Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 699
nd
Wewe ungeenda kuzungumza na kingunge hili sualaa u Jambo leo sio JF. Halafu CDM sio saizi yako maana una uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo.
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita ,nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu, kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.
Wewe ungeenda kuzungumza na kingunge hili sualaa u Jambo leo sio JF. Halafu CDM sio saizi yako maana una uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo.