Anguko la CHADEMA sasa ni dhahiri

WanaJF, nawasihi kuzichunia threads za wendawazimu kama huyu ili liwe fundisho kwa Magamba na vibaraka wao wanaokuja kupima upepo hapa!
Kuchangia threads za kipumbavu kutoka kwa Wapumbavu ni kushiriki Upumbavu!
 
very minor, haitoshi kuanguka kwa hoja hiyo, umekurupuka, jipange kwanza gamba wewe
 
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.

Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.

Hoja mufilisi kabisa hii we poyoyo kweli huna jipya.
 
Back
Top Bottom