Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,011
- 1,794
acha ife, maana imetugeuza watanzania kama wajinga wote, nasema chadema kufa kufa kufa. wachaga wakapalilie migomba yao.
Mtasubiri sana...
CDM tunasonga mbele haturudi nyuma
Nauliza huyu shy land ni mke wa Mangula?
teh teh, kama ccm inavyowatumia wanyonge wa nchi hii kujipatia kura ili kuendelea kuwafisadi.Hao wanatumika kama dodoki, muda wao ukiisha yaani wachaga wakishika dola angalia mazengwe watakayotengenezewa, la Zitto ni dogo, just wait. Kama Nyerere alivyowatumia waislam kupata uhuru na baadae akawatosa, the same applies !
ikishafika chini iokote basi utuletee kwenye uzi huu huuuMuda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
teh teh, mbavu zangu mie.Kumbe na tambwe ni wa kigoma? Basi hawa watu watakuwa na tatizo, napata hofu kuwapa uraisi wanaweza confiscate nchi Burundi au Congo
Tambua kigoma ni mkoa wa wasaliti tangu mwanzo. Unamkumbuka zito,tambwehiza,nzanzungwako,kabour. Hawa waliasi upinzani.
mkuu kwenye ufisadi hakuna cha kabila!Hivi wachaga mlio ccm mnasubiri nn?mbona mnafukuzwa huko lakini hamtoki?
kwa hiyo na ccm wote mafisadi?chadema wote wapuuzi
Wacha ndoto mbaya hapa,ka kusambaratika mimi naiona ccm kusambaratika kabla na baada ya uchaguzi mkuu ,M2015 this forum quoted you that way ,na tutakuhitaji baada ya uchaguzi ujao uje hapa hapa ktk hii forum uje utuhakikishie hiyo statement yako. Mr Murage .M:canada:Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
mafisadi nyie!Wauwaji nyie
hujielewi unafata mkumbo kama samaki. achana nao hao wachaga wanakupoteza wakati, slaa mwenye ni mzizi msaliti alilisaliti kanasa katoloki kwa uzizi wake wakumfukuza upadre, eti leo hii nilinataka kura za wanainchi. ha ha ha ha hakika slaa kuwa na raisi katika nchi hii ni sawa kusema sokwe ataitawala tanzania. shutuka wewe mtanzania, acha kuyumbishwa na warombo
acha ife, maana imetugeuza watanzania kama wajinga wote, nasema chadema kufa kufa kufa. wachaga wakapalilie migomba yao.
Nauliza huyu shy land ni mke wa Mangula?
hujielewi unafata mkumbo kama samaki. achana nao hao wachaga wanakupoteza wakati, slaa mwenye ni mzizi msaliti alilisaliti kanasa katoloki kwa uzizi wake wakumfukuza upadre, eti leo hii nilinataka kura za wanainchi. ha ha ha ha hakika slaa kuwa na raisi katika nchi hii ni sawa kusema sokwe ataitawala tanza nia. shutuka wewe mtanzania, acha kuyumbishwa na warombo