Anguko la CHADEMA sasa ni dhahiri

Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

Weye naye!!!!...Acha kukurupuka...soma alama za nyakati....fikra za kimagamba magamba hazitakusaidia chochote.

:peace::peace::peace:

People's ........

Alutta Continua! Continua
 
Ukiona new member humu ndani anaipinga CDM ujue katumwa ni wa kumpotezea, mpaka sasa ccm mumepoteza washabiki. jiandaeni kuhama nchi, na huko mtakakoenda sijui kana watawakubali na tabia yenu mbaya.
 
Ndugu yangu Makupa hivyo visenti unavyopata kutoka kwa wakina Nape kusambaratisha Chama kubwa zitakutokea puani kila mtu ana njaa lakini ya kwako imekithiri kweli nimeamini wewe ni mangi meza

Watu kama hawa wakileta insu ni vyema kuipotezea maana kuijadili ni kama kuwapa njia ya kuijua chadema.
 
wewe namna gani ?mbona hata aliyegundua mlima kilimanjaro ni mzungu,mto Nile ni mzungu hutadhani watanzania hatuna macho
 
Weye naye!!!!...Acha kukurupuka...soma alama za nyakati....fikra za kimagamba magamba hazitakusaidia chochote.

:peace::peace::peace:

People's ........

Alutta Continua! Continua

Pamoja Kiongozi wangu!

Uuwiiiiiii ccm inataka kutuzika ingali tupo hai jamani
Hili hatukubali kamweeee!!
 
Makupa kama umetumwa sema otherwise kama huna la kufanya either na simu au computer yako weka game ya ZUMA ucheze!
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe, hapa mtaani kwetu mwenyekiti wa tawi la CDM na Katibu wake usiku wa jana wameshikana mashati; kweli hiki chama ni uvunjaji wa amani tu

wote bosi wennu mmoja!! mmejawa na maroho machafu ya wizi,unyang'anyi na uuwaji!! Yani kusingekuwa na sheria mngewa ua watz wote ambao wanawapinga, endeleeni kuuwa tu huko Arumeru ila eleweni tu "what goes around is what comes around"
 
mtaa upi kama sio udaku..huoni haya kusema maneno hewa..peleka kulee kwenye jukwaa lake!
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

Sasa hapa ukitukanwa utalalamika?
 
Mambo gani mkuu hayaendi vizuri

Mwenye macho haambiwi tazama, we kama huna mtikisiko wa uchumi mfukoni mwako basi nawe ni EPA!!! Sasa mambo gani hayaendi vizuri kwa TZ huhwitaji wachumi bali kufumbua macho na kutoa tongotongo za CCM utapapata pasipoenda vizuri.
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

vipi kiongozi gani anayefuata katika mpango wenu wa kidhalimu wa kuchinja watu???
 
Mambo gani mkuu hayaendi vizuri
ungeanza basi kwa kutoa pole kwa wale wenzetu mnaowakata mapanga arusha na arumeru....

yani nikiona magamba nakumbuka image ya kamanda aliyekatwa mapanga
 
Kumbe ni kweli common sense is not always common. CDM leardership is not a homogeneous lot, ni watu wenye common vision na mission; lakini kila mmoja anafikiri independently and that synergy of independent thought process ndiyo inayozaa Kimbunga unachokiona kinaipeperusha MAGAMBA mpaka hawaelewi what is hitting them.

wewe unataka CDM ifanye kazi kama JK anayeshindwa kutumia executive authority yake kama Rais kuwawajibisha mawaziri na watendaji wahuni wachache mpaka aitishe CC ya magamba, uko wapi wewe? faculties zako umezimpeleka sabbatical leave?!

you are a great thinker mkuu,na hawa magamba mi nafkiri hawatumii ile njia ya kawaida kuwaza.
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

utako mwaka huu mpaka gamba likuvuke
 
She is writing her dissertion. Remember JF has been a good source of data for those doing their higher degrees in political science. So don't be trapped to speak your truth.
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

Makupa.....Kichwa nazi kweli wewe
 
Back
Top Bottom