzwa kazi.

Mbaya zaidi hufahamu kwa nini Mourinho amejikuta katika hali ile wakati msimu uliopita alichukua kombe la Premier League.

The list goes on and on...

Hoja yako haina tofauti sana na Zero Sumaye aliyesimama mbele ya jukwaa la UKAWA na kusema Rais ni sawa na manager wa kampuni.

This is logical fallacy at its best!
 
Unalionaje anguko la mzee wa kadi #8 a.k.a mzee wa victoria njia ya kwenda kwa mama zakaria!
 
Unalionaje anguko la mzee wa kadi #8 a.k.a mzee wa victoria njia ya kwenda kwa mama zakaria!
 
Alafu kumbuka alidumu kama Waziri for 15 years kwa mikakati kama hii anayoifanya Leo.Akiwa ujenzi Aliwai timua vijana 400 wa mizani kwa rushwa leave alone wakandarasi ambao aliwatimua,alichoma nyavu za wavuvi haramu etc.

Kwa hiyo rushwa imeisha kwenye mizani? Uvuvi haramu wa kutumia nyavu zisizostahili umeisha? Staili hiyo ya uongozi haiwezi kutatua matatizo kama kiongozi anaweka nguvu kwenye tatizo lenyewe badala ya chanzo cha tatizo.
Ningemwona wa maana kama angewasulubisha wahindi na wote wenye viwanda vya kutengeneza nyavu, badala ya kuwasulubisha wanyonge wanatafuta pesa za subsistence, huku unawaacha matajiri wanaopata mamilioni kwa kufanya biashara ya kuuza net. Unatatua chanzo cha tatizo kwanza ili kukata mzizi wa tatizo husika.
 
Ni maelezo mengi yanayotakiwa kukibu swali lako na itakuwa raisi kama unaelewa uchumi kidogo.

Nitajaribu kufupisha:
Duniani kote rais yoyote anayeingia madarakani. ukiacha Magufuli anaahidi kuongeza ajira au " ku kick start uchumi" kwa kuongeza hela kwenye mzunguko.
Zote ni njia za kuinua uchumi kutegemeana na ipi ina ufanisi zaidi kwa wakati huo.

Magufuli anafanya kinyume cha haya. Kama unapenda kusoma angalia Fishers equation:
MV = PT (the Fisher Equation )
Each variable denotes the following:
M = Money Supply
V = Velocity of Circulation (the number of times money changes hands)
P = Average Price Level
T = Volume of Transactions of Goods and Services

Halafu pimanisha na maamuzi ya Magufuli.

Mantiki yako ni kuona formula yako ime-balance as if huko nyuma mambo yalikuwa sawa na MAGU amekuja kuvuga...!

Basa sawa tuseme tumekubaliana na wewe, tueleze ungefanya nini ww kuwaongoza watu WASITII wala kuogopa UTAWALA WA SHERIA?
 
UKAWA sasa hivi wanapuyanga puyanga bila kuwa na dira(beating around the bush)! Kazi yao ni kukandya kila kitu anachofanya Mh. Magufuli. Kwanini wasianzishe mada za kumsifu fisadi wao Lowassa!
 
Back
Top Bottom