Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.
Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung'ang'ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
yaelekea wewe hakulala nyumbani, asubuhi hii unawashwa na chadema? badala ya kuzungumzia kuhusu katiba mpya na mkanganyiko uliotokea jana wewe uaanza na Chadema. Kwani hawara yako amekuambia nini kuhusu rasilimali za nchi hii zinavyoporwa na Maccm? kweli wewe ni wa mgombani
chama wanakuita, sijui utakuwa wapi mida hii.
BUKU SEVEN at work.....
Matusi ni dalili za kuchanganyikiwaKinachowamaliza ndio hiki;
hamjakomaa kisiasa;
hivi unafikiria kuwa naogopa matusi mimi?
Kinachowamaliza ndio hiki;
hamjakomaa kisiasa;
hivi unafikiria kuwa naogopa matusi mimi?
Mamndenyi , Mwanasiasa wa kiingereza anayeitwa Harold Wilson alishawahi kusema, A week is a long time in politics.
CHADEMA walikuwa wanabebwa na siasa za uwongo, majungu na kilaghai ambazo zilikuwa zinatumia lift kuwafikia wananchi huku ukweli ukitumia ngazi.
Kwa sasa ukweli umefika kwa wananchi na matokeo ndiyo haya tunayoshuhudia.
Kuna viongozi wengine waridiriki mpaka kwenda London na kupiga picha mbele ya helikopta na kuudanganya umma kuwa wameenda kununua helikopta katika mwendelezo wao wa siasa za uwongo na ulaghai.
Hebu waulize, hiyo helikopta walinunua?.
Thread yake ilikuwa hii,
Unajielewa wewe?

It's time to catch up with reality.
Hebu waulize, hiyo helikopta walinunua?.
Thread yake ilikuwa hii,
ni kweli wanafanya mambo ambayo kwa tafsiri ya magamba yanaonekana ya kihuni; mambo yenyewe kwa uchache ni kama ifuatavyo;Hatutaki waanguke tunataka wawe wazalendo na kutii mamlaka mambo yao ya kihuni waachane nayo
Madam Mamndenyi watanzania wamegutuka kuwa hii ni SACCOS ya kilaghai ukizingatia UPATU umeshawafanya sana vibaya miaka ya nyuma.eg DECI
yaelekea wewe hakulala nyumbani, asubuhi hii unawashwa na chadema? badala ya kuzungumzia kuhusu katiba mpya na mkanganyiko uliotokea jana wewe uaanza na Chadema. Kwani hawara yako amekuambia nini kuhusu rasilimali za nchi hii zinavyoporwa na Maccm? kweli wewe ni wa mgombani
Sio lazima kupost, unaweza kuchangia kwa wenzako wanaopost kamba za kueleweka afu ukaongeza idadi za post na repAssalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.
Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kung'ang'ania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
ni kweli wanafanya mambo ambayo kwa tafsiri ya magamba yanaonekana ya kihuni; mambo yenyewe kwa uchache ni kama ifuatavyo;
1. Kuhamasisha wananchi watanzania wawe walizi wa rasilimali zao
2. Kukemea Ufisadi ulioimaliza hii nchi kama EPA,MEREMETA, RICHMOND, USAFIRISHAJI WA TWIGA, UWINDAJI HARAMU NK.
3. IMEMWAAJIBISHA MAFISADI, MPAKA LEO MAWAZIRI WANABADILISHWA KILA WAKATI.
4. IMEPIGANIA KATIBA MPYA..MPAKA SASA NDIYO INAYOTENGENEZWA
ni hayo tu kwa uchache ambayo yanaonekana ni ya kihuni chadema inafanya.
Sio lazima kupost, unaweza kuchangia kwa wenzako wanaopost kamba za kueleweka afu ukaongeza idadi za post na rep
power. Kamba haieleweki mamdenyi!! review
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.